Barikiweni sanaaa vijana kurasini hakika MUNGU awainue viwango vya juu na kuzdi chapeni kazi ya BABA wa mbinguni nawapenda, audio kali video kaliii, huyo Dir. Holly spirit ni shiiiiidaaaaaaaa apewe maua yake tuu hakuna namna
Karibu sana mtu wa Mungu, tunaendelea kukuombea ili Bwana akutia nguvu kwa uamuzi mzuri ulioufanya, nakuhakikishia hutajuta maana hapa ndipo penye tumaini. Mungu wa Mbinguni akubariki sana dadangu 🙏🙏🙏
Karibu ufike kanisa lolote la Waadiventista Wa Sabato lililo jirani nawe Siku ya Jumatano jioni, Ijumaa jioni na Jumamosi asubuhi kuanzia saa 3:00, ukifika kanisani utapata usaidizi.
Alie rudia kuangalia hii ktu km mm dondosha like nzito hpo...😊
🔥🔥🔥
Bonde la wimbo
Kama umefika hapa kupitia Dotto magari gonga like😅
As traditional lovers of Kurasini main, we see hope in Kurasini Youth. Hongera kwa kazi mzuri
Amen mbarikiwe kwa kazi nzuri mnayoifanya...natazama kutoka kenya
Ujumbe mzito sana
Mmetuletea na dotto magari Kuna vitu vimeleta uhalisia blessed
Vijana wamefuata mtindo wa wazazi wao. Sauti ni ile ile
Barikiweni sanaaa vijana kurasini hakika MUNGU awainue viwango vya juu na kuzdi chapeni kazi ya BABA wa mbinguni nawapenda, audio kali video kaliii, huyo Dir. Holly spirit ni shiiiiidaaaaaaaa apewe maua yake tuu hakuna namna
Mbarikiwe watumishi wa Baba
Hi good people of kurasaini be blessed all
Am from Zambia and I am a victim of this song please pray for me
Vijana kurasini mlianza na imani na sasa ni kwanini tunamtafuta bwana hakika ujumbe mzuri kwa wote tunaomtafuta bwana YESU
Mungu amewatumia vyema real pamoja na ujumbe uliohapa lakin saut zmepangiliwa vyema na kujaaaaa
Mfike mbali
It's great seeing kurasini youth doing a good job like kurasini senior ❤❤
Nimefurahia sana kumuona dotto magari ❤❤ asanteni sana kwa ujumbe nzito barikiweni!❤❤
Narudia rudia bila kuuchoka huu wimbo jmn mbarikiwe
Mtoto wa mama kizimukazi ndan congratulations
Mbarikiwe watu wa Mungu......kazi isonge mbele zaidi
Sisi tutafute kwanza ufalme wa Mungu, barikiweni sana Kurasini Youth Choir
Wimbo mzuri Sana hakika Mungu azidi wawainua vijana wa Kurasini nimebarikiwa na ujumbe.
Mungu azidi kuwaimalixha mkazidi kuxonga mbele zaid
Hongereni wimbo hauchoshi nimeangalia zaidi ya mara mia hongereni Salome mmeimba vizuri mno namona debora hapo
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri na mmependeza sana ❤ kurasini
Wow....Amen...
kazi nzuri kwa kupeleka injili mbele.....nabarikiwa kwa njia ya pekee
Ninyi vijana mbarikiwe na BWANA
Mubarikiwe 🙏
Mungu awabariki
Wimbo hauchoshiii jaamaniiiii🎉🎉
🔥🔥🙏🏽🙏🏽🙏🏽
❤❤❤❤
Kurasin bhna duuuu ...mungu awalinde vijana kurasin mnajua
Mungu Awabariki vijana
Namshukuru Mungu kwa ajili ya kwaya ya vijana.
Amina mbarikiwe
Dotto Magari Yayeee kwenye Choir Sio poa
Mungu awabariki kazi nzuri
❤❤ MUNGU azidi kuwabariki🙏🙏
I keep listening to this song everyday,wat a blessing,God bless you guys, love from Kenya
Huyu baba yetu wa Mbinguni aendelee kuwatunza🤲
Hongereni sana vijana hongera rafiki yangu Mr five nmeona na nmefurahia uhusika wako
Mungu azidi kuwapigania hata ukamilifu wa dahari mbarkiwe zaidi
Hongereni sana nyimbo nzuri mnoooo nimebarikiwa sana na hii nyimbo
Asante Mungu mtoa vipawa. Kurasini ya zama za mwl kibaso naisikia kwa hawa vijana. Hakika akifa musa unainua joshua. Jina lako litukuzwe.
Amen
A very beautiful song from my favourite choir be blessed a lot 🙏🏻❤️❤. Nabarikiwa nikiwa hapa hapa Kurasin SDA Church..🙌🙌
So powerful as the kurasini main church choir. Love the energy and love for music.
