Naitwa sifaeli mwabuka shukrani zangu zikufikie popote ulipo asante Kwa kufuatilia kazi zangu TH-cam Na platforms zote 2025 iwe Zaidi ya mwaka Jana nakuombea ubarikiwe 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mtumishi wa mungu sifaeli barikiwa sana yaani wewe ni kama mungu alikutuma Kwangu tu umenibariki sana kila siku wimbo wako nausikia ni pastor Patrick makokha from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤
As Kenyan I really love Ur songs.Really inspire and gives hope.May God bless U more.This is another masterpiece 🔥❤🎉🥂💐🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️.It is well with Ur family.May God grant U strength 🤲🙏
Good one bro..Mimi napenda sana nyimbo zako ..Zina mafunzo na Zina bariki..Mwenyezi Mungu azidi kuku bariki..kwa kutufunza na hizi nyimbo...Asante sana barikiwa bro
Why u mtumishi? Shetani ashindwe kabisa. Your songs healed me from bleeding niliweka phone kwa pua langu nilikuwa nimeishi kila siku saa moja asubuhi damu. God knows why. Mungu usituache haki. Mshugulikie mtumisha wako
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL pray for me mtumishi place of work watu wananipiga vita nisipate promotion. Hata mkubwa wangu ambaye hajawahi nionyesha ubaya.
My God Grant your servant peace Soirit of God youareour standby Our quickener Our comforter Our guide Our truth and much more Be here for Sfaeli and family
Nitumie nafasi hii kuwashukuru nyoote mliosimama na Mimi kwenye kipindi kigumu cha msiba Wa mtoto Wangu asanteni sana mbarikiwe kwa Jina la yesu
Mimi natafuta usaidizi wa fedha karibu elfu mia sita ndipo niachiliwe kutoka hospitalini na mwanangu wa siku 10
Wacha mungu akupe ngunvu much love from Kenya
Joel 2:25 , he will restore , may the peace of the lord be with you
Kwa mungu yote yawezekana mtumishi...nyimbo zako hunifariji sana....much love from Kenya 🇰🇪 ♥
Mungu ainuliwe maana yy n nguvu y walio poteza wapendwa wao n Wana machungu n mfariji wa wanao teseka 😢 pole sana Hila mungu yupo nawe siku zote 🙏🙏🙏🇰🇪
Wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes zote hapa ,,,,,,hatuwezi peke yetu ,,,,,,mtumishi wa mungu barikiwa sana 🙏 🙏
amen
Pole Sana Mtumishi @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
🇰🇪 tuko
Kweli atuwez bila mungu
Tuko 🙏🙏
Naitwa sifaeli mwabuka shukrani zangu zikufikie popote ulipo asante Kwa kufuatilia kazi zangu TH-cam Na platforms zote 2025 iwe Zaidi ya mwaka Jana nakuombea ubarikiwe 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ameen Wimbo mzury wakenya mko wapii❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amen
Mungu akupe nguvu broh, nyimbo zako hutubariki sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amen
😢😭💯🌹❤️🙏🙏✅️ uko wapii Babaa
amen
Sifaeli asante sana Kwa kuimba nyimbo za kututia nguvu.mungu azidi kukupa maisha marefu dunia🙏🙏
Amen
Hapa kenya tunashukuru kwa nyimbo zako😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amen 🙏🏽
Makiwa. Nimeshtuliwa na habari hizi. Mungu akutie nguvu unapozidi kumtumikia. 🇰🇪
amen
Iyo wimbo mbona imeniyoa mchozi,MUNGU akukumbuke popote ulipo🙏🏻🙏🏻
amen 🙏🏽
Sifaeli nyimbo zako hunibariki sana
Sending love from kenya❤
Thanks
Pole kwa mpoteza mwanao ...Mungu akutie nguvu@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
Mtumishi usijali Mungu yupo pamoja nawe wacha kulia 🙏😭😭🇰🇪🇰🇪
amen
Your songs remind me of how much my mum loved your songs.May her soul continue resting in peace😭😭
amen be blessed
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tuko apa Mungu azidi kufunguwa
amen Mungu akubariki
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Amen 🙏
Mtumishi wa mungu sifaeli barikiwa sana yaani wewe ni kama mungu alikutuma Kwangu tu umenibariki sana kila siku wimbo wako nausikia ni pastor Patrick makokha from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤
Amina asante sana pastor Mungu akubariki sana
Asante sana baba mungu akupe guvu piya nakutakiya siku yaleo ya Amani kwakweli mungu ninuru kabisa asante
Amina
Namimi piya Amina sasa ume nibariki sana 🙏🙏🙏
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Baba hata namimi vilevile ume nibariki sana namimi Amina 🙏
Mungu wetu hawezi kutuacha tujaribu kupita Imani yetu,Mungu akufariji kwa pigo Hilo mtumishi wa Mungu , Amina 👏
Hakika
Safi Sana Kwa wimbo mzuri Mungu aendelee kukuinua.
