SAYANSI NI FALSAFA ZILIZOIBIWA NDANI YA QUR-AN|MAYAHUDI WAMEFUZU KUTENGENEZA VITU HATARI SANA DUNIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2021
  • #Adiltv #ShkSuleimanBinAbbas #DarsaLaShekhShahran #SheikhMselemBinAly

ความคิดเห็น • 113

  • @husseinsaidilai7887
    @husseinsaidilai7887 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna wajibu kuwa peleka watoto wakazame ktk elimu ili tuwe na majibu kwa allah asante sheikh

  • @alimwayama5490
    @alimwayama5490 2 ปีที่แล้ว +1

    ww ni sheikh kweli jazaka llah kheir

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mohdzotv2676
    @mohdzotv2676 2 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah kwa kuzaliwa muislam

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f 4 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa allah

  • @zubeirmohammedy6871
    @zubeirmohammedy6871 2 ปีที่แล้ว +3

    Hazina kubwa sana kwa manufaa ya uislam kuwa na mashekhe mfano huu

  • @MudrikKhalid-dm2de
    @MudrikKhalid-dm2de 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 2 ปีที่แล้ว +1

    Tabaraka Allah khery

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah 💕

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu Khair.. kiukweli unasababisha Imani zipande

  • @rahmakutitu4875
    @rahmakutitu4875 ปีที่แล้ว

    Maashallaa Mungu akuzidishie ulipopungukiwa

  • @mohammadidris7258
    @mohammadidris7258 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alaykumu warahamatullahi wabarakatu mashaallah uko shekh mzuri

  • @hilalikaumo3470
    @hilalikaumo3470 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah kwa elimu kubwa.Allah akuhifadh shekh wetu

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f ปีที่แล้ว

    shukran sheikh

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 2 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah....

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 2 ปีที่แล้ว

    Waalaykum salaam warahmatullah taalawabarakatuh
    Jazzakumllah Khery

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 2 ปีที่แล้ว

    Amini amini amini amini amini amini yaarabi aramin

  • @abdilillahramadhan9637
    @abdilillahramadhan9637 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilicho jifunza nikwamba tusitukanane shkh kazama hayandio mambo tunayo yataka

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 2 ปีที่แล้ว

    AllahuMubdiu

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 ปีที่แล้ว +3

    Pua masaa 24 kupumua ata ukilala ila viungo vingine vyote vinakuwa vinafanya kazi kwa uwezo mdogo sana.iyo sayansi NO

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว +1

      Ukilala hujikuni ?? Hujambi hupumui hukoromi ?? Hujaskia mtu akisema anakuskia kwa mbali na alikuwa kalala hujaskia watu wakiongea usingizini hujaskia watu wakitenda huku wa melala ?? Ukisema vitu kaa ufkirie !! Unashangaa kulala watu wakiwa wamekufa wanaskia na wanasema lkn sisi hatuwaskii kaa kitako usome sio unakaa barazani kuangalia mambo yaso mana

  • @mohammadidris7258
    @mohammadidris7258 2 ปีที่แล้ว

    👋

  • @mohammedbakhresa3823
    @mohammedbakhresa3823 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanawah

  • @loveoman6655
    @loveoman6655 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah .

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Sayansi haiwezi kuoiga Imani. Hakuna Imani yeyote iliyowahi kulishinda sayansi

    • @user-lx9hv7xv3z
      @user-lx9hv7xv3z ปีที่แล้ว

      We mgonjwa

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

      Sayansi inatoka ndani ya Qur'an sababu Sayansi ni watu Qur'an ni maneno Ya Muumba
      Muumba wa hy sayansi na hao wanasayansi
      Au sayansi ni kubwa kuliko Mungu kwa mtazamo wako eee

    • @nalingarowl7048
      @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

      Mbona wanasayansi wengi sio Waislamu.
      Gari,ndege,simu za kiganja,wa kwanza kufika mwezini,kunzisha shule,wasoi wengi,Sayansi ipo kabla ya Uislamu.00.570 ndipo unatokea Uislamu, Karine 6 Watu waliuishi vipi bila sayansi.
      * Nitajie Wanasansi 10 wenye Historia ya kipekee waliogundua vitu hapa dunian*
      Mfumo wa Ukristo shule ya kutosha kwanza ndipo ije Imani,Imani bila elimu mapungufu yatajitokeza tu

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni hazina kubwa. Video zake tunazipataje tuzidi kustafidi?

