Wenye Elimu hawajaambiwa wasimche Allah. (Ujumbe wangu) Mcheni Allah na muache miziki ya namna hii. Mwanamke anadhihirisha mapambo mbele ya wanaume na kuwaimbia hii dini msipoilinda Allah atawatia fedheha na unyonge kila siku
nimehuzunika kuona #ukhty kasimamishwa mbele ya wanaume HUU ni utaratibu mbovu sana na haupo katika Dini yetu ya kiislam ' mengine Allah amjaze kheri dada etu kaimba vizuri sana ma shaa Allah .
Subhana llah jamani huu sii uislamu ,,uislamu gani mwanamke mbele ya wanaume tena na mapambo na kubana sauti ,,allah akuongoze ukhty na atuongoze sote mana hio unayofanya na hao waliovaa kanzu na vilemba ni hamu tena kubwa inalillahi waina ilayhi rajiuun Yani kama mtu unayo imani hata kidogo huezi kuitazama hii nyimbo
Subuhannallah.. hakuna tofaut na mziki kama mizik mengine... hii labda hiii tunaweza kuiita tarab... ushaur mm nahis tuachane kumuimbia SHEITWAN... mwanamke kavaa nguo zaid ya kumi ila bado yupo uchi..💥💥💥
Mwanaadam hahukum anakumbusha. Sisi ni waisilam ni haki ya kila muisilam kumkumbusha mwenziwe na ndio uoendo wa dhati, mana tunapokwenda ni kugum tusije tukawa waliokhasirika. Hukumu kila mmoja atahukumiwa na Allah yy pekee ndie mwenye pepo na moto. Ila sisi tunakumbushana km alivyotuusia Allah na Mtume wetu.
@@mgogomgogo7266, mm sijapata hata kuangalia hio ya Indonesia. Lkn ninavyofaham mm haq haiwi chini ya batwil. Naaamin na huko watakuepo wanaocommet kwa kukataza. Ila hicho sio kigezo ktk uisilam kua wakati sehem fulani watu hawakatazi ndio tuone jambo linafaa au tuwazuie wale wanaokataza.
Nikweli Tunafuata kidogo kidog hata Brother nasir naye aimba sasa mtafute kwenye chanel yake kwa jina hilo hilo na wengi wazurika maher zain Allah atunusuru Rijali kama mimi nione sura nzur kama hiyo na saut murua ivi ataipandisha imani au kushusha?
Yaaah allah tusamehee waja wko sas i ni nn yan mwanamkee kuimba mbele ya wanaum kujilemba allah ndoalivyoamlish ivy kweli yn akuna amnachokifny mbele ya allah kwakwel wislam aupo ivyo ndug zngu
Mkaweka na jina la Mzee Yusuph ktk upotofu huu na M/mungu kashamtoa huko .....anyway mwenyezi mungu atusamehe sote na kutuongoza ktk Njia iliyonyooka .....
Huko ndio kukomaa kwa BIDAA na bado tutaona mengi.mtume S A W.anasema atakaeishi muda mrefu ataona mengi yamezuliwa ktk dini.usalama wake au kusalimika kwake ni KUZIKAMATA SUNA ZAKE KAMA TUNAVYOUMIA MENO YA MAGEGO. ALLAH ATUONGOZE NJIA SAHIHI INSHAALLAH
MUOGOPENI ALLAH ENYI WAJA NA MUTANBUWE KIJA JAMBO LITALETWA MBELE YA ALLAH NA KULIPWA. VINANDA NA ZUMARI VIMEKATAZWA KATIKA UISLAM KWA MUJIBU WA KUR-AN NA SUNNA.
