Lakini akhyu mwenye hii channel umeniudhi. Kutuma rududy wanazoradiwa markaz yahya Bin maiin. Ww akhyu huoni. Kama. Unafarakisha. Masalafi wale. Wanaompenda. Shekh shaafee na akidu. Na wale. Wanaompenda Shekh duktur khamis imaam .na shekh mujaahid. Kila mmoja anavipenzi. Wake. Hapo. Bassi. Akhyu. Mwenye. Hii channel. Usiposity. Rududy za Masalafi kwa masalafi. Haipendezi. Ukionekan. Una. Ushabiki. Na markaz fulani. Na woote. Ni masalafi hamna. Sufi. Au HIZBI ii apo
Yaan majadidah mumekuwa km mmarekani ayepeleka silaha Izraili na Ukrain halafu anadai eti anataka vita visitishwe Nyinyi mnalingania chuki kwa asiyekuwa salaf na wakat huo huo manhaj ya kuwaingiza na kuwatoa watu ktk usalaf ni mbovu
Maneno yako Mabovu sana! Kwo bora nyie mnaokumbatiana hata katika makosa???!!! Hadi leo Kishki kakhalifu sunnah lakin bado kwa mujibu wenu bado Kishki ni Salafy????!!! Ndo dini hyo ya usalafy???!!!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x ww utayaona mabovo maana ujadidah umekuathiri lakin ni wazi kuwa kuitakidi kuwa ww tu na msimamo wako ndo salaf na aliyetofautiana na ww ni hizbi au ni mzushi na ni wajibu kumtenga pasina maafikiano ya wanachoni ktk hiyo itikadi yako halaf ukatarajia pasiwe chuki wakati kila mwanachuon ana rai yake na wanaomfuata ktk mambo ya ijtihad
Namuomba Allah ugomvi baina ya Shafiy wa Mwanza na markaz omary Uishe...
Aamin!
Lakini akhyu mwenye hii channel umeniudhi. Kutuma rududy wanazoradiwa markaz yahya Bin maiin. Ww akhyu huoni. Kama. Unafarakisha. Masalafi wale. Wanaompenda. Shekh shaafee na akidu. Na wale. Wanaompenda Shekh duktur khamis imaam .na shekh mujaahid. Kila mmoja anavipenzi. Wake. Hapo. Bassi. Akhyu. Mwenye. Hii channel. Usiposity. Rududy za Masalafi kwa masalafi. Haipendezi. Ukionekan. Una. Ushabiki. Na markaz fulani. Na woote. Ni masalafi hamna. Sufi. Au HIZBI ii apo
Maashallah baarakallah fiiyka yaaa shkh
Amin Wafiyk baarak Allah
Yaan majadidah mumekuwa km mmarekani ayepeleka silaha Izraili na Ukrain halafu anadai eti anataka vita visitishwe
Nyinyi mnalingania chuki kwa asiyekuwa salaf na wakat huo huo manhaj ya kuwaingiza na kuwatoa watu ktk usalaf ni mbovu
Misingi mibovu ya ujadidah haiwezi kuwaunganiasha waumini zaidi ya kuwagawanya
Maneno yako Mabovu sana!
Kwo bora nyie mnaokumbatiana hata katika makosa???!!! Hadi leo Kishki kakhalifu sunnah lakin bado kwa mujibu wenu bado Kishki ni Salafy????!!! Ndo dini hyo ya usalafy???!!!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x ww utayaona mabovo maana ujadidah umekuathiri lakin ni wazi kuwa kuitakidi kuwa ww tu na msimamo wako ndo salaf na aliyetofautiana na ww ni hizbi au ni mzushi na ni wajibu kumtenga pasina maafikiano ya wanachoni ktk hiyo itikadi yako halaf ukatarajia pasiwe chuki wakati kila mwanachuon ana rai yake na wanaomfuata ktk mambo ya ijtihad
@IbnuAlly-wm8il Sawa we endelea na Uanswar Sunnah wako...!!! Niache na ujadida wangu...!!!