MUNGU MWANA NA ROHO MTAKATIFU - MCHUNGAJI PAUL SEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura ปีที่แล้ว +2

    Kusema YESU KRISTO siyo MUNGU ni matokeo ya mawazo ya WAFUGA MINYOO!
    Huu msemo ni mahali pake kwa sababu ............,ni Mbumbumbu mzungu wa reli.
    Barikiwa sana pasta.

  • @selelilumambo2157
    @selelilumambo2157 3 หลายเดือนก่อน

    mwanzoni lilikuwa kama liko slow, lkn linahubiri hasa halafu kwa point nzito nzito💚💚💚

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว +3

    "Sifa ya anayeitwa MUNGU ni kuabudiwa" imenifunulia uungu wa BWANA yesu sawasawa
    Mchungaji ndani yako naiona roho ya mtume Paulo kabisa kwa mawazo yangu

  • @enockndege9643
    @enockndege9643 2 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU ashukuriwe saana kwa ajili ya karama aliyokupatia pastor semba.unanibarki saana

  • @samuelmussa4809
    @samuelmussa4809 2 ปีที่แล้ว +1

    Kristo kuumbwa ni uzushi, Ubarikiwe sana mchungaji.

  • @furahinimrutu3085
    @furahinimrutu3085 14 วันที่ผ่านมา

    huyu mchungaji kuna vitu anafeli

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน

    Yeremia 3:15 👈 maneno haya yametimia masikioni petu

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa saana mchungaji MUNGU akubariki sana

  • @furahinimrutu3085
    @furahinimrutu3085 14 วันที่ผ่านมา

    huyu hawezi mdahalo na ndasha ndasha ni mkweli na haongozwi na mfumo

  • @furahinimrutu3085
    @furahinimrutu3085 14 วันที่ผ่านมา

    yani sisi wakrsto ndio maana tunafeli kuongoa watu sababu tunaweka sana mawazo yetu kwenye mahubiri yetu kwani uyu mchungaji anashindwa nini kuwafundisha watu kuwa yesu ana sujudiwa kwa sababu baba amempa mamlaka yote

  • @ferixbromela
    @ferixbromela ปีที่แล้ว +1

    Fanyeni Mjadala wa Hadhara wewe na Mwalimu Ndacha ili Washiriki tujifunze zaidi.

    • @adarashidi8178
      @adarashidi8178 11 หลายเดือนก่อน

      Àmen 🙏🔥🙌 kbs 👏

    • @JESUSISLO891
      @JESUSISLO891 5 หลายเดือนก่อน

      Ndacha Hana lolote Yuna fikira finyu

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa neema na upend wa Mungu Baba na Bwana wetu Yesu kristo, hatuhitaji ELIMU (philosophy au theologia) kubwa ya kuelewa kweli wa MUNGU, kwa kuwa amejifunua wazi kupitia Neno lake. Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa wapekee na wa kweli na Yesu Kristo uliyetuma.
      Kuna Mungu Mmoja wa pekee wakweli, kuna Yesu Kristo ambaye ni mzaliwa wa Mungu BABA tangu milele yote, aliyekuja duniani kwa njia ya mwili kwa kuzaliwa kama mwadamu kwa ajili ya kafara ya msalaba ili mwanadamu apete wokovu, na pia kuna Roho ya Mungu. Huo ndio Uungu. MUNGU BABA, YESU KRISTO MWOKOZI WETU NA ROHO YA MUNGU/YA YESU INAYOENDELEA KUTUFUNDISHA NA KUTUONGOZA
      32:21
      Hakuna UTATU wa Mungu baba. Mungu Mwana, Mungu Roho mtakatifu. Hili ni fundisho la kipagani na kishetani.

    • @dibogodibogo9358
      @dibogodibogo9358 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona imeeleweka vizuri, mjadala wa nini? Mungu atusaidie sana.