Hapo Kijiji lazima kipishe maji kwa eneo hilo la maji tu na kwasababu tumeamua kubadilisha mazingira kwa ajiri ya maendeleo yetu basi fidia zitolewe watu wahamishwe maeneo hayo ili kupisha usumbufu wa maji
Kama ni matokeo ya kufunguliwa maji huko bwawani; mbona umeme uliokusudiwa hali ni ile ile !,(haupo), na sasa ni janga zito na baya zaidi ! ! OH ! MASKINI MAMA TZ
Poleni watanzania 🇹🇿 hasa watu wa rufiji kwa janga kubwa
Hapo Kijiji lazima kipishe maji kwa eneo hilo la maji tu na kwasababu tumeamua kubadilisha mazingira kwa ajiri ya maendeleo yetu basi fidia zitolewe watu wahamishwe maeneo hayo ili kupisha usumbufu wa maji
Poleni ndugu zetu wa Rufiji. Haya ndio maendeleo inayoletwa na serekali ya ccm.
Kwani mafuriko yanahusiana nin? Na ccm
Poleni sana wamatumbi kwa yote tushazoea kuliwa na mamba ,,,,,kamati ya maafa bajeti yao kubwa ni kuandaa majeneza,,,,,,
Kama ni matokeo ya kufunguliwa maji huko bwawani; mbona umeme uliokusudiwa hali ni ile ile !,(haupo), na sasa ni janga zito na baya zaidi ! !
OH ! MASKINI MAMA TZ
Maji yamefunguliwa wapi tena loooooh
Polensana
Diwani vipi kuanza na kusifu mtu😮, ongelea kilichotokea mh na nini cha haraka
Polee zote kwaoo😮😢
Ukimsikiliza.huyu.diwani.wa.ccm.utjua.maafa.haya.yamesababishwa..na.ccm
Nilijua ni mvua kumbe yamefunguliwa na serikali duu
Wajiandae na mamba maana hayo maji yatakuja na mazalia ya mamba
Mmmh Mamba tena
Poleni sn ndugu zetu kwani mvua ninyingi mno serikali iliangalie kwajicho lapili
kwani ni mvua au bwawa la umeme linatema
Sio mvua Bali maji ya huko mloka ndani wanapo tengeneza umeme wamefungulia maji
@@athumanfuko199 tatizo bwawa
Anafiii
Hawachelewi kuanza kumsifia mama Samia kwa kuwaletea mafuriko.
🤣🤣🤣 Mama samia ni mungu wao lazima wamsifu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Na yeye ndio alio yafunga mwaka Jana na mwaka huu kayafungulia 😂
Kumsifia tena mama Samia tena 😂😂😂😂 duh!!nilisikia tetesi watalipwa sasa sijuhi kweli sijuhi ndiyo tuonane 2025😅😅😅😅😅
@@nuruhhussein167 Kama walilipwa halafu wakakaidi kuhama huo msala wao