Aron Mdemu
Aron Mdemu
  • 20
  • 3 221
AFRICA NA MAJANGA YAKE
AFRICA NA MAJANGA YAKE
มุมมอง: 18

วีดีโอ

KISA CHA KING LOUIS XI NA MTABIRI WAKE
2 หลายเดือนก่อน
KISA CHA KING LOUIS XI NA MTABIRI WAKE
KUHUSU BUNGE NA WATUNGA SERA WOWOTE
มุมมอง 434 หลายเดือนก่อน
Watunga sera wanamchango mkubwa katika kuifanya nchi kuendelea au kuto kuendelea au kurudi nyuma kabisa. Nguvu kubwa inapaswa kuwekezwa kwa watunga sera wazuri wanaofanya majukumu yao bila upendeleo na kwa manufaa ya taifa kwa ujumla #education #millardayo #motivation #america #philosophy #africa #clouds #goodgovernace #plato #politics
MABADILIKO YANAANZA NA WEWE!!
มุมมอง 45 หลายเดือนก่อน
#education #politics #philosophy #citizen # #america #millardayo #motivation #inspiration #change #responsibility #goodgovernace
KUELEKEA UCHAGUZI
มุมมอง 185 หลายเดือนก่อน
Nini unatarajia kwa viongozi wako lakini hutimiziwi?
ALLEGORY OF THE CAVE #plato
มุมมอง 205 หลายเดือนก่อน
Je, wewe upo pangoni au upo nje ya pango? Weka comment yako hapa. #education #harvard #motivation #philosophy #america #aristotle #clouds #ethics #plato #millardayo #ancient #africa
Philosophy
มุมมอง 46 หลายเดือนก่อน
#ethics #philosophy #cambridge #oxford #harvard #millardayo #education #america #motivation
PATO NA MAENDELEO YA MTU MMOJA MMOJA
มุมมอง 307 หลายเดือนก่อน
Je, unamfahamu Pato la Taifa la mtu Mmoja Mmoja kwa Mwaka? Je, Unajua njia ya Bora ya Kupima maendeleo ya Mtu Mmoja Mmoja? Toa maoni yako hapa #clouds #philosophy #cambridge #aristotle #wasafi #ethics #johnrawls #harvard #rafiki #friendship
BAHATI NA MAISHA?
มุมมอง 217 หลายเดือนก่อน
Je, umefanikiwa katika jambo fulani. Manikio hayo ni matokeo ya bahati au jitihada? Toa maoni yako kwenye sehemu ya comments #clouds #ethics #wasafi #philosophy #aristotle #cambridge #johnrawls #harvard #rafiki #friendship
JUSTICE
มุมมอง 258 หลายเดือนก่อน
Namna St. Thomas Aquinas anavyolezea maana ya haki (meaning of Justice). Lakini pia namna Aristotle anavyoeleza haki kwa kuonesha aina 4 za haki ambozo zinaonesha namna gani tunaweza kupata jamii ya haki (Social Justice) #philosophy #ethics #cambridge #aristotle #harvard #johnrawls #friendship #rafiki #wasafi #clouds #politics #justice #humanity #humanrights
MWIBA MCHUNGU, KIKOKOTOO KIPYA CHA MAFAO...
มุมมอง 2.3K8 หลายเดือนก่อน
Kikokotoo kipya cha mafao kimekuwa mwiba mchungu kwa wastaafu. Nini maoni yako juu ya mfumo huu mpya? #clouds #ethics #philosophy #wasafi #clouds #aristotle #cambridge #tbc #trending
MAANDAMANO NA UHURU WA MTU MMOJA MMOJA
มุมมอง 948 หลายเดือนก่อน
Wewe una maoni gani juu ya maandamiano? Weka maoni yako kwenye sehemu ya comments 🙏 #clouds #ethics #philosophy #wasafi #cambridge #harvard #johnrawls #etvnews #ccm #maandamano #UDSM
UONGOZI
มุมมอง 379 หลายเดือนก่อน
Uongozi unamisukosuko mingi hasa katika kufanya maamuzi. Hii ni moja ya njia ya kushinda misukosuko katika uongozi. Ni mawazo kutokana na maana ya ujasili kutoka kwa Aristotle. #philosophy #ethics #wasafi #clouds #cambridge #harvard #aristotle #rafiki #johnrawls
UONGOZI BORA
มุมมอง 739 หลายเดือนก่อน
UONGOZI BORA
ELIMU KAMA KIKOKOTOO KIPYA!
มุมมอง 529 หลายเดือนก่อน
ELIMU KAMA KIKOKOTOO KIPYA!
John Rawls
มุมมอง 2569 หลายเดือนก่อน
John Rawls
Boundaries /mpaka
มุมมอง 219 หลายเดือนก่อน
Boundaries /mpaka
MFAHAMU ARISTOTLE NA FOUR CAUSES.
มุมมอง 1579 หลายเดือนก่อน
MFAHAMU ARISTOTLE NA FOUR CAUSES.