Asanteni sana kurasini AY for this piece ni kumbusho kwetu who are in church for wrong reasons 🔥😊
Kazi nzuri vijana
Kazi zur Mungu ni mwema ❤kurasini vijana
Duuh!!! Hiki kitu n hatar sana,,,,,,, Sina la kusema Mungu wa mbinguni awabariki
Mmetisha Sana vijana @kurasini youth kwaya,, Bwana awabariki sana
A powerful and well composed song of the time! Mungu wa mbinguni awazidishie baraka zake mfanyapo kazi yake.
Nimeamini kweli MUNGU kwanza mie nmeanza kusali kwanzia Leo kesho nanunua biblia nakuwa msabato
Karibu sana mtu wa Mungu, tunaendelea kukuombea ili Bwana akutia nguvu kwa uamuzi mzuri ulioufanya, nakuhakikishia hutajuta maana hapa ndipo penye tumaini.
Mungu wa Mbinguni akubariki sana dadangu 🙏🙏🙏
Karibu ufike kanisa lolote la Waadiventista Wa Sabato lililo jirani nawe Siku ya Jumatano jioni, Ijumaa jioni na Jumamosi asubuhi kuanzia saa 3:00, ukifika kanisani utapata usaidizi.
@@raphaelkamaga3598 amen
@@saragejohn5471 kwa changamoto yoyote usisite kueleza ili upate usaidizi.
Barikiwa 🙏
Amina
MUNGU awabariki vijana
Amen
Wengi walifuata kwa ajili ya vitu...wimbo unazungumzia mambo ya kweli kabisa
A very powerful message! may GOD bless you all.
Mungu Azidi kuwabariki na kuwaongoza.Amen
Mbarikiwe sana vijana wetu,kazi nzuri,my favourite song,good and inspirational message.Nabarikiwa sana
Amen
Mungu azidi kuwabariki ktk kazi yake
Aminaaaaaaa...ni kwa nini...
Weh hii kanisa ya kurasini imebarikiwa kweli..❤
Amina
Wow kazi nzuri saaaana mbarikiwe mnooooo🎉🎉
The Holly Spirit mmetisha sana
Bwana awabariki sana vijana kurasini,huu ni ujumbe wenye mafundisho makuu ndani yake.
Chuma kimetulia tuliiiiiiii Mbarikiwe
Waoooo wimbo mzr mubalikiwe na MUNGU ❤❤❤❤
Waaaw, nimeukubali wimbo huu,, uko na mguso wa hakika
Ameen.... and be blessed..
Yhn nimerudiarudia mara 5 .
Wimbo mzuri sanaa mungu awa bariki sana
Mmehubiri neno kweli, Mungu na awabariki
Nabarikiwa san kwakwel kurasi ni home of music nikwanin tumeamua kumfuat bwana?
Nabarikiwa mnooo 🙏🙏🙏
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
Kazi nzuri na ujumbe mzuri Mungu awabariki vijana kurasani
Naomuona kibaso kabisa
Amen.....tutafute yasiyo ya kuharibika kwanza.
Tuna kila sababu ya kumtafuta bwana
Wimbo umenibariki sana Mungu azidi kuzitunza karama zenu🙏
MUNGU awabariki Sana 🙏❤️ nimebarikiwa 🎉
Sisi mashabiki wa dotto magari mmetukusanya
Mbarikiwe na Bwana 🙏🙏🙏
Amina mubarikiwe 3:39
Naomba tu nipate huu ujuzi wa utunzi na uimbaji
Mbarikiwe Sana wapendwa
Wimbo mzuri, Mungu awabariki mzidi kumtangaza
Can't listen enough of this song,God bless you kurasini youth.
Mnanibarikiiii sana Bwana ainuliweeee
Kazi nzuri sana vijana wangu mungu awabariki
Mungu azidi kuwabariki
🙏🙏🙏
I even forgot it is youth choir
🔥🔥🔥🔥
Kweli kurasini mnabarikiwa kila siku nawapenda sana Kwa ujumla mmezingatia kanuni za uimbaji wa kanisa la waadventista wasabato love you moreeee ❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiweni sana kwa song kali, ujumbe kama woteee!❤
Amina mbarikiwe sana, Mungu azidi kuwainua mfike mbali.. Ila hii sauti ya kwanza ni balaa🙌 yaani iko pow sana🤝
uwiiii Mimi nawapa maua yaooo💐🌺❤️❤️🙌
Mungu azidi kuwabariki sanaa
Waooo wimbo mzuri sana,mbarikiwe na muende mbali
Amina..mbarikiwe
Dotto kanileta huku✅😄
What a powerful song!,may God bless you all
Amen
Amen Amen Amen tutafute kwanza ufalme wa Mungu
Wimbo mzuriiiiii sana na ujumbe wake ni mzuri mbarikiwe sanaaaaaaaaaaaaa
Kurasini Youth Choir… Like Father like Son..Good Job Keep it up🔥🔥🔥
Amen