  • @khatibumsekeni322
    @khatibumsekeni322 ปีที่แล้ว +1

    QURAN ni muujiza mkubwa.

  • @alhudaalhuda6733
    @alhudaalhuda6733 2 ปีที่แล้ว

    Kwahakika ww malipoyako nipeponi kwani unatunza sana waislamu

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh hii sayansi MBN uwongo ,mmh labda asiyesoma ndo atakubali ,eti kitu cha kwanza tumboni kuumbwa ni sikio

    • @mussamrope1934
      @mussamrope1934 ปีที่แล้ว

      Unabisha nn sasa ,njoo na hoja

    • @miramboofficial946
      @miramboofficial946 ปีที่แล้ว

      Nyie si ndio walewale wanaobisha mnasema hakuna adhabu kaburini ukifa umekufa mfano ukafa leo ukakutana na adhabu utafanyaje ? Karibu ktk uislam

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wa vina vya aaaaaa.....aaaaaa.....aaaaa

    • @abdulndete8969
      @abdulndete8969 2 ปีที่แล้ว

      Unaleta mzaha dunia mapito usisahau katika zambi kubwa moja nikuabudu asiekuwa mungu

    • @erickmichaelmugele2107
      @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว

      @@abdulndete8969 ,we kwendaaa hizi ni analogy tu...
      Kila mtu atumua njia zake kujenga ushawishi...Porojo porojo nyiiingi

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 10 หลายเดือนก่อน

      @@erickmichaelmugele2107 Elimu yako ndogo .... just why!!!

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kitabu ni chenu na sayansi imo humo sasa mnashindwaje kuitumia waarabu wanapesa kutumia hiyo sayansi kuchimba na kuyatoa mafuta hamuwezi hatari sn

    • @sleimbh
      @sleimbh 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @abduljuma4944
      @abduljuma4944 2 ปีที่แล้ว

      Mbona mtanzania wewe una rasilimali na huwezi kuzitumia Wala kuzifaidi huna hiyo jeuri

    • @abdulndete8969
      @abdulndete8969 2 ปีที่แล้ว +1

      Ilo sikubwa zaidi kumcha mwenyez mungu ucje ukafocus kweny vitu vidogo

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 2 ปีที่แล้ว

      Suala la waarabu kutumia Sayans na kuchimba mafuta hilo ni jambo lingine muhim Qur-an imesha yaeleza yote ya kisayans pia kumbuka mwenyez Mungu hutoa neema tofaut kwa kila aina ya waja wake hvo basi waarabu wamejaaliwa rasili mali ya mafuta na wazungu wamejaaliwa kutengeneza mitambo n.k.

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว +1

      Kitabu sio cha waarabu ni kitabu cha Allah Mungu
      Na Mungu ni wa watu wote
      Angalia Elimu ilipo anzia utanielewa

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว

    Hivi ni kweli mtume alioa binti wa miaka 6?

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli alioa,vipi unasemaje?

    • @ibnually1512
      @ibnually1512 2 ปีที่แล้ว

      Hata km ni kwel hilo haliwezi kuwa kipimo cha kujuwa kuwa yy ni mtume wa kwel au sio wa kwel

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว

      Hata bibi Yako aliolewa na miaka SITA, ...hujui.?

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

    Wayahudi ni watu waliostaarabika kabla uislam haujakuwepo,

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

      Mayahud mitume yao ni waislam unajua kama uislam ndio dini ya mwanzo Adam alikuwa Muislam hata Nabii Ibrahim alikuwa Muislam
      Kaa chini usome ipo siku utanishkuru baada ya kusoma

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 ปีที่แล้ว +1

    Mmh mtu akilala ni pua ndo inafanya kazi sio sikio huo uwongo mwingine

    • @miramboofficial946
      @miramboofficial946 ปีที่แล้ว +1

      Hayo ni maoni yako usitake kila mtu aamimi unachoamini wew

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว +1

      Soma soma soma tena kaa kitako usome ipo siku utanishkuru

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว

    Mmepewa maandishi wenzune wakawekewa kwenye Akili...hahahaha

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      Wewe umewekewa nini?

    • @erickmichaelmugele2107
      @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanilukambuzi9760 ,tuwaulize nyinyi wajuaji na mnajiona ndio mnastahili kila kitu na mmepewa kila kitu....

