Great..!!, Abbu wewe ni hazina na mfano wa kuigwa, kwanzs kama mwanamuziki lakini pili kama mwandishi kwa muktadha wa kitabu chako cha "Maisha Yangu na Bendi Za Wanyika"
Hongera sana Abuu, umenikumbusha mbali sana. Mimi ni mpenzi mkubwa wa Simba na less wanyika. naomba kitabu chako cha kiswahili, nielekeze namna ya kukipata haraka.
Amenikumbusha sana habari za bombasi club pale Nairobi nilikuwepo pale mwaka 1998 hakika historia ni kitu kizuri sana .kama nikiwa hai nitakwenda Tena!!!!
Niko arusha ntapataje kitabu hicho cha kiswahili na wewe uko wapi ? Kuna duka la vitabu hapa arusha linaitwa kase book shop ukituma hapa ntakipata . HONGERA SANA KAKA
Kazi nzuri sana kitabu fresh mno
Abbu Omar hii ni kazi nzuri sana. Nashukuru kwa historia hii
Ukweli
Great..!!, Abbu wewe ni hazina na mfano wa kuigwa, kwanzs kama mwanamuziki lakini pili kama mwandishi kwa muktadha wa kitabu chako cha "Maisha Yangu na Bendi Za Wanyika"
Good work
Hongera sana Abuu, umenikumbusha mbali sana. Mimi ni mpenzi mkubwa wa Simba na less wanyika. naomba kitabu chako cha kiswahili, nielekeze namna ya kukipata haraka.
Melodica stores
Saf sana kaka Abuu
Uko vizuri aana beo, itabidi tuonane
Hongera sana Prof. Junior
Umefanya Jambo Ambalo halitasahaulika.kazi Nzuri Sana
Amefanya kazi kubwa sana huyu jamaa anatufundisha mambo mengi.is it a good job I will buy this book it is a historical epoch!!!!!
Can you also give us a narration on Charles Ray Kasembe
An incredible story teller, bravo bwa Omar!!
Kilakitu umesema bravo about omari good
Braza unajua hasa
Safi sana mkuu kazi njema
Kitabu kinapatina wapi?
Kazi nzuri kiongozi
Amenikumbusha sana habari za bombasi club pale Nairobi nilikuwepo pale mwaka 1998 hakika historia ni kitu kizuri sana .kama nikiwa hai nitakwenda Tena!!!!
Bombax Pale Ngong Road Mkabala Na AGIP Petrol Station Ilibomolewa Miaka Mingi Iliyopita Siku Hizi Kuna Junction Mall Pahali Hapo.
Hongera good job
Hongera pro
kazi nzuri
I have checked on Amazon can’t find this book. Where can I find it?
Bro hauna website umeweka hii Kitabu?
Hongera Sana mkuu,kitabu hiki naweza pata wapi
Mimi nipo iringa
I would appreciate a copy. Where can I buy?
Melodica stores in Nairobi
Kitabu kinauzwa bei gani
Niko arusha ntapataje kitabu hicho cha kiswahili na wewe uko wapi ? Kuna duka la vitabu hapa arusha linaitwa kase book shop ukituma hapa ntakipata . HONGERA SANA KAKA
Hicho kitabu kinauzwa shilingi ngapi na kinapatikana wapi Mimi Niko masasi
Vitabu kwa Tanzania vinapatikana wapi
nakipataje
Melodica stores Nairobi
Hiki kitabu nitakipata aje hapa Ulaya.
Hi pro junior hapa Nairobi tutaipata wapi?
Melodica stores
Good
Mimi nipenzi
Nitapataje nakala Kenya kaka.
0729 829697 Nuria Bookshop
Naomba nakala ya kiswahili tafadhali Abuu 💪💪👍👍🔥🔥
Vitabu kwa Tanzania vinapatikana wapi