all at all Yani napenda filamu ikiwa wameshiriki wote wote Ringo na tini napenda Sana vitungo na halafuu istoshee nawapa sirii kuwa inakwa munahiti kishenzi filamu zenu ikiwa munaigiza nyote kwapanya kiufupi nyiyyi niwasaniiiii muonaotegemeana naomba muwe kitu kimoja mutuonesheee burudani hiiii t kwa mfano km ile tamthilia ya aladini na Ringo engekupo watu wange vutiwa Sana nawapendaa Sana naomba muwe kitu kimoja kwani umoja ninguvu na utengano niuthaifuuu karibuni Zanzibar kuinjon good day
Wakatimwengine tukihangalia Hali alisi Mwanzo mwisho tutapata jibu MOJa, Siokila tatizo linalotokea litawezakupata sululisho serikalini mengine hutatuliwa kwa njiya nyepesi kamatulivyo hona, Ila wote tunafaamu kwamba sio halali, Pamoja na hayo tukija kwa Hali halisi Sehemu walio maliziya njo hilio honyesha maamuzi sahii, Mchezo Wote una seemu mbili, Tatizo bahina ya watu, na maamuzi pandezote, Hapo Kuna mkono wa serikali na tamaduni za jamihi, Sasa ni muda wa wale wanaohusika kuchagua yapi mahamuzi sahii kwao, Hongera sana kwa burudani.
Jmn hz movie ni nzuri sbb yanaelimisha mambo tofauti tofauti lkn kwa upande mmoja lkn ni mbaya kwa upande wa pili sbb kwa yanayotokea ktk movie hii ni mabaya kwa wavulana wa zama hz ((kweli mtu anabeti na mama yk?))
Really some women lucks displine,How can you fall in love with a young man whom you brought him up?This video shows how our generation lucks moral values,jamani watu muache ,and to the youths be careful with women of this kind
all at all Yani napenda filamu ikiwa wameshiriki wote wote Ringo na tini napenda Sana vitungo na halafuu istoshee nawapa sirii kuwa inakwa munahiti kishenzi filamu zenu ikiwa munaigiza nyote kwapanya kiufupi nyiyyi niwasaniiiii muonaotegemeana naomba muwe kitu kimoja mutuonesheee burudani hiiii t kwa mfano km ile tamthilia ya aladini na Ringo engekupo watu wange vutiwa Sana nawapendaa Sana naomba muwe kitu kimoja kwani umoja ninguvu na utengano niuthaifuuu karibuni Zanzibar kuinjon good day
Wakatimwengine tukihangalia Hali alisi
Mwanzo mwisho tutapata jibu MOJa,
Siokila tatizo linalotokea litawezakupata sululisho serikalini mengine hutatuliwa kwa njiya nyepesi kamatulivyo hona,
Ila wote tunafaamu kwamba sio halali,
Pamoja na hayo tukija kwa Hali halisi
Sehemu walio maliziya njo hilio honyesha maamuzi sahii,
Mchezo Wote una seemu mbili,
Tatizo bahina ya watu, na maamuzi pandezote,
Hapo Kuna mkono wa serikali na tamaduni za jamihi,
Sasa ni muda wa wale wanaohusika kuchagua yapi mahamuzi sahii kwao,
Hongera sana kwa burudani.
yaani hii movie inanivutiya sana kweli namaneno ya mapenzi yalio humu ndani daaaa
Daaah nyinyi wote mishenzi
Ringo una maneno makavu atari 🤣🤣🤣 ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️
Dhuu inanfurahisha Sana kiukwer
Mjukuu mtoto😂😂😂mwanangu mdogowangu,muitane mtu na babayake
Yani iiih kitu nimeelewa kuwamapenzi ayanaga umri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tin akili zako unazijua Mwenyewe
Hapo changanya mbaliga sepaaa🤣🤣🤣🤣umenibambaa tiny
filamu hii inani shangaza Sana. naona mama hawa kama mapumbavu kabisa ijapo kua walipenda tafuta Amani kwa nzia hiyo.
Ringo anajuwa Sanaaaa. 🙏🏻🙌🏻🤣😂
Ujana ni Moshi ukienda haurudi, ila sisi kama vijana tunapaswa kuwa na mipaka na akina mama zetu🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Sure
Wapo kama mbuzi ndiy hawajali😂😂😂😂😂😂😂
Duh mlikomalizia Sasa leteni ya tatu bhana, Yan lingo naona unajiandaa kula mangumi kwa mgambo mama tin
Nawashukuru apa kunajambo nilijifunga naomba iendeleye 👍👍
Ringo uko swa unjuw mapezi sna heri Kenya igekuw ivo
Martin for me 😂😂😂😂😂😂 si ulianza namalizia😂😂😂
Asante hagefanya hivvo ugekufa nahuzuni mukubua ilamunafurahi muebote thanks ❤❤❤
Kumbe awa wamama washenz
Jaman vijana muwe makin jaman msikubali kufanya ujinga kama huu ni laana kubwa sana
😂😂😂😂eti katemewa mate nanyoka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu mm
Duh hiinayo khah!
