MWIBA MCHUNGU, KIKOKOTOO KIPYA CHA MAFAO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Kikokotoo kipya cha mafao kimekuwa mwiba mchungu kwa wastaafu. Nini maoni yako juu ya mfumo huu mpya?
    #clouds #ethics #philosophy #wasafi #clouds #aristotle #cambridge #tbc #trending

ความคิดเห็น • 23

  • @NsajigwaBridgiett
    @NsajigwaBridgiett 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunashangaa selikali kufurahi kuwafukarisha watu waliohudumia chi YA kwa moyo MPAKA wamezeeka .nguvu hamna hatuwezi tena kuchakarika nguvu zimekwisha mbona wabunge wanapata mahela kubaka?

  • @stellacosmacy4785
    @stellacosmacy4785 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu wasaidiyee wanawako mungu yupo mungu yupoo

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 5 หลายเดือนก่อน +1

    💯💯✔

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 5 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani wamezidiwa.na wafanyakazi wa.ndani wa.Oman

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 5 หลายเดือนก่อน +3

    Sio haki kwakweli serikali haijatenda haki hapa watasababisha watumishi wawe wezi na wataibiwa sana

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu  5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @matildamfoi8313
    @matildamfoi8313 6 หลายเดือนก่อน

    Inauma Sana Kwa kweli

  • @bahatiangle4424
    @bahatiangle4424 6 หลายเดือนก่อน

    Kimeanza tangu tarehe 1 mwezi 7 2022

  • @bahatiangle4424
    @bahatiangle4424 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tumestukizwa mwanangu wangeanzia angalau Akira mpya.
    Angalau watakuwa wamejiandaa

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu  5 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari sana ndugu yangu

  • @NsajigwaBridgiett
    @NsajigwaBridgiett 4 หลายเดือนก่อน

    Kikotoo kimeanza tarehe July mosi 2022 tiliostafu baada YA hapo tukaathirika vibaya KWA kwani walitangaza kingeanxa 2023

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali inawauuwa watumishi wake ki masosaso kwa kuwanyima haki zao kuhusu kikokotoo

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani kumbe huyo mtumishi akifa hizo hela ambazo serikali eti inawatunzia zinabaki serkalni we mungu wasaidie hao watumishi

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu  6 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari kwa kweli

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kikokotoo hawakitaki watumishi wote

    • @TatuRashid-d6t
      @TatuRashid-d6t 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna snaekihitaji kikokotoo walipen watu pesa zao

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu  6 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari kwa kweli

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu  6 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari kwa kweli

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze 7 หลายเดือนก่อน

    Ilitakiwa mtu anpoanza kazi ndiye asaini mkataba akubaliane kanuni mpya ya mafao siyo kumshitukiza mtu

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu  7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa,
      Hii haijakaa sawa

  • @sumbalitv7195
    @sumbalitv7195 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