ALLAH akupe nguvu na afya njema uendelee kutoa mawaidha hakika huwa najisikia vizuri nikisikia ukitowa hotuba zako na mafundisho ya mola wetu mlezi mi huwaga si muislam lakini huwa nampenda sana shekhe kishki
Maulamaa vipi mnaongelea kuhusu zaka mbona hamuandai mipango waislamu wakatoa zakaa hiyo ni haki za watu. Hawapati haki zao sote kesho tutajibu nini kwa Allah? Waislamu tunataka mfanye plani ili kuanzisha baitumal tukusanye zakaa

Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🇹🇿🇹🇿
Mashallha ❤❤❤❤
Shukurani alaah akulipe kilaheri apaduniya nakesho ahera