JINSI YA KUJENGA UZITO WAKO WA KIROHO|| PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/11/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ย. 2023
  • Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
    For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
    #jrcchurch #pastorgeorgemukabwa #tanzania #jrctz
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 21

  • @glorytogod2806
    @glorytogod2806 7 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa na kufunguliwa kwa mahubiri yako mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukutumia

  • @nabarikiwasanaannamtunguja4602
    @nabarikiwasanaannamtunguja4602 7 หลายเดือนก่อน

    hili neno limenichana hasa,ubarikiwe baba

  • @farajamsengi3398
    @farajamsengi3398 4 หลายเดือนก่อน

    Powerful

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 8 หลายเดือนก่อน

    Namimi nimenyoosha mkono wangu Kwa kundi la waliookokea kwenye madhabahu ya JRC na namwamini Mungu Sana naiona kesho yangu ktk ulimwengu wa roho

  • @user-td9fe2kz7r
    @user-td9fe2kz7r 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba

  • @nabarikiwasanaannamtunguja4602
    @nabarikiwasanaannamtunguja4602 7 หลายเดือนก่อน

    Ninamshukuru sa Mungu kumtumia mtumishi wake,hakika neno limenirarua dahMungu anatisha anaweza kujibu malalamiko yako kipekee kabisa

  • @happinessselemani3182
    @happinessselemani3182 7 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @imeldaathanas4246
    @imeldaathanas4246 8 หลายเดือนก่อน

    Ameni asantee mwalimu

  • @user-eg8vz4cm2n
    @user-eg8vz4cm2n 8 หลายเดือนก่อน

    BARIKIWA SANA MTU WA MUNGU

  • @adelinantangeki6865
    @adelinantangeki6865 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika madhabahu hii imenitendea, asante MUNGU kwaajili ya JRC.

  • @user-vx5rb6rg1v
    @user-vx5rb6rg1v 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @user-td9fe2kz7r
    @user-td9fe2kz7r 8 หลายเดือนก่อน

    HONGERA BABA KWA UTUMISHI

  • @marymangara4263
    @marymangara4263 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lizzymwangi9940
    @lizzymwangi9940 8 หลายเดือนก่อน

    Amen I tap tht grace ya kukua kiroho🙏🙏🙏

  • @bahatiirene8846
    @bahatiirene8846 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @user-ys7ef2ei6z
    @user-ys7ef2ei6z 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda sana pastor George mkabwa ❤ yani nimeanza kukusikiliza mwezi wa 7 mwaka huu 2023 kuna masomo yako mawili yamenitoa sana somo la mafanikio ya kifedha na maombi ya usiku wa manane yani sasaiv na weza kuamka kuomba usiku wa manane pia MUNGU amenibariki saiv na miliki pikipiki mbili zipo mtaani napokea hela kwa wiki yani sijawahi kumiliki lakini sasaiv namiliki na naendelea kumiliki mafundisho yako nayapenda yananijenga sana namuona MUNGU kwer ubarikiwe pastor George uwe na maisha marefu❤❤ from Zanzibar

    • @user-js1em5dh3p
      @user-js1em5dh3p 7 หลายเดือนก่อน

      Nafurahia mafundisho yako mtumishi inanijenga sana na kuna fasi imenitowa na ivi sasa nimekomaa kiroho

    • @bonifacedeljaykay1221
      @bonifacedeljaykay1221 7 หลายเดือนก่อน

      Tembea kwa Neema hiyo...

  • @joycegeorge-mf5kn
    @joycegeorge-mf5kn 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani hautaki kuwachosha wanao kwa michango na kwa walio na mzigo na kazi ya Mungu watasaport tuu.
    Lakin ninapo Sali Mimi jamani hiyo michango utatamani kukimbia
    Kwa kweli Kuna baadh ya makanisani wanazingatia maokoto ad wengi wanasema ukristo wapo kibiashara Zaid, lakin Pastor George hakika Mungu amekuita

  • @abbyimbukwa3835
    @abbyimbukwa3835 8 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kwa mafunzo yako toka kenya 🇰🇪 nmekufuatilia sana mpka nikapata mwito wa kutoa zaka yangu JRC ❤

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 8 หลายเดือนก่อน

    Natamani nipige kigerere Kwa njia ya makofi ushuhuda unatia moyo