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      @@erickmichaelmugele2107 Kwa andiko gani linathibitisha maneno yako hayo?

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      @@erickmichaelmugele2107 Kwahiyo huna andiko linalokupa haki ya Mungu juu ya maneno yako?

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว +2

      @@erickmichaelmugele2107 Naona ulikuwa unahukumu kitu husichokuwa na Ujuzi nacho,kwa kukusaidia tu nakupa maelezo labda haujui ndiyo maana unacoment vitu havieleweki-
      *Dini tulioumbiwa wanadamu wote ni Uislamu na Muislamu wa kwanza duniani ni Mtume ADAMU na Mitime wote walikuwa Waislamu.
      *Uislamu huko wazi kwa ajili ya yeyote mwenye kumuamini Mungu mmoja na Mitume wake bila shaka atachagua Dini ya Uislamu.
      *Utajiri wa mali ulio nao,Elimu ulio nayo,Vitu ulivyovitengeneza hapa Duniani,Watoto wazuri ulio nao au Ukoo maarufu ulio nao hapa duniani;hivi vyote ni chembe ndogo sana kwa Mwenyezi Mungu kama haufati Misingi yake pamoja na Sheria zake ww,mm au Na Yule Tutakuwa ni watu wenye kupata hasara,aimanishi kwamba Wewe kwa kuwa unao ujuzi wa kubuni ndege,magari,madawa au chochote haimanishi tayari umeingia peponi,Maarifa yote tulio nayo wanadamu ni Ya Mwenyezi Mungu kwahiyo tunatakiwa kumnyenyekea yeye kwa kumuomba ktk njia zake alizotuweke na Mtu ambaye ni Bora kwake Mwenyezi Mungu ni yule anayepita ktk Sheria zake.
      *Quruani ni kitabu katika muendelezo hule hule wa vitabu vya Waislamu vya kale kama Sufii ya Mtume Ibrahimu,Taurati ya Mtume Mussa,Zaburi ya Mtume Dawd na Injili ya Mtume Issa,hivi vitabu vinne vilitumwa katika Taifa la Israel na Quruani imeletwa katika Karne ya 7 ili iwe ndiyo Katiba na muongozo ya Ulimwengu w

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaha. Sasa mbona nyie ni dhaifu sana katika sayansi?. Acheni upambe nyie Quran ni kitabu Cha kipuuzi sana hakuna sayansi mle Acheni ujinga

    • @shamtesaid1377
      @shamtesaid1377 2 ปีที่แล้ว

      Huijui Quran ndo maana unaongea vitu usivovijua ...hatari sana...pole Yako lakin

    • @abdulndete8969
      @abdulndete8969 2 ปีที่แล้ว

      Cheka Leo ipo siku utalia

    • @aboubakarshaban8158
      @aboubakarshaban8158 2 ปีที่แล้ว +1

      Usiwe mwepesi kuendeshwa na mihemko Kaka , mambo ya kisayans yamevumbuliwa miaka ya karbuni lakin Quran imezungumzia masuala hyo tangia Karne ya 7 Sasa unaanzaj kusema nikitabu Cha kipuuz , muongope Mungu wako bro. Wakat mwngne n vyema kukaa kimya

    • @athumanijuma6553
      @athumanijuma6553 2 ปีที่แล้ว

      we ndo mjinga.... Quran sio kitabu cha sayansi (science) bali ni kitabu cha dalili(signs)

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabhika akili yako imeishia hapo Qur-an ni KITABU ambacho kiko mbele ya wakati ndio maana kimeeleza mambo yaliyo pita na yajayo toka Karne ya 7 ambayo wana Sayans yamewasumbua kwa muda mrefu bila kupata ufumbuzi wakirudi kwenye Aya za Qur-an wanakuta yamesha elezwa toka zamani hivo mwenyez Mungu anatuonyesha kuwa KITABU hiki kimetoka kwake na mtume Muhammad ni mtume wa mwenyez Mungu kwakuwa alikuwa hajui kusoma na kuandika habari hizi kazipata wapi wakati alikua hajui kusoma wala kuandika sio jambo la kawaida kwa mtu kama huyu aeleze mambo makubwa kama haya wenye akili wanatafakari wanapata majibu KITABU hiki ni cha mwenyez Mungu. Wewe Kabhika huna akili ya kutafakari ndio maana una comment ujinga.