Ushauri wangu ni kwamba tusiangalie tu upande moja tufufue Meli zote zinazofanya kazi kwenye maziwa yote yaani ziwa Victoria Tanganyika na Nyasa pamoja na Meli zinazofanya kazi Bahari ya Hindi yaani Dar Zanzaibar na Kilwa
Amaqer ktk biblia kuna neno linasema;" Huzuni ni afazali kulikokicheko". Mm nasikitika sana hv qnn awamu zilizopita zilikua haziyakumbukii maswala km haya aliyo yatekeleza jembe wetu from chato, akili zao zilikuwa wap had kufikia uongozi wao?
Walithamini matumbo yao.. Wala hawakuwa na wivu wa maendeleo. Walikuwa wanazunguka duniani wakijionea maendeleo ya wenzetu. Lakini waliporudi Tz nyumbani kwao msimamo ni mmoja tu.. Tuwaibie watz.. Nchi watakuja kuijenga wajukuu zetu.. Tunamshukuru Mungu kwa huu ujasiri alio nao Magufuli.. Anaivusha Tanzania
Meli Tv badilikeni basi, Kwann msibadilishe jina??, why hadi leo tutumie jina la kikoloni??, Au mpka aseme mheshimiwa rais??..., ipeni jina la kuzalendo mfano MV mirambo etc etc....
Safi sana, viva JPM, Mungu ibariki Tanzania
Hongereni sanaaa sana
Mungu ibaraki Tanzania na watu wake
Nawatakia kila la kheri Mari TV mafundi wote na wengine
Mungu mbariki Rais wetu JPM 🇹🇿
Big up sana
KILA BINAADAMU ANA MEMA NA MABAYA ILA HUYU JAMAA MAMBO ANAYOYAFANYA YANALENGA MOJA KWA MOJA KATIKA JAMII NA MAENDELEO YANASONGA MBELE.
mtangazaji uko vizuri
Ushauri wangu ni kwamba tusiangalie tu upande moja tufufue Meli zote zinazofanya kazi kwenye maziwa yote yaani ziwa Victoria Tanganyika na Nyasa pamoja na Meli zinazofanya kazi Bahari ya Hindi yaani Dar Zanzaibar na Kilwa
👏👏👏👏👏👏
😇😇😇
usipompa kura yako Magufuli wewe utakua mchawi na adui wa maendeleo yetu.
Amaqer ktk biblia kuna neno linasema;" Huzuni ni afazali kulikokicheko". Mm nasikitika sana hv qnn awamu zilizopita zilikua haziyakumbukii maswala km haya aliyo yatekeleza jembe wetu from chato, akili zao zilikuwa wap had kufikia uongozi wao?
Tunatofautiana sana,ndio maana inatakiwa tumng'ang'anie jembe kwa kumuongezea muda,watu wahivi ni nadra kuwapata.Huu ndio ukweli.
@@saimonmanyerezi7169 yr kbsa
Wangefikiria hivo saa ngapi wakati walikuwa wanapanga mipango ya kuiba mali za umma
huyu raisi akitoka itapita vizazi vingi sana ili kupata rais mwingine kama huyu.
Walithamini matumbo yao.. Wala hawakuwa na wivu wa maendeleo. Walikuwa wanazunguka duniani wakijionea maendeleo ya wenzetu.
Lakini waliporudi Tz nyumbani kwao msimamo ni mmoja tu.. Tuwaibie watz.. Nchi watakuja kuijenga wajukuu zetu.. Tunamshukuru Mungu kwa huu ujasiri alio nao Magufuli.. Anaivusha Tanzania
Mnaosimamia meli hizi msimamie mapato ipasavyo maana tunaitaji trion moja kutoka sekta ya uchukuzi tu mwaka huu kama gawio..
Meli Tv badilikeni basi, Kwann msibadilishe jina??, why hadi leo tutumie jina la kikoloni??, Au mpka aseme mheshimiwa rais??..., ipeni jina la kuzalendo mfano MV mirambo etc etc....
Tumepokea Mkuu..
Kwani MV VICTORIA ni jina kikoloni. Si limesimama kama jina la ziwa victoria
EyeZ Arc 123 huina haja ya kubadilisha jina Kama ni kubadilisha kitu hata Patrick au Paulo au Elizabeth nimajinana ya kikoloni
Kwel rais anania ya kuijenga nchi
Safi aya ndyo mambo yanayo takiwa
Shomari
Jamani hata vyuma navyo niviumbe
Msije mkahujumu tena maana mtz kwa wizi
Mv. Butiama iko wapi?
TANZANIA TANZANIA KUNA UTAJIRI MKUBWAAA SANA WAMEENYONYA SANA KWA MIRIJA HAHA JP MUNGU AKUBARIKI SANA
Chuma na siment wap na wap
Kwa nn wasiikarabati hao hao waingereza walioiunda ?