Mimi nimeota Niko uwanja wa ndege airport halafu Hao WA askari wa getini Wana niomba vitambulisho Nika waonesha passport na na Kila kitu Nika pita na nilikuwa na begi ya nguwo 2 wiki iliyo pita nilikuwa napita mpakani Nika Kuta Beria ya waaskari WAlinzi wa boda basi nikawapa pesa Nika pita inamaanisha Nini?
Nilikuwa na vuka boda Sasa Nika kutana nao walikuwa Wana cheka Waka niachia Nika ondoka zangu Na nyingine ni hiyo ya safari ya ndege walikuwa ni walinzi wa airport
Naomba kusaidiwa::Niliota naendesha gari, nikafika mahali kuna traffic police wamesimamisha magari,, mimi nilipofika hapo mahali sikuweza kusimama ila nilipitisha gari yangu nyuma ya migongo ya police na nikaenda zangu.... Ndoto ya pili nikaota kuwa NAENDESHA GARI NA NILIPOFIKA KWA SIGN ZA MATAA YA TRAFFIC MIMI SIKUSIMAMA ILA NILIPITA MOJA KWA MOJA NIKAENDA ZANGU ILIHALI WENZANGU WOTE WALIWEZA KUSIMAMISHA GARI ZAO.... nini maana ya ndoto hizi mbili kwani zimejirudia
Kweri kabisa yani
Ok so good
Naomba tafsiri nimeota mimi nikifunga masikari nikiwa nawapereka sero
kwel kabisa
💯
Asante sana
Kweli kabisa
Nimeota askali magereza wamemkamata mdada wanataka kumpiga bastola tulikuwa tunaongozana namtu yeye akaendelea nasafali mm nilikuwa nimembeba mtoto nikaendakujificha nilkipo ona wameondoka namm nikaanza safali
Jmn Yani kweri kabisa
Shukran sana mpendwa 🙏
Tafsirigi ndoto na maandiko
Mi nimeota nimefanya mtiani msimamizi ni askali jeshi nilivyo kusanya aknipa ela tukampkie chai ya maziwa
Nimeota naona porisi turikuwa wawiri njama yangu akasema tukibie nikagoma mara naona watu wanaruka kweye miti wako kama nyani nimbraa
Warikuwa wanarinda mipaka
daah sasa nifanyeje hawa polis
Mimi nimeota Niko uwanja wa ndege airport halafu Hao WA askari wa getini Wana niomba vitambulisho Nika waonesha passport na na Kila kitu Nika pita na nilikuwa na begi ya nguwo
2 wiki iliyo pita nilikuwa napita mpakani Nika Kuta Beria ya waaskari WAlinzi wa boda basi nikawapa pesa Nika pita inamaanisha Nini?
Nilikuwa na vuka boda Sasa Nika kutana nao walikuwa Wana cheka Waka niachia Nika ondoka zangu
Na nyingine ni hiyo ya safari ya ndege walikuwa ni walinzi wa airport
Tunaishughulikia mpendwa 🙏
Niliita police wako Kijiji kwetu Kwa msitu eanataka kupinga risasi wakaniambia Sio mm
Me nimeota nimekutana na polisi Ila akawa ananikagua tu nimebeba Nini badae akaniacha maana yake nini
Naomba kusaidiwa::Niliota naendesha gari, nikafika mahali kuna traffic police wamesimamisha magari,, mimi nilipofika hapo mahali sikuweza kusimama ila nilipitisha gari yangu nyuma ya migongo ya police na nikaenda zangu.... Ndoto ya pili nikaota kuwa NAENDESHA GARI NA NILIPOFIKA KWA SIGN ZA MATAA YA TRAFFIC MIMI SIKUSIMAMA ILA NILIPITA MOJA KWA MOJA NIKAENDA ZANGU ILIHALI WENZANGU WOTE WALIWEZA KUSIMAMISHA GARI ZAO.... nini maana ya ndoto hizi mbili kwani zimejirudia
Nimeota Askari wamekuja Kwa nyumba yangu kupekua nyumba yangu lakini nikaona walikosa chenye walikua wanatafuta kwangu
Hii inahusiana na Askari tu wakawaida ama hata Ukimuona mwanajeshi maana ndo hiyohiyo?