Eric Lowasa hahaha thank you you hate him that your own buzna Nobody gonna pay you for your hatred one moment please f$#@ you too hahaha We all need love❤💜❤💋
Alikiba safi sana umeonyesha uwezo mkubwa sana.sasa acha malumbano zaid onyesha uwezo.hata wakifanya nn hawatakuangusha sana sana watakuchekewesha tuu lakini ww ni zaidi yao na umeonyesha safi sana
show za intentional watu hawa ruhusiwi kukaa backstage alafu wafanye mambo Yao, simba hata wakawa million hawawezi muangusha tembo matokeo ndio kama hayo muyaonao
kazi nzuri mmefanya kwa kweli..Yemi ..Sautisol na Alikiba..safi sana..mimeipenda..sauti zenu nzuri sana
yeaaaaah real voice great performance ALIKIBA u a real musicia Popit
2020. Came back for this performance. Weeeh Yemi amenipea goosebumps walahi. Kiba naye hapo sisemi kitu. Sauti sol never disappoints
Alikiba ni kipenzi cha watu weweeeeee nani anabisha pewa chupa ya maji baridi utulize one love alikiba is my best
Kipenzi cha wakata viuno especialy you fu...ck u
Eric Lowasa hahaha thank you
you hate him that your own buzna
Nobody gonna pay you for your hatred
one moment please f$#@ you too hahaha We all need love❤💜❤💋
nic
Mum Raymond
Mum Raymond safi sn
Mbali na uimbaji mzuri nimefurahi kuiyona bendera ya nchi yng
alikiba voice killed it
Ali Kiba the real Man always taking things easy. ..much love from kenyan in Jordan.
Alikiba Wakuwawache jamaniiiiiiii!!!!!! your a fire, wataungua bureeeee
Big up San kibaa umetishaa much respect broo
olwayz on top kibaaa....yaaani Kenya we love you mingimingiiii
Yule Sallam yuko wapi? King Kiba bigup....nice show
naipenda tim kig kiba
Show ni live bila kufatishafatisha CD nimeipenda hakika,nimewapenda sana walivyofunika
Akiamungu kiba ametisha sana... jamaniiii....tumpe nini kiba wetu huyuuuuuu....mungu akulinde kiba ....umekinukisha kinoma noma .....kakakaaaaanguuuu uuuuuuwwwwwiiiiiiiiiii dah.. wazimu wanitoookaaaaaa Alikiba nakukubali mie
Augostiner Mercy tumpe sapoti nyingi
Augostiner Mercy sana kiba weka mbali na watoto
King Kiba for life much love from +974
yeuwiiiiii kiba u kill it akiyanan ww nyokooooooo unajua mbka unakeraaaaa
I love this combination
Alikiba😘😘😘😗😗😗
Weka nyingine kiba tuone Uko vizuri sana
A good Perfomance from Sauti and Ali kiba By the way zamu yako itafika tu Ali kiba we ni mwanamuziki mwenye kipaji cha hali ya juu
Alikiba ni all levels haitaj kwenda next...tisha sana kiba
You made it bro, nakukubali mpaka nasikia kuumwa, na wakuache miaka elfu kumi
Ali Kiba mfalme wa bongo flavour...salute bro
kamkopi diamond kwenye salome ayooo
Mob love for Alikiba...haters tumewazoea
For real ur a king Piga kelele kwa kibaaaaa Good perfomance big up sauti sol
Ali ahsante kwa upole wako very Classic 💪🍾
vocals on point.. yemi,best group and King kiba
Excellent stuffs! now this is live performance, u can clearly feel the energy
ALIKIBA UMEUA AISEE, KWELI WEWE NI KING
Jamani Ally wewe ni noma nimbunifu mbaya, mpaka mwili unanisisimka. we ni noma hatari.Nimependa umesisimuwa ukumbi mzima, Asafi sana.
Alikiba safi sana umeonyesha uwezo mkubwa sana.sasa acha malumbano zaid onyesha uwezo.hata wakifanya nn hawatakuangusha sana sana watakuchekewesha tuu lakini ww ni zaidi yao na umeonyesha safi sana
mhaga makonge umesema kweli kabisa kk
King u Killed It...Papiiiiiiireeeet
king kiba w sio mtu wa sport sport kwa kwl maan sio kwa style hyo! SALUTE xn
the best kiba
katishaa sanaaaaa ,natural voice kama yangu vilee
hehehe umenimaliza 😂😂😂
😂😂😂😂umetixha
Nice
Quarty
Vanessa faustine
wataisoma #255 tunawasubir fiesta kiba mwana mzik sio mruka salakas shikamooooh kiba.