amen
Watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 God almighty bless you Sifael mwabuka
amen be blessed
Be blessed man of God 🙏And take heart 😢😢
Amen
Much love from +254
Thanks
He needs your prayers too
Nice one🎉
amen
Ah nmelia hii 2024 Mungu najua ipo nakuita uliko machozi ya huzuni yanabaki2024 NAJUA WEWE NI MFALME .
amen
Amen Hallelujah MUNGU akubariki sana mtumishi
amen
Amen Amen mtumishi umekua wa baraka kwangu mungu akubariki umetuweza bila baba neema ya mungu iwatoshe na jamii yako ❤❤ merry Christmas
amen Merry Christmas and you
Take heart mtumishi na mungu akutie nguvu
amen
I love your songs zinanibariki sana kutoka Kenya
amen
Mungu akupe faraja n nguvu wakati mgumu kama huu🙏🙏🙏🇰🇪
amen
Nice tune, i like it
amen God bless
Uko poa dume Wa nchi yetu Mungu akuongezee kibali ipanuke kabz
amen 🙏🏽
Be blessed a man of God and take heart 🙏🙏🙏
amen
Mungu awe nawe mtumishi wa mungu 😢😢🙏🙏🙏
amen
May God bless your ministry #sifaelimwambuka #mrkey038
amen be blessed
Ndiye mchungaji wakati wote❤ tunamupenda ❤
🙏🙏🙏
As Kenyan I really love Ur songs.Really inspire and gives hope.May God bless U more.This is another masterpiece 🔥❤🎉🥂💐🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️.It is well with Ur family.May God grant U strength 🤲🙏
Amen thanks 🙏
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Welcomed🤝
Am always blessed by your songs brother ....May God take you to another level this coming year
amen
Good one bro..Mimi napenda sana nyimbo zako ..Zina mafunzo na Zina bariki..Mwenyezi Mungu azidi kuku bariki..kwa kutufunza na hizi nyimbo...Asante sana barikiwa bro
Amina
Mkono wa Mungu uko imara❤❤❤😊
amen
Why u mtumishi? Shetani ashindwe kabisa. Your songs healed me from bleeding niliweka phone kwa pua langu nilikuwa nimeishi kila siku saa moja asubuhi damu. God knows why. Mungu usituache haki. Mshugulikie mtumisha wako
amen be blessed
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL pray for me mtumishi place of work watu wananipiga vita nisipate promotion. Hata mkubwa wangu ambaye hajawahi nionyesha ubaya.
Mungu azidi kukubariki yaani huwa nabarikiwa kupitia nyimbo zako
Amina asante sana
Be strong brother SIFAELI,mungu awe adui wa adui zako na mtezi Kwa hao wakutesao, ulinzi uwe juu yako 🙏🙏🙏
amen Mungu akubariki
Man of God, dont surrender, fight to the end, restoration on th way
amen
Mungu anakupenda mtumishi usilie please take heart❤
amen Mungu akubariki Kwa kunifariji
🎉pole sana..farijika katika Kristo
Yesu mpendwa
Wimbo muzuri sana nyimbo zako unibariki sana Mungu atunze roho yako sana maana we hua baraka kwa wengi. From Kenya 🇰🇪 I wish you a long life.
amen be blessed
Poleni sana brother
amen Mungu akubariki
Nikumbuke mungu wangu, wimbo huu umenifariji pakubwa
amen Mungu akubariki
May good Lord be with you during this difficult moment. It shall be well with your soul man of God.
amen be blessed
barikiwa bro
amen be blessed
Jipe nguvu mungu anakupenda n family yako ujumbe wko unanitia nguvu pia🙏🙏
amen Mungu akubariki
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL pia n ww
Mugu akukubuke mtumishi kikombe kinzito🤲🏽🇸🇦na peda sana nyibo zako.
amen
Waimbaji mkona mambo... Sifaeli nilisikia hausaidii mama yako utakuwa pia umelaaniwa
Heeee!
Amen inlaw this is the year of anew grace.see things positively and you are going far....