ความคิดเห็น

  • @PioKomba
    @PioKomba 2 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @NsajigwaBridgiett
    @NsajigwaBridgiett 4 หลายเดือนก่อน

    Tunashangaa selikali kufurahi kuwafukarisha watu waliohudumia chi YA kwa moyo MPAKA wamezeeka .nguvu hamna hatuwezi tena kuchakarika nguvu zimekwisha mbona wabunge wanapata mahela kubaka?

  • @NsajigwaBridgiett
    @NsajigwaBridgiett 4 หลายเดือนก่อน

    Kikotoo kimeanza tarehe July mosi 2022 tiliostafu baada YA hapo tukaathirika vibaya KWA kwani walitangaza kingeanxa 2023

  • @cowboycleiz3672
    @cowboycleiz3672 5 หลายเดือนก่อน

    Tumekuelewa kaka

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 5 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @Thinkersway
    @Thinkersway 5 หลายเดือนก่อน

    Very nice hii story inamaana mbili..

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 5 หลายเดือนก่อน

    💯💯✔

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 5 หลายเดือนก่อน

    Sio haki kwakweli serikali haijatenda haki hapa watasababisha watumishi wawe wezi na wataibiwa sana

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani wamezidiwa.na wafanyakazi wa.ndani wa.Oman

  • @bahatiangle4424
    @bahatiangle4424 6 หลายเดือนก่อน

    Tumestukizwa mwanangu wangeanzia angalau Akira mpya. Angalau watakuwa wamejiandaa

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 5 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari sana ndugu yangu

  • @bahatiangle4424
    @bahatiangle4424 6 หลายเดือนก่อน

    Kimeanza tangu tarehe 1 mwezi 7 2022

  • @stellacosmacy4785
    @stellacosmacy4785 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wasaidiyee wanawako mungu yupo mungu yupoo

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani kumbe huyo mtumishi akifa hizo hela ambazo serikali eti inawatunzia zinabaki serkalni we mungu wasaidie hao watumishi

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 6 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari kwa kweli

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 6 หลายเดือนก่อน

    Kikokotoo hawakitaki watumishi wote

    • @TatuRashid-d6t
      @TatuRashid-d6t 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna snaekihitaji kikokotoo walipen watu pesa zao

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 6 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari kwa kweli

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 6 หลายเดือนก่อน

      Ni hatari kwa kweli

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 6 หลายเดือนก่อน

    Serikali inawauuwa watumishi wake ki masosaso kwa kuwanyima haki zao kuhusu kikokotoo

  • @matildamfoi8313
    @matildamfoi8313 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli tunapumzika Kwa uchungu na huzuni kubwa miaka 60 tunaanza wapi tena serikali ituonee huruma tumalizie maisha yetu hapa duniani Kwa furaha vinginevyo tunakufa Kwa uchungu mkubwa na tutawaacha watoto na wajukuu wakihuzunika kwa sjili ya kikokotoo na mimi nimewaambia kny geneza langu waandike kikokotoo sijawahi kuona kitu kinachouma kama kikokotoo natumaini na furaha ya kuishi imepotea kabisa natamani hata nikifa geneza langu hapo juu liandikwe kikokotoo