Watu wanachanganya dini na bidaa halafu ati watu wanyamaze kwa kua tu tumeumbwa hatujakamilika, Hv unadhani mwisho watu watajua lp halali na lp haram? Mtume (S.A.W) ameusifu huu ni umma bora kwa sabb unaamrishana mema na kukatazana maovu
Kwa kupata video nyingine za mawaidha bonyeza maadishi ya bluu hapo chini. 👇👇👇 m.th-cam.com/channels/TOqt91SRB0NyOw6rMo5zTw.html Usisahau Ku SUBSCRIBE, SHARE, NA COMMENT
Hakika haya ni miongoni mwa ibadah...kizazi hiki chetu sisi wanawake tumekosa haya ambapo inatupelekea kusimama mbele za waume zetu na kutoa sauti... tukumbukeni sisi wanawake ni fitna kubwa kwenye jamii na zinaa si kile kitendo tu cha kujamiiana....Mwanamke sauti yko uso wako unywele wako ni sababu kubwa kuipata dhambi ya zinaa..Allah atustiri atujaalie wenye kuvata mienendo ya mama zetu wake wa mtume wetu kipenzi
Ajabu nyie waislamu mnatupiana maneno kama haya hamna ushirikiano mimi mkiristo ila hii nyimbo nzuri sana na inafundisha hayo yanayoongelewa humo mm yamenitokea Kee up my csta
Waisilam wana maneno mazuri ya kutosha kwenye Qur-an kwa anayetaka kuisoma na sio mpaka mwanamke adhalilike mbele ya wanaume kwa kuwaregezea sauti, kuwapambia n.k.
@@alexjr3528, na huyo alohukumiwa ni nan? Tuondoleeni mila zenu za kikafiri. Tuacheni tuongozane, tukatazane na tunasihiane. Nyinyi mnadini yenu na mafundisho yenu na sisi tunadini yetu na mafundisho yetu.
Hiyo Mashallah kwa kipi hasa cha maana mwanamke kupayuka sauti hivyo mbele ya wanaume, hiyo si ni taarabu na muziki ni haram, inna lillahi wainna ilyh raajiun
Huu sio uislaam jamani haram wala sio qaswida tufatilie history qaiswida hazijakatazwa ila sio hii hakuna tofauti na taraab tena umejipamba kama uko kwa mumeo
Jamani tumcheni Allah. Mmepituka mipaka uislamu uko mbali na hilo. M/mke aimba na kujiringisha mbele ya wanaume huku wanaume hao wakienda kumtunza si sahihi kabisaaa zindukeni
Innalillahi wainnailayihi raajiuun huu ni msiba tena mkubwa mno wapi tuaelekea waislam Mnaitaji kufurahisha nyoyo za watu ilihali tunamuudhi hadha wajalah Kwa hili hapana
Huyu Dada kiufupi kaenda kufanya fashion show.... Kisha inasikitisha sana wanaume wote hawa mwanamke anaenda kuimba kajipamba... Mwanamke hakuruhusiwa kuadhini kwa ajili sauti yake isidhihirike.. Alafu unaenda kuimba na mike. Subhanallah. Hii ni fitna kubwa kwenye dini.
Hayo anayoyasema hapo yapi yalokua hayajawahi kusikilikanwa? Kuna mas-haf nzima hakuna kilichobakisha. Mnapenda kushangiria maovu. Halafu ati wivu, sisi tunaomuongoza kama tuna wivu ww unaetuzuia sisi kumuongoza basi ni hasid! Mana unamuona mwanamke mwenzio anadhalilika halafu unaona swa wakati ww umehifadhika hata picha ya sura yako hujaieka hapo watu wakakuona.