Ali yaani popote nitapokuwa duniani daima nitasikiliza ngoma zako bro... One love the king of bongo flavour
ilikua bonge la shangwe iseee big up to sauti soul n king kiba.
King and Simba wote wakali.Fellow Tanzania plz surport this artist. Ebu tuwaangazie mfano wa Wanaigeria Davido and Wizkid.
Anna Mtei i wish everybody could understand this.... Diamond and King kiba they are all good artists
hii video shenz sana inamaliza sana bando yangu hapo kwenye I beliiiiiiiive oooh my God...I fil to die
President wa wanyama wote.....KING KIBA.
Welcome to Seattle Alikiba
alikiba is the Best.
Wapi like ya Africa...254 sana..
ndoo maana mie nakukubalii kitu cha live achanna wasenge anaoimba playback
sautisol congrats on best group in Africa. mob love. 💖💖💖💖💖💖💖
9c performance 4all but xtil love you king
Alikiba umetisha sana no one like u brother
the king .................kibaa no one like youuuu
East Africa Tosha with @sauti sol and @alikiba.
OMG, Kiba sauti tamu paka damu ime nisisimuka
u always my inspiration king kiba
kiba watakuroga shauri yako
Biiman Wamba awamuwez uyo ndo mkali WAo akoseag
Biiman Wamba ha haaaaaa nia safi ailogwi....kiba oyoooo
Kinggggggggg
Tanzania tunajua big up king kiba
it 23 Dec but umejikuta hapa piga sign
2019 Kiba
alikiba iyo sauti komaaaa and saut soul love you guys
A good perfomance from kiba ..keep it up bro
How is watch 2021 🔥🔥🔥 kiba forever
one love King kiba
King kiba n Saut sol ..Ninoma sanaaaa
Watching in 2019
king kiba aiseeeeee hatareeeeee
I love kiba
Yewiiii king kiba you made it...
King 😘😘😘😘😘nimrdy tena 2020
No where be like home no where be likeAfrica🙌#One love
king kiba salute bro
Finally he has dropped salute 2021❤😂😂
Alikiba ur a King.... umefunika sio kwa shangwe izo
show za intentional watu hawa ruhusiwi kukaa backstage alafu wafanye mambo Yao, simba hata wakawa million hawawezi muangusha tembo matokeo ndio kama hayo muyaonao
out of mind
great we love you kiba
Alikiba 🥰🇹🇿2022
omg Alikiba ur performance was on top loved everything about it keep it up
hii safi siyo kama wale wanatumia cd
unconditionally bae,big up Alikiba n sautisol
King kiba 🙌🙌🙌👍
kiba kipenzi cha watuuuuu!!!!!mob mob love
Ali kibaa noma kanipigia vzuri sana
Hataliiii king kiba
Kingkibaaaaaa
Ali kiba 🔥🔥🔥💪
Wasee Ali killed it,safiiiii.
i will forever be your fan King of all times. #you killed it all.
I watch this video in every free time i have.
Excellent perfomance ✔✔✔✔✔✔✔✔
Kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
King Kiba 👑👑👑💕💕💕💕💕
Nimekubali Kiba
king amewezaa
Our East African Boyz slaying
nadhan mmejua kua #king atabak kua #king tu kwanza anapumz ktk kuimba like alivyosay kwmb yy co dancer bt n #muimbaji #kiba unajua mpk unanikera sasa😊😊😊
nc kibaaaa
Alikiba is number 1
#ALIKIBA
Baba yaoo,,,
King kiba imeweza hiyp
hiyo
kiufupi #mfalme sio mtu wa kujisikia namkubali sana ally kiba one love
good I lik it
kiba ni sheeeda:-D:-D:-D
kibaaa sauti yakoo ni shidahhh
nyc one u made it kiba
KIBA PABIRE KING MWENYEWE
Alikiba you are really
👑 kiba
Saluti kwako kibaa