Mwacheni Gabby afanye kazi,anachofanya ni SAHIHI KAABISA.Dawa ya mtu aliyefiwa siyo kulia mbele yake ila kuonyesha sura ya matumaini,mfiwa akimwelezea marehemu ndo anatoa uchungu moyoni,anatoa sumu zote za uchungu.Acha awahoji wapone,GABBY USIACHE KUWAHOJI,NDO WANAPONA HAO WAKIONGEA.
Kwani inapotokea msiba wa mtu maarufu ni lazima nyie WANAHBR kuwahoji WAFIWA,hebu kwanza muwe na CHEMBE YA HUZUNI,maswali yenu MENGI HAYANA MUHIMU,daaah imenisononesha kwa kweli,maswali gani hayo kwa wafiwa,daaah !
Yaani hamjawahi kufiwa nyieeee,faraja ya mfiwa siyo kuonyesha sura ya huzuni mbele yake,ila kuonyesha sura iliyojaa tumaini ndiyo unapoponya nafsi yenye uchungu,mfiwa akijieleza ndo uchungu unatoka.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
WE MTANGAZAJI NI MPUUZI SANA MASWALI YA KISHENZI SANA KWA WAFIWA, MFYUUUU
Ila nyie sura ya huyu gabby namaswali yke anaboa kishenzi
Yani mduwanzi huyu mjamaa sjui alisomaga wapi huo uandishi au ndo vile vyuo vya kariakoo
Jaman muwe mnawaacha wafiwa daah😢😢
Ndiyo maana Wakristo wote tuna kawaida ya kutazama maiti.Hapo mioyo inapata nafuu ya maumivu.
Piga kazi gaby uko very active
Mwacheni Gabby afanye kazi,anachofanya ni SAHIHI KAABISA.Dawa ya mtu aliyefiwa siyo kulia mbele yake ila kuonyesha sura ya matumaini,mfiwa akimwelezea marehemu ndo anatoa uchungu moyoni,anatoa sumu zote za uchungu.Acha awahoji wapone,GABBY USIACHE KUWAHOJI,NDO WANAPONA HAO WAKIONGEA.
Hospitali ya mloganzila wanahitajika wachungaji wenye nguvu kwenda kuvunja nguvu za giza zilizopo pale. Kwakweli hapana😮
Kama ni mimi unanihoji ujinga na maumivu ya kufiwa yanavyouma ungejua hujui.
Yaani ukiona mgonjwa wako akapelekwa mloganzila kupona kwake ni bahati 😢
Kwanini inakua ivyo?
Yaan mimi hiyo hospt sitaki kuisikia ukipona pale pitiliza kanisan au msikitin
Hivi ile hospital wana shida gani au wana undugu na israel anawatuma kunyonga watu😢@@janejoel2465
Yaan Ata sijui Kwann maana nakumbuka baba mkwe wangu alivyoambiwa aende mloganzila aligoma akasema sitaki najua naenda kufa huko nakweli alivyopelekwa hakukaa atamwezi akafariki.
Yawezekana wanapelekwa mahututi tu
Kweli mgonjwa akipelekwa Mloganzira haponi,Ndg zetu wengi wamefia hapo,Sijui shida Nini hapo?
Asilimia kubwa ya wagonjwa wanaopelekwa pale hali zao zinakua mbaya,na wengi wanacheleweshwa hospitali za awali
@@jemimabakarikuna sili nyuma yake siku ukipata mgonjwa ndio utajua ujui
@homesaickofficial7407 labda,mi nimeshakua na wagonjwa ndugu na jirani pale na mwanangu mwenyewe wa kumzaa tulitibiwa pale na tukatoka salama🙏
@@jemimabakari ulilazwa
@homesaickofficial7407 ndio, karibu mwezi
Kwani inapotokea msiba wa mtu maarufu ni lazima nyie WANAHBR kuwahoji WAFIWA,hebu kwanza muwe na CHEMBE YA HUZUNI,maswali yenu MENGI HAYANA MUHIMU,daaah imenisononesha kwa kweli,maswali gani hayo kwa wafiwa,daaah !
Yaani hamjawahi kufiwa nyieeee,faraja ya mfiwa siyo kuonyesha sura ya huzuni mbele yake,ila kuonyesha sura iliyojaa tumaini ndiyo unapoponya nafsi yenye uchungu,mfiwa akijieleza ndo uchungu unatoka.
Sasa hayo ni maswali gani unaboa
Kwan mloganzila Kuna nini