❤❤❤ comment number 4
Be blessed ❤❤
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunasema pole sana kaka💔💔
amen 🙏🏽 asante
This one caught me, imeniguza ikanibless, mungu akubariki nawe🙏🏻🙏🏻
amen be blessed 🙏🏽
Pore sana ndug yang katika kipindi kigumu hiki 😢😢😢
amen asante
Mungu akubariki na akutunze Mtumishi wake
amen
Pole Sana 😢😢😢😢 mungu akutie nguvu
amen Mungu akubariki
Utukutufu ni kwa Mungu,unanikumbusha makuu ya Mungu❤
amen
Happy Christmas mtumishi wa mungu
amen and you merry Christmas
be blessed servant of God 🙏🙏🙏,majaribu ni ya Munda,ila ole wake ajaletaye,usivunjike moyo,mungu yupo nawe,na bado anakuwazia mema,
amen Mungu akubariki kwakunifariji
Sifael mungu akubariki sana sana.... uentelee kumutumia mungu wa ukweli
amen Mungu akubariki
The song is so smart very touching at all may God bless you so you teach us in your songs thanks xnar barikiwa.....
Thanks for listening
be blessed
Sifaeli kwa kweli Mungu akubariki sana ❤🙏🙏
amen
KWA HAKIKA SIWEZI BILA YESU👏👏👏
amen 🙏🏽
Pole sana mtumishi wa Mungu. Acha yeye aliye mwenye nguvu akuongeze nguvu na uzidi kutubariki kwa nyimbo safi za maombi.
amen asante
Thanks for the Christmas gift
amen God bless
Amen sana, Tunamshukuru MUNGU kwa ajili yako maana anazid kukutia nguvu,ili uifanye kazi yake kwa Nguvu na Aman
Pole sana mungu aendelee kukupa nguvu kwa wakati huu ngumu 🙏🙏🙏everything happens with a purpose 🙏🙏🙏🙏 we love you 💖💖💖
Amen thanks
Take heart may heaven be Eternal Bed we born to die and we raised up again life be strong Aservant of God .
amen be blessed
Kweli mungu uko wapi natamani sana uwe babangu wa imani kwa sababu nyimbo zako kaka hunibariki sana
At times God allows temptations into your life to test your faith in Him,put your trust in Him, He's with you in this.
amen be blessed
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉uko wapi Baba unitetee
amen
Uwepo wa Mungu ukuzunguke siku zote
Amina
Pole sana mungu aendelee kukupa nguvu kwa wakati huu ngumu 🙏🙏🙏everything happens with a purpose 🙏🙏🙏🙏
Thanks so much 🙏
Wakenya ndio wengi uko happy for you ,happy new year
amen be blessed
Pole sana mtu wa Mungu Mungu aendelee kukutia moyo katika kipindi hiki kigumu
amen asante mungu akubariki
My God
Grant your servant peace
Soirit of God youareour standby
Our quickener
Our comforter
Our guide
Our truth
and much more
Be here for Sfaeli and family
amen Mungu akubariki
Take heart mtumshi wa mungu. Mungu akutie nguvu saidi❤🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amen
amen Mungu akubariki
Much love from Kenya
amen
Be strong God is with you my brother 🙏🙏🙏🙏🙏
May mighty God grant you peace and joy through this difficult time .Be blessed ❤❤
amen be blessed
Mungu akupe amani annjua sababu,barikiwa na familia yako
amen asante
Mungu akujalie Neema ipitayo fahamu za mwana damu Mtumishi wa Mungu 🇰🇪🇰🇪🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
amen Mungu akubariki
Barikiwa Sana boss wangu napenda nyimbo zako saana juu zinanipa matumaini Kua IPO siku pia nitafanikisha
Amen
Wonderful song, may you live long to praise God much ❤from uganda
amen 🙏🏽
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
amen
May peace of God be your portion in Jesus name
amen thank you
Glory to God 💪🙏🙏🙏 Nyimbo nzuri sana 🥺🥺 👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
amen 🙏🏽
Some temptation come to tighten us with God stand firm it's tyme to go closer to him
Amen
❤
♥️♥️♥️
Barikiwa sana ❤❤ nyimbo zako zatia nguvu ... Keep glowing your talent ❤❤❤
amen be blessed
Mungu akupee nguvu, jina lake lipewe sifa
amen
Nabarikiwa na nyimbo zako gwakukajha barikiwa saana
amen Mungu akubariki
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 🙏🙏🙏
Pole boss Ila yote tushukuru Mungu Na kumuachia atende Wema wake boss
Amen
Be blessed you're always a blessing to my life 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amen
🙏🙏
Amen
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunapenda songs zako Mungu akuonekanie na atimize haja ya moyo wako
amen 🙏🏽
Hongera kaka sifaeli napenda Kaz zako mda sana umenifanya niwe mwimbaji pia
amen Mungu akubariki
May God be with you forever lol from Kenya ❤❤
amen be blessed