Samsilver - Your Number (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2023
- Samsilver - Your Number (Official Music Video)
Stream/Download the new album Kilimanjaro : onerpm.link/342021034100
video directed by @lastseenbrand_
shot & edited by @yfldirector
stylist: @pio_moggan
special thanks to @johnscreator @directorafricana @lastseendancing_mob & everyone who participated in this project
#sisitutaendeleakudeliver
Follow SamSilver
Twitter:
/ Officialsamsilver
Facebook:
/ samwelkatamba
Instagram:
/ Officialsamsilver
TikTok:
/ Officialsamsilver
Stream Kilimanjaro Album: onerpm.link/342021034100
#samsilver #yourNumber #Kilimanjaro #music #new #Applemusicsound #trending #youtube
Copyright ©2023 Apple Music Sound. All rights reserved.
Your Number Lyrics Video
Samsilver beib
Thank you God
So much you know you know
So much you know you know
VERSE 1
Nimezunguka dunia nzima sijaona wakufanana fanana
Nimetembea mbuga zote za wanyama wanyama sijaona wakufanana nyanya
Hivi we kabila mmasai naomba japo nikusabahi
Utamu wa chai sukari yeyeeee
Hivi we ni ndege wa mwituni Au malaika wa mbinguni
Mbona upo juu Zaidi ya tai yee
CHORUS
Ahahahaha can I got your number
Ahahahaha vile ulivyo umenibamba
Ahahaahah can I got your number
Ahahahahah pisi kali umenibamba
VERSE 2
So much you know you know
So much you know
So much you know you know
So much you know
So much you know you know
So much you know
So much you know you know
So much you know
Mmmhhh Thank You God
Nimekutana na uyu mtoto tena mweupe
Jicho lake umbo lake
Ana figure lake namba nane
najiona kolo miee kolo miee
Hana kisorokwinyo
Mi kwako kolo kolo
Mi kwako solo solo
Mi kwako shaka shikolo
Mi kwako shakashikolo
Owaaa aiyooo kyala nsitoo
Aiyooo umwana unnunu
CHORUS
Ahahahaha can I got your number
Ahahahaha vile ulivyo umenibamba
Ahahaahah can I got your number
Ahahahahah pisi kali umenibamba
So much you know you know
So much you know
So much you know you know
So much you know
So much you know you know
So much you know
So much you know you know
So much you know
Can I get your number?
Vile ulivyo umenibamba
Can I get your number?
Pisi kali umenibamba
Noma sana mzee baba hizi ndo kazi tunazo zitaka....🔥🔥🔥🔥
noma Sana kaka dar kipaji hicho kikalisana
shukrani sana kaka
Imeendaaa kaka hii n kalii
asante sana mdogo wangu
Nasikiliza mziki mzuri pande 255
Kaka SHIKAMO, uko vzr Hongera sana
Mkuu SANA
Mtaalamu keep it up RED CROSS guy.🤝💪💪
Hii ngoma unaposikiliza haichoshi,endelea br tunasubiri nyingine kali👊👊👊👊
Hongera sana mdogo wetu umeupiga mwingi sana 💪💪
shukrani sana mkuu wangu
Noma sana mtu mbady
❤❤❤
Mzee umetisha sanaa
Asante sana
Big Up,umetisha Mkuu
Shukrani sana
Msanii wangu umeua🔥🔥🔥🔥
Ashuuu
Kazi nzuri sana
asante sana kaka
Aweeeee 🔥🔥🔥🔥🔥
Alicia Keys 🔥🔥🔥
Hatuna cha kubisha kwenye kitu kilichojidhihirisha chenyewe,keep it up my real bro🔥🔥🔥🔥 samsilver,Big popa,Big Money,Handsome mwenye matunzo👊👊👊
Waukee kaka,ngoma ni kaliii balaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😍😍😍😍
AISEEE BR UNA BALAA,MAUA YAKO MAPEEMA NISHAKUPATIA🌷🌷🌷
🔥🔥🔥🔥Shukrani sana kaka
Pambana mzee
🙏🙏
Nakubali kiongozi wangu, tupo pamoja
Asante sana boss wangu
Goma langu limeachiwa sasa
wewe na iyanya kazi mnayo
🎉🎉🎉🎉
Acha goma litembee halina ubaya
amina sana kaka
Nice
Thank you Boss Fio
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤
unatisha kaka
🔥🔥🔥
Im not tanzanian i don't understand the language but this guy, anajua had kero
On repeat
Thank you Dear
Siku zote sisi kama mashabiki zako hutukosei kabisaa,hii Mali imekaa vilivyo🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
Nyimbo kali sana kaka, imebamba kinoma💯💯💯👏👏✔️
Shukrani sana kaka
Bro una kitu
You are a super star
🎉
Safi
Mwaisaaaaaaaaaaaaaaa just Gooooooo
Nenda nenda kaka
Noma noma
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
Bigup❤
Asante baby D
🔥🔥🔥
Hauna baya Mzaramo mpole
Oyaaa
Kaz Kali nyati 💯
🔥
Boss kubwa
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤
babu
❤❤❤
Dadafada ❤️❤️
Firefire....
❤❤❤❤❤❤❤
Iko on fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aaaiiiseeeeeeeee
Saf San kaliiyo
Shukrani sanan
🔥🔥
sam katamba tenaaaaaaa
Nakungoja remix ya Anjelina na sabina
Beautiful songo bro
Asante sana kaka
💯💯💯
Asante sana
Kintikantaaa vutamenta 😅😅
Kitu kituii☄️🔥🔥🔥
Mkuu❤
What a song🔥
🔥🔥
Shida umeharibu kuwataja makolo😂😂
😂😂😂😂😂
That’s my babe❤❤
Asante mchumba angu
Nimesikia kwako kolo😢😢😂😂😂hii imeenda
😂😂😂 mie kwake Kofi kolo
Steps up 🆙 ⬆️🔥🔥🔥 safi brother
Asante sana master
🔥🔥 fire 🔥🙌
❤️❤️❤️
big time ❤️
#1🚀🚀
BBB
🔥🤣🤣🔥🔥🔥🤣🤣🔥🔥🔥✈️✈️✈️✈️✈️
😂😂😂😂
Goooooooooooo❤
Chiiiiiiiiiiiii
Kaka mkubwa
🔥🔥🔥🔥🔥
❤️