MABORESHO UWANJA wa NDEGE SHINYANGA KUGHARIMU BIL 49, MKUU wa WILAYA AFAFANUA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ค. 2023
  • MABORESHO UWANJA wa NDEGE SHINYANGA KUGHARIMU BIL 49, MKUU wa WILAYA AFAFANUA...
    Uwanja wa ndege wa Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga umeanza kufanyiwa ukarabati pamoja na upanuzi wa uwanja huo baada ya kukaa muda nrefu bila kufanya kazi na kusababisha kusafiri kilomita 164 kufuata huduma Jijini Mwanza.
    Akizungumza na wadau wa usafiri wa anga Mkoa wa Shinyanga baada ya kutembelea eneo la ujenzi,Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Johari Samizi alisema hatua hiyo itasaidia kuondoa usumbufu waliyokuwa wakipata kwa kukosa huduma karibu.
    Mkuu wa Wilaya alisema ujenzi huo unagharimu zaidi ya Sh49 bilioni fedha ambazo ni nyingi na kuwataka wakala wa barabara Mkoa wa Shinyanga (Tanroads)kuhakikisha wanasimamia mradi huo utekelezwe kwa kiwango na kukamilika kwa kufuata mkataba wa ujenzi.
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 1

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...