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 6 หลายเดือนก่อน

      Pole sana ndugu yangu. Hili jambo ni mwiba kweli kweli

  • @matildamfoi8313
    @matildamfoi8313 6 หลายเดือนก่อน

    Inauma Sana Kwa kweli

  • @sumbalitv7195
    @sumbalitv7195 7 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kaka

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze 7 หลายเดือนก่อน

    Ilitakiwa mtu anpoanza kazi ndiye asaini mkataba akubaliane kanuni mpya ya mafao siyo kumshitukiza mtu

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa, Hii haijakaa sawa

  • @sumbalitv7195
    @sumbalitv7195 7 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏🫡🫡

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @Sankofa0606
    @Sankofa0606 7 หลายเดือนก่อน

    Good job

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @manotibit5266
    @manotibit5266 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana unaupiga mwingi endelea kutupa madini mazuri zaidi

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @penny__amyleon
    @penny__amyleon 7 หลายเดือนก่อน

    Keep going broh😌😌😌

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @Sankofa0606
    @Sankofa0606 7 หลายเดือนก่อน

    Good

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @sumbalitv7195
    @sumbalitv7195 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @imanchristian7415
    @imanchristian7415 8 หลายเดือนก่อน

    lakin pia idea pekee haitosh kufanya changes practical is important bro.

  • @imanchristian7415
    @imanchristian7415 8 หลายเดือนก่อน

    according to john Locke kam government haitimizii wananchi wake haki zao inatakiwa waiondoe iyo regime sio kwa manufaa ya leo 2 bali kwa kizazi kijacho pia so maandamano ni haki.

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 8 หลายเดือนก่อน

      Ndio. Lakini alistotle anasisitiza juu ya kutumia good means towards good end. Tunapaswa kutumia njia sahihi kupata kitu sahihi.

    • @imanchristian7415
      @imanchristian7415 8 หลายเดือนก่อน

      apana thats not ok ukiangalia utopian socialism haikuweza kuendelea au kuleta mabadiliko kwasababu ili base katika good end kumbe practical and sucrifice are most powerful things look on scientific socialism of karl marx. @@Aronmdemu

  • @DanKarasent
    @DanKarasent 9 หลายเดือนก่อน

    Anatia Huruma Sana. Lakini sawa ndo vijana wetu. Nyerere kwa Umri wa Huyu Kijana alikuwa na Akili mara mia zaidi.

  • @NjigeKabogo
    @NjigeKabogo 9 หลายเดือนก่อน

    Kama elimu ya chuo inawafanya vijana wawe na mentality hii basi kuna haja ya kubadilisha mfumo wa elimu

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 9 หลายเดือนก่อน

    keep moving on, ethist one mr.Aron mdemu

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @clodoaldusrutakangwa2702
    @clodoaldusrutakangwa2702 9 หลายเดือนก่อน

    Umetisha📌

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 9 หลายเดือนก่อน

    something huge. God bless you

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 9 หลายเดือนก่อน

    facts.

  • @francisc.mwinami9916
    @francisc.mwinami9916 9 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👍💯

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kutuelimisha vizuri kaka, Next tunahitaji tumjue Robert Nozick.

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Bila shaka kaka

  • @sumbalitv7195
    @sumbalitv7195 9 หลายเดือนก่อน

    Role model wako 😂

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 9 หลายเดือนก่อน

      Naam

  • @tukuyufm.
    @tukuyufm. 9 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu kazi nzuri sana iliyo ndani ya uchambuzi makinifu.

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @sumbalitv7195
    @sumbalitv7195 9 หลายเดือนก่อน

    Baba wa fasihi

    • @Aronmdemu
      @Aronmdemu 7 หลายเดือนก่อน

      Naam