ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
HARMONIZE APAFOMU KIMAKONDE, RAIS SAMIA ASIMAMA KUCHEZA MTWARA, NI BALAA!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ย. 2023
- HARMONIZE APAFOMU KIMAKONDE, RAIS SAMIA ASIMAMA KUCHEZA MTWARA, NI BALAA!
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
Wa Kwanza mm hapa...nipewe likes zangu
Jeshiiiiiiiiiii on top of the world 🌎🌍 God is right for real 🔥🔥🔥🔥
Huyu mmakonde katupeleka mbali sana 😍 ni raha tupu wamakonde wenzangu💖💖💖💖💖
Safi Sana mmakonde wetu
Jamani wamakonde wote pamoja sana 😍💯
Mmakonde noma ngoma ya kingereza inakua hit
Jeshiiii mwenyewe❤❤
Big up konde be bless
Naomba kuuliza wapendwa ni lini hii ?
Nzuri sana
Nice song
Safi sanaaaaaa 💪💪💪💪💪💪
Safi sana!
Big up konde
❤🎉
Chef sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Konde Boy we ni mwamba🖐🖐🖐
MAMA YUKO KAZINI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤❤❤❤❤Mama tunakupenda
Wasanii waelimishe jamiii, waache siasa!
Nic
Uyu dogoo yuku juuu sana
🔥🔥🔥
❤❤
Wa kukay mpkaa raha
Nakubali bwana Tembo konde boy
Imekaa poa sana❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉😢tembo kama tembo😢😢😢 kuchina
Konde boy number one
H. Babababaaaaba
❤❤❤❤❤❤kusini juuu
Pamoja, wengine watangoja.
Shikamooo kondeeee
😅😅😅
Nyimbo haiendani na tukio halafu ni amapiano ya Afrika ya kusini.
Inawaumaga hyooo😂😂😂
@@musiccaentertainment100k8sijui anaumia akiwa wapi maskini
@@musiccaentertainment100k8 hata ni maajabu mbele ya mh rais MTU anaimba amapiano halafu yuko Single hivi mh rais anaweza akanyanyuka acheze nyimbo za kihuni? Kashtukizwa hadi kushindwa kutunga nyimbo kufuatana na tukio?
@@hashimchaoga9566si afadhali huyu kuliko huyo zuchu alieimba Honey mbele ya Samia 😂😂
@@annasolomon9855 Hiyo nayo si sahihi. Single again na amapiano zote si sahihi katika matukio kama hayo
Tembooo
Konde boy
We kwanini unajiita jeshi? Huogopi?
Wao wanataka mavazi Yao tu
Aogope nini.. mwanajeshi ni mtu yeyote Jasir mwenye moyo wa kutokukata tamaa kama huyu Harmo 😊
🦣🦣💪
Hujui kicheza kama mwehu vile
Mmmh Hadi nakucheka unavyotaka kupasuka kwa chuki, 😂😂 pole ndugu Konde is on top always!
Ye anaimba cheza wewe
Ukicheza wewe inatosfa
🦣🦣🦣❤️❤️❤️