Hongera👌👌👌
Gooood Ringo l,like song
Part 3pls tujue wasasi uwamuzi Wa wassi , 😂😊Bat mamatiny ,, simuamini kama ataachika Na Ringo 😂😂😂😂😂😂
Jaman kimeumana
Watu wazima hovyo kukua huko lakini kama mnalana ya mwenyezi Mungu
Lingoo daaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅
Nmewapenda bure mambo 🔥🔥🔥🔥
Waaau Ringo hiyo clig yako😂😂
Lingo anaijua misamiati kwelikweli🤓🤓
Napendasana tin akiwapekeake anavyo jiongeleapeake
Ringo unanimada kabisa😂😂😂😂😂😂😂English Number one😂
Mmmmmmh hii ni kali 😅😅😅😅
Mapenzi kwa wazee yameisha😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ooh my gosh tin utanimaliza na kicheko😅😅
Nangoja hiyo harusi mm
Mv mapenzi😂😂😂
Martin uko na wivu na hiyo tabia sio poa ya kujilipanisha
Mbona amuja saha watoto tunataka kwona.watotowenu
I Like so much 💯💖💖💖💖💕
Sasa hawa vijana wawili lingo na martin wataitanaje jameni😂😂
Nice c niaja
Ila hongereni kwa burudani👌👌👌👌👌📱📱📱📱📱📱
Iko poa
Japokuwa si ukweli yatokeayo humo.
Nataka kuona reacting za ki na mama
Safii sana
Mh bafuni tena 😂😂
Afathali Kenya huko 🤣🤣🏃🏃🏃
Jmn hz movie ni nzuri sbb yanaelimisha mambo tofauti tofauti lkn kwa upande mmoja lkn ni mbaya kwa upande wa pili sbb kwa yanayotokea ktk movie hii ni mabaya kwa wavulana wa zama hz ((kweli mtu anabeti na mama yk?))
Jaman wamama huwa wanapagawa na watoto wadogo jaman hata kwny Jamii haya yapo tunayaona
Maze Mimi nko Kenya mnaeza nichukua nkue kwa part 3 nkue mume ao mmeacha
Part 3 Coming soon
Jamani hivi nikawaida kweli???
Kaka uyo baba uyo😂😂😂😂😂😂
Naenjoy show pongez
Hello guys naomba mnipitieni tafadhali tawapitia pia❤❤
Ringo siulianza na malizia😂😂😂
Yani hawa wanachambana au vp😄😄😄
Wapumbavu nyote
You are smart
Wakinamama angekua kama hawa 2cngkua naooooooo
Interesting
Jamani mafunzo hayo
Inaendelea ama
Huyu Agnes ataniua na kicheko jamani😃😃
Whaat!? God! I'm amazed
Ningekua mimi ningemuua ringo
Heeeee ayo maji ya kukoga au pilau tena
Hahhaha
Wananipa raha jmn
Mmmmmh hii ni kali 😅😅😅
Ni ukweli na yapo hayaa
Mnajaribu kufudisha Nini hivi
Wonderful
Hii dunia sio yetu hhhheee
Dunia simama nishuke🙋🙋🙋
Ahahhhh uyo ndo ringo
Tongo ww unabusara nakupenda juu ww hukufanya hivio juu ya kupenda
Muendelezo please 🥺
Really some women lucks displine,How can you fall in love with a young man whom you brought him up?This video shows how our generation lucks moral values,jamani watu muache ,and to the youths be careful with women of this kind
Exactly
Madafu😅
Sema mmechoka na nyinyi sasa mwatufunza nn
😂😂😂😂
Inguvu zurukundo
Acheni ujinga hao ni mama zenu
Siwatoto siwamama wote wapumbavu
Nice
Waaa
Mambo yako jameni
Unatisha❤
Sasa Hawa mama zenu mtuwaita mama au shemeji 😏😏
Sasa iyi filamu ina mafundisho Gani?
Hogereni ❤️
Kwa upumbavu huo natoa pole
Binti bikira
Movie yenu nzr
Party 3 iko wapi tuone wazazi watasema nini
Aixee😅
Chetani mubaya amewadanganya sana😡😡😡
Good movie
Jesus!God of nazaret nayaona leo
Sasa movies hii inafundisha nini 🤣 au mapenzi ayana umli
Kabisaa dada yafundisha kweli hivo mapez hayana umri
Wapumbavu
Lingooooooooo
🙄🙄🙄🙄🙄🙄Mnatufunza nini kwenye hii movie coz sielewi kitu wala hakuna masomo yyt hapa
Part 3 IPO wapi
Miku tutamiritu
Hii ina itwa tugawane maumivu