Mm natumia hii face cream na serum yake na nina sabuni pia na sasa nimenunua body lotion napakaa mwilini nishatumia kama vikopo vitatu hivi niko na uso mnzuri tu
Acha usitumie na jaribu kuongea na Dr wa ngozi akushauri utumie bidhaa gani ya uso. Maana hizo products ni kwaajili ya watu wenye uso wenye mafuta. Kwa ufahamu wangu Mimi.
Mim nilikuwa natumia ct nimekuwa mweupe sana na imenitoa sugu je? Nikitumia hii vitamin c itanisaidia kurudisha ngozi yangu bila madhara samahan naomba kujua nimenunu hii ila sijaanza kutumia
Vitamin C Serum zipo za aina tofauti mojawapo ikiwa ni hiyo hapo. Tunashauriwa kupaka Vitamin C kwenye ngozi ili kusaidia ngozi zetu kung'aa. Juu ya swali lako hii Vitamin C pia inakufanya unang'aa lakini haichubui.
Huwa kuna Dr rashel face cream za kupaka usiku tuu ukienda madukani kuulizia utapata ila hivyo nilivyonavyo hapa napaka wakati wowote usiku au mchana maana haijani limit muda wa kupaka.
@@ashurakibindo7671 cha kwanza kabisa hakikisha unanawa uso wako asubuhi na jioni wakati unaenda kulala, pia jitahidi uwe na cleanser na scrub ya uso wako. Maana ukiwa unatumia hivi vyote vitakusaidia kupambana na chunusi pia usipende kushika shika uso wako kila wakati.
Hi guys welcome to my channel. Be the member of Waridi gang by subscribing to this channel i hope you will enjoy all y videos. XOXO🤗
DR rsheli selam naeza nikatumia mimi mweusi pia naeza changanya kwenye mafuta ya soft karot
Kwa kweli sijui. Uliza mtaalamu wa maswala
Ya vipodozi usije ukajisababishia matatizo
Hello! Mimi nauliza, mbone kuna mara unanunuwa face cream unakuta rangi yake ni orange mara nyingine unakuta ni nyeupe. Tutajuwa je ipi nzuli ?
Hi! Ni ya kampuni hihi ya dr rashel? Maana hii ya kwangu ndani ni orange but siyo orange iliyokolea
Mm natumia hii face cream na serum yake na nina sabuni pia na sasa nimenunua body lotion napakaa mwilini nishatumia kama vikopo vitatu hivi niko na uso mnzuri tu
Hongera sana. Ni nzuri kwa kweli
Jmn mm nimeanza kutumiA dr tashel facewash, serum na cream but uso unawasha nifanyej😢
Acha usitumie na jaribu kuongea na Dr wa ngozi akushauri utumie bidhaa gani ya uso. Maana hizo products ni kwaajili ya watu wenye uso wenye mafuta. Kwa ufahamu wangu Mimi.
Acha
@waridiemiliani ni kwaajili ya dry skin ipo pia coz for dry skin ina moisturiser
Mim nilikuwa natumia ct nimekuwa mweupe sana na imenitoa sugu je? Nikitumia hii vitamin c itanisaidia kurudisha ngozi yangu bila madhara samahan naomba kujua nimenunu hii ila sijaanza kutumia
Vitamin C Serum zipo za aina tofauti mojawapo ikiwa ni hiyo hapo. Tunashauriwa kupaka Vitamin C kwenye ngozi ili kusaidia ngozi zetu kung'aa. Juu ya swali lako hii Vitamin C pia inakufanya unang'aa lakini haichubui.
Naeza kuchanganya kwenye mafuta yangu ya kawaida Selam ya DR lashel vitamin c
Sina utaalamu sana bali nikielezea bidhaa huwa natumia uzoefu ambao nimepata kutokana ma bidhaa hiyo
Kwaiyo iyo seram unaweza kuchanganya Lotion yoyote na matokeo yakoje
Sina uhakika Sehemu utakayo nunulia ulizia ili kuweza kupewa majibu yaliyo sahihi.
@@waridiemiliani kwaiyo Dr Rashel seram aifai kuchanganya Lotion yoyote
Je ukupaka serum tu bila iyo mafuta inakuaje
Ni sawa pia kwasababu mimi pia hutumia kimoja wapo muda mwingine. Lakini kwa matokeo mazuri bora utumie vyote.
naomb kujua kwanza unawek serim au cream
Unaanza kujipaka serum baada ya hapo unajipaka moisturizer
Sasa Katie ya hvyo ni kipi unapakaa usiku na kipi unapakaa mchana
Huwa kuna Dr rashel face cream za kupaka usiku tuu ukienda madukani kuulizia utapata ila hivyo nilivyonavyo hapa napaka wakati wowote usiku au mchana maana haijani limit muda wa kupaka.
Unavyorudia maneno xx
Kumbe😂
Nitajaribu kwa maelekezo yako
Okay dear
Pesa ngapi
It depends na duka utakaloenda kununua but mine nimenunu Tsh 10,000 each one. Wengine wanauza 25,000 each one.
Atoi chunus
@@SalomePaulo-c6m kwaiyo iyo Dr Rashel seram aifai kuweka kwanye lotion
Inang’arisha
Mitakatifu my d
Je kwangozi ya mafuta inafaa
Ndiyo hizo bidhaa ndo zenyewe sasa. Vitamin C inasaidia sana ngozi yenye mafuta.
Mbona mimi nina wikimbili sasa lakini chunusi hazikwishi
Naomba msaada
@@ashurakibindo7671 cha kwanza kabisa hakikisha unanawa uso wako asubuhi na jioni wakati unaenda kulala, pia jitahidi uwe na cleanser na scrub ya uso wako. Maana ukiwa unatumia hivi vyote vitakusaidia kupambana na chunusi pia usipende kushika shika uso wako kila wakati.
Cleanser nzuri inayo nifaa na scrab nizaainagani naomba msaada kwamaana sijahi kutumia kwahiyo sizifahamu