DC SABAYA Amlipua MBOWE Mbele ya WAITARA - "Hata Kwenye VIKAO Haji"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @aldoba2826
    @aldoba2826 4 ปีที่แล้ว +2

    We mkuu wa wilaya na naibu waziri wote mlisaidiwa na kamanda mbowe kushinda uchaguzi 2015 Leo mnapiga kelele.mbowe ni kiongozi wa kitaifa.hongera mbowe.

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 4 ปีที่แล้ว +4

    Sawa sawa

  • @thomastemu5681
    @thomastemu5681 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sabai hongera waitara

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว

    Ati kuna kazi ya kuwajibu wapinzan....njaaaaaaa mbaya

  • @josephizengo5912
    @josephizengo5912 4 ปีที่แล้ว

    big up sabaya fundi sana ww

  • @kisangageorgethomasi2830
    @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว

    Saiv uko wapi

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe ni mwizi. Amegundulika na amebanwa huyo kilaza. Yeye na Lema mwaka huu wamegundulika na thabitishwa kuwa ni wezi. Chadema wezi!

  • @jongomwalyanzi8995
    @jongomwalyanzi8995 4 ปีที่แล้ว +1

    Alafu kuita watu masikini iko siku

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 4 ปีที่แล้ว +4

    Sabaya hi nafasi anaiweza kuliko madc wengine

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu Sabaya mwizi wa Magari nani kampa kuwa DC. Kumbe Shetani akizeeka anakuwa Malaika.

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว

      Njaa

    • @thomastemu5681
      @thomastemu5681 4 ปีที่แล้ว

      SABAI NJOO HAI TUTAKUPA UBUNGE KWA KISHINDO..TUNAONA KAZI NZURI UNAYOTUFANYIA CHUKUA FOMU YA UBUNGE

  • @samwelkavishe4096
    @samwelkavishe4096 4 ปีที่แล้ว +1

    waliyonyamaza ni wengi.

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว

      CCM kazi yao kuchagua watu wezi kuongoza nchi. Mnataka kuniambia CCM ni chama cha walokole. Huyu Sabaya alikuwa mwizi wa Magari kaokoka lini kuwa mkuu wa Wilaya. Mimi nawashangaa hawa Wachaga na ujanja wote mnamsikiliza huyu "MBOYOYO" Wakati wa Kampeni wanahaha sana kuchafua majina ya Watanzania wenzao kisa wako upinzani. CCM mjue Tanzania hakuna mjinga Tena. Elimu bure elimu bure kumbe elimu ya kuendeleza ujinga Tanzania. Watanzania amkeni kila Mtanzania anayo haki ya kuongoaza nchi hii.

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 ปีที่แล้ว

      ABDALAH FARIDA pole sana dogo hebu tafuta kazi ya kufanya utakuwa huru sana maana kama Sabaya alikuwa mwizi na Lema utamsemaje ili hali alikuwa jambazi kuwa mpole dogo

  • @lowasamollel9852
    @lowasamollel9852 4 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda atabaki juu kileleni ccm kanyambeni mbele

  • @curiositygenius9207
    @curiositygenius9207 4 ปีที่แล้ว +1

    Kikao cha wakuu wa anga, unategemea nini hapo.

  • @hashimumussa7775
    @hashimumussa7775 4 ปีที่แล้ว

    Viongozi pasinali marayamaraya
    Ukongaunadeni wwshogawaitara

  • @laulianmeneja2079
    @laulianmeneja2079 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani nyie hata mnachokifanya hata sikioni wewe waitara jimbo limekushinda kazi siasa

  • @lowasamollel9852
    @lowasamollel9852 4 ปีที่แล้ว

    Unaharibu 2 hakuna kitu porojo 2

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 ปีที่แล้ว +3

    Hawana jipya upinzani awamu hii.ccm juuu

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว

    Ni nani sasa? Anajibu kama siyo yy?

  • @morelovekombe9548
    @morelovekombe9548 4 ปีที่แล้ว +1

    Rudi jimboni kwako

  • @makwayasilas1585
    @makwayasilas1585 4 ปีที่แล้ว

    Nenda xkooo

  • @sajithaoman4633
    @sajithaoman4633 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mwita jiboni kwako maji umeme balalah akuna ulidai chadema aina pesa sasa ulipo amiya mbona aujahanza kufanya hiyo kazi ya kutekerezah ahadi zako??

  • @jongomwalyanzi8995
    @jongomwalyanzi8995 4 ปีที่แล้ว

    Sabaya usipewe kichwa na huyo msaliti

  • @jongomwalyanzi8995
    @jongomwalyanzi8995 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaongea mkumbuke kangi

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 4 ปีที่แล้ว

    Waitara mbona wewe umeitelekeza Ukonga?

  • @stevenmalle6425
    @stevenmalle6425 4 ปีที่แล้ว

    Mkaa mnapambana na mtu mmoj aibu san

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว

    Naona mnafanya kazi ya kusaidia mbowe kushinda bila kujua ndio tofaut ya akili kubwa na ndogo
    Hakuna pesa itatumika bila miongozo

  • @emanueluledi5616
    @emanueluledi5616 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwanzo nilikuona unafanya kazi ila sasa nimejua ww ni mtu wa aina gani siasa siyo chuki mbona makonda anafanya kazi nzuli sana kusaidia watoto ebu iga utendaji wa joketi na hali api wanafanya kazi nzuli sana siasa sio chuki

    • @shukurunzenzule5963
      @shukurunzenzule5963 4 ปีที่แล้ว +3

      nyie bado kabisa hatuwaelewi mnafanya kazi kulipasua taifa hakuna kingine

    • @josephsamweljohn3348
      @josephsamweljohn3348 4 ปีที่แล้ว +2

      Waitara jimboni kwake hata kusimamia tu muradi wa rea ameshidwaaa

    • @zanikamatron8874
      @zanikamatron8874 4 ปีที่แล้ว

      Wapi ameonyesha chuki Hapo!!!hizi Ni zama za ukweli na uwazi kwahiyo wewe Kama ulijua watafichaficha kitu jua umefeli 😂

    • @josephsamweljohn3348
      @josephsamweljohn3348 4 ปีที่แล้ว +1

      Njooo jimboni kwako

    • @josephsamweljohn3348
      @josephsamweljohn3348 4 ปีที่แล้ว +1

      Jimbo letu ukonga kunashida kila kona

  • @curiositygenius9207
    @curiositygenius9207 4 ปีที่แล้ว +1

    Kikao cha wakuu wa anga, unategemea nini hapo.