Sugu - Deiwaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @mwasakafyukasamson
    @mwasakafyukasamson ปีที่แล้ว +1

    Hii song nadhani ndio ilihitimisha kilele Cha Ubora wa Sugu

  • @salvatoreignazio1701
    @salvatoreignazio1701 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali mziki wako bro wani hasira yakutafuta maisha...from kenya mombasa

  • @flowinkilangira1545
    @flowinkilangira1545 4 ปีที่แล้ว +4

    Daaah nakumbuka Nikiwa primary s/m Maweso 1999 huko madaba ndani ya mkoa wa ruvuma. Daaah deiwaka ilibamba ni hatari.

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 4 ปีที่แล้ว

      Usiseme Mombasa same time,tulvyochacharika na mashairi ya huyu muungwana

  • @emmanueljudas4522
    @emmanueljudas4522 4 ปีที่แล้ว +3

    Deiwaka..2020 mbeya moja.

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 4 ปีที่แล้ว +4

    Kitambo sana 1999

  • @wilhemmwamwezi2392
    @wilhemmwamwezi2392 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaka ndom inapopasuka

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni noma nusu....✊🏿✊🏿✊🏿

  • @khalfanimtesigwa5693
    @khalfanimtesigwa5693 8 หลายเดือนก่อน

    The realest 🙌

  • @abelraston3887
    @abelraston3887 3 หลายเดือนก่อน

    Daa nilikuwa std 3 1996 kitambo saaaana

  • @reportstime187
    @reportstime187 4 ปีที่แล้ว +2

    Malegend tu ndio tunaelewa, huku tulipotoka..

  • @sebastianwilson213
    @sebastianwilson213 4 ปีที่แล้ว +1

    Mano likwe likwe

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa shule ya msingi

  • @winstonrwegalulila4683
    @winstonrwegalulila4683 4 ปีที่แล้ว +1

    Hizi sugu ngoma suguz💪💪👃

  • @luciustumbuka7665
    @luciustumbuka7665 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother fanya kuzi weka na Spotify

  • @ramadhanally3964
    @ramadhanally3964 4 ปีที่แล้ว +1

    Apa umenishika

  • @Mtukula
    @Mtukula 4 ปีที่แล้ว +1

    Deiwakaa

  • @MwlPaulFrank
    @MwlPaulFrank 4 ปีที่แล้ว

    Da noma sana