@@NyamselaMarumba hii ni kwa ajili ya wamama wa kawaida nyumbani ......unajua steaming sio kila mtu anaweza kuimudu ukianza kuwaambia watu masuala ya steaming wataacha kuosha kabsa c unajua wanawake na JINSI wasivyopenda kuosha nywele....
Kubdray nywele n sawa na inafaa ila ukibodray mara kwa mara unazifanya nywele znapoteza ubora wake kwasababu unakua unaziunguza yaaani bodray Huwa ni moto unaounguza nywele
@@CatherineNyami ukioshea yamoto utaungua ukioshea yabaridi mafuta na uchafu havitoki vyote ukioshea ya uvuguvugu unasababisha kichwa kupumua yaaan vijitundu vya kichwa vnafunguka na vnapelekea nywele kukua zaidi pia unazisaidia NYWELE kuwa safi kwasababu znatoka Hadi mafuta ya kuganda
Wasambaa wapewe maua yao❤❤❤❤
@@ShamimTailoringshop hahaha
Hiki ndo nilikua nakitafutaga miaka mingi ubarikiwe sana
Amiiina amiiina
Upewe maua yako kwakweli 🎉🎉🎉
Ahsante sana
Amazing ❤❤❤
❤️❤️❤️
❤❤❤
Love love to u
Mbona auweki stimingi ukiosha nyumbani
@@NyamselaMarumba hii ni kwa ajili ya wamama wa kawaida nyumbani ......unajua steaming sio kila mtu anaweza kuimudu ukianza kuwaambia watu masuala ya steaming wataacha kuosha kabsa c unajua wanawake na JINSI wasivyopenda kuosha nywele....
Unawezakuosha nyele za dawa na maji yamoto au
@@NyamselaMarumba nywele zozote unatakiwa kuoshea maji ya uvuguvugu.....
Nawale tunaoosha saloon jamn
Haya mafunzo ni kukufanya wewe kuweza kujihudumia vizuri mwenyewe nyumban.....kwa maana hakuna atakaependa kitu chako sana zaidi ya wewe mwenyewe❤❤❤❤
Sisi wenye nywele ngumu je??
Ucjali mamiiii hii tiba haichagui mtu
Kwahiyo hapo haina haj yakwenda saloon kukausha kubodray mwenyew
Ukimaliza unasuka hizi
th-cam.com/video/NzOZVFUQQ5Q/w-d-xo.htmlsi=krDj7CXag-y3BY1z
Kubdray nywele n sawa na inafaa ila ukibodray mara kwa mara unazifanya nywele znapoteza ubora wake kwasababu unakua unaziunguza yaaani bodray Huwa ni moto unaounguza nywele
Asnte
Samahan HIV n kwann tunatumia maji ya uvuguvugu na sio ya moto wala ya baridi
@@CatherineNyami ukioshea yamoto utaungua ukioshea yabaridi mafuta na uchafu havitoki vyote ukioshea ya uvuguvugu unasababisha kichwa kupumua yaaan vijitundu vya kichwa vnafunguka na vnapelekea nywele kukua zaidi pia unazisaidia NYWELE kuwa safi kwasababu znatoka Hadi mafuta ya kuganda
❤❤
🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