Nakuamin sana mama yangu uko vzr umetuvusha salama kwenye korona cjui itakuaje tutaletewa chajo maana najua wazungu hawataki tz tusonge mbele namwombea mama yetu samia asimame hivohivo asilegeze tumalizie mirad yake yote bwawa la nyelele reli kigongo busisi meli inayo jengwa nimeng siwez kutaja yote ila mungu ndo anae jua umuhimu wa tz anakusud lake
Hata wengi kenya wanasema kazi ya Magufuli lazima iendelee hadi ifike kenya kupititia viongozi wa kenya kona hiyo tuu ndiyo njia ya kuinua masikini na kusukuma gurudumu la ujenzi wa taifa
Hongera sn Waziri Ummy Mwalimu kwa Utendaji wako wa kazi Mzuri ktk Wizara ya Afya... endelea Kupambana zaid Mungu atakusaidia 👏👏👏👏👏
Du!mungu ni muweza,tuko nyuma yako.
like kwa umy mwalim
Hongera waziri,tunaumia sana
Legends never die, they multiply
Asante' Sanna kwa wutchapa kazi dada yagu n'a mimi m'comoros lakini najuwa Tanzania 🙏🙏🙏🇰🇲🇰🇲🇹🇿🇹🇿
R.i.p Dr Magufuli... 🇹🇿 🌍 His work Must Continue by any means nessesary,,,, We must Never Allow Foreign Thieves to STEAL/ROB our Resources any more...
This is powerful
Asante sana ummy mwalimu💕Mungu akusimamie
Dah yani umeongea vzr sana ummy
Yani uyu mama ana uwezo mkubwa na wizara ya afya umy uko vizuri
R.I.P Dk John Pombe Magufuli hakika Ww ni Shujaa wa Africa... tutaendelea kukukumbuka Milele Daima Baba 🙏🙏🙏🙏
Pumzika kwa Aman raisi Dr John pombe magufuli tutakumbuka daima
Hongera Ummy urudishwe kwenye wizara ya afya🔥🔥🔥🔥
Hongera mwalimu ummy
Ongera ummy mwalimu kwaku chap kaz
Good tutakukumbuka baba yetu Mungu akulaze mahala pema peponi
Inshaallah mungu awasimamiyeni viongozi wetu
Umeongea kweli waziri ummy kweli tumeiona kazi yako kpnd kile kigumu cha mdudu corona
Kweli mama umeongea vema
Umy mwalimu arudishwe kwenye wizara ya afya mapema sana
Rest In Peace Rais Wetu
Nakuamin sana mama yangu uko vzr umetuvusha salama kwenye korona cjui itakuaje tutaletewa chajo maana najua wazungu hawataki tz tusonge mbele namwombea mama yetu samia asimame hivohivo asilegeze tumalizie mirad yake yote bwawa la nyelele reli kigongo busisi meli inayo jengwa nimeng siwez kutaja yote ila mungu ndo anae jua umuhimu wa tz anakusud lake
Amina ..rip baba mkombozi wetu😭😭😭😭😭😭😭
Hata wengi kenya wanasema kazi ya Magufuli lazima iendelee hadi ifike kenya kupititia viongozi wa kenya kona hiyo tuu ndiyo njia ya kuinua masikini na kusukuma gurudumu la ujenzi wa taifa
HATA WEWE UNAWEZA KUWA RAIS KWA KWA KWELII . YOUR GOOD NA UNAWEZA UMMY. NAKUPENDA SANA KWA KWELI. WEWE KWELI NI MSOMI
Aamiin yarabbaala'lamin
Amina
RIP John Magufuli tutakukumbuka kwa kututengenezea TANZANIA ya kisasa pole mama JANNET. MAGUFULI
Saint Magufuli 🙌🙌🙌🙌
👏🏽
Respect in peace magufuli
Ndiyo mama Ummy tunakumiss sana kwenye wizara hiyo.
Kweli akapumzike
Dada ummy ujue nakupenda sana kama magufuli natamani hata ungekuwa rahisi
Amen
Mr Magufuli aliipenda watu wa Tanzania na nchi ya Tanzania,
Mama samia naomba umrudishe huyu mama wizara ya afya
Hakika
Yule dish imeyumba
Kabisa arudishwe
Yule aliyepo ndiye anafaa zaidi
Wa saiv ndo Daktari kitaaluma ingawa huyu nae alifanya kwa nafasi yake lkn sio Daktari kitaaluma.
💔
RIP baba tutakumiss mnoo
Nenda salama shujaa wetu
Azam TV
Na kuku bali sana mama
Rip
Pumzika kwa amani magufuli wetu
Mhurumie
Tunakumisi kwenye wizara hy
R I p
R. I. P
nimeumia Sana'a nenda baba mwendo umeumaliza salama mbele yako nyuma yetu
😭😭😭😭😭😭
Nenda salama
Paschal bundala pumzika kwaaman magufuli R.I.P
Lala salama bb
DADA YANGU NAKUAMINIA SANA
Pumnzika kwa amani baba yetu magufuli
Isingekuwa yashatokea umy mwalimu alifaa kuwa rais
Umi mwalim wewe nijasili ungekua makam waraisi
Pumzika kwa amani magufuli
Kk
😭😭😭😭😭😭🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Jaman huyu mama daaa bora arudi kule then gwajima abaki katibu wa afya
😂 WANAUME.MPO HAMPO MPO WAPI
Mungu awatie nguvu sins wasiwasi na nyie wanawake tunaweza
Ummy vaa MUSK kwa hifadhi ya afya yako...na WANANCHI...
Huyu mbona kachangamka hvi hana hata huzuni
Moyo unauma
Ni Daktari si lazima aonyeshe huzuni
Kwan kua na huzuni mtu unakuaje......kila mmoja na muonekano wake kaka....na huzuni ya mtu ipo kwa nafc yake na c lazma kugaragara au kuzimia
Uyo keshalia na kunyamaza apo ndo kapata nguvu anaweza kuongea na pia mungu kamjaalia sauti yke ina nguvuna alipo pia hapa zogo
Angalia macho utajua ana hali gani huyo ni dokta majonzi yake huwa yana ishia moyoni
Shule tosha
گرفت.تا
AMEN
Mhurumie
Nampenda Sana mama Ummy,