Jaman wanadam msimuhuku mtu et dhambi dhambi nyinyi nyinyi hamjafanya dhambi hata hivy hujui mung kamuandikia nn na hata hivy ndio kuna baadhi ya vitu sio sahihi lkn sio kumkatish tamaa na kumwambia kuwa dhambi laana kwan nyie hamjafanya dhambi au zenu hamzion mashallah ma sis all the best but kuna vitu sio sahihi uliofanya
Subuhanallah. .din ipo hivi usijerembe mbele za watu zaid ya mumeo. .pili usionyeshe viungo vyako umeshika maick mkono yote nje ikiwa Pana wanaume kweli hiyo qaswida au
fitnah tupuu na Pia alaa zipo muogope Allah hiyo sauti ni Aurah tena mbele ya Wanaumme this is Harram ..Never say Ma Shaa Allah kwa hizi Dhambi na Harram
Sema mengine lkn suala la USO kuwa wazi hilo huna elimu nalo nataka MTU anipatie ushahidi kwamba enzi za mtume wanawake wote walifunika USO msipende kugeuza ikhtilafu kua sheria,
killa mmoja ktk dunia ana ndoto hata Viongozi tofaut waliyapitia haya ,, kwa hiyo Cha msingi zaid kila mja aangalie yeye kafanya mangapi ya siri na dhahir ?? All the best kwako Rauhiya Inshallah utafika pale unapopataka 🙏🙏
Inamaana km kila mwanaadam hufanya maovu yasiri anayajua yy na Mungu wake lkn ya dhahiri km hatukatazani tukaongozana unadhani huu ulimwengu mwisho utakuaje? Si tutakua hatuna tofauti na manyani?
Kwa iyo watu wasiamrishane mema na kukatazana mabaya ALLAH tayari ametusisitiza kwa vile Qur aan tunaona sio kitu haya ndio matokeo ukiamrisha hivi sivo tyr watoa hukumu hakuna mkamilifu lkn tukiamrishana nyoyo hupata khofu na kumcha ALLAH hakika ya ukumbusho utawafaa waumini
Haya ni matokeo ya mambo makuu mawili 1.kukithiri kwa ujinga katika jamii ya uislam, ujinga katika dini hupelekea mtu kufanya jambo ovu akihisi kwamba ni jambo jema 2.kufata Matamanio ya nafsi, vilevile hili humpelekea mtu kufanya jambo ambalo analijua kwamba ni ovu lakini kwa sababu ya matamanio ya nafsi yake analifanya hivo hivo bila kujali, bila ya shaka uislam wetu uko wazi kwa maana ya halali na haramu imebainishwa wazi.... ١.فتنة الشبهات ٢.فتنة الشهوات، ALLAH awaongoze katika njia ya sawa!
Nimeangalia account yako umelike vdeo za kina mondi kisha huku unajikuta unapinga mpuuzi kweli ww halaf unajifanya unaijua dini Hebu tutokee huko tushawashtukia
Nahic we hujielew hakuna mwiiclam hata ck moja akatinda nyuc sasa unapinga nn au wake wa mtume walikuwa wanatinda nyuc mbona umelikalia hivyo hilo la kutinda nyic kama na we so firiaun
Hapo wanaume wameshakuona pambo. Lako juu paka chini.. Sauti yako.. Piko.. This is adultery. Zinaaa ya macho hii. Dadangu rudi kwa Mungu uombe msamaha usijihadae
Asalaam Alaimukum warahmatullah wabarakatu jamiiah muslimin?haya hata sio mashairy hizi ni nyimbo na nyimbo zote ni amali ya Sheitwan swaha jamiiiah muslimin?
Wenye Elimu hawajaambiwa wasimche Allah. (Ujumbe wangu)
Mcheni Allah na muache miziki ya namna hii. Mwanamke anadhihirisha mapambo mbele ya wanaume na kuwaimbia hii dini msipoilinda Allah atawatia fedheha na unyonge kila siku
nimehuzunika kuona #ukhty kasimamishwa mbele ya wanaume HUU ni utaratibu mbovu sana na haupo katika Dini yetu ya kiislam ' mengine Allah amjaze kheri dada etu kaimba vizuri sana ma shaa Allah .
Subhana llah jamani huu sii uislamu ,,uislamu gani mwanamke mbele ya wanaume tena na mapambo na kubana sauti ,,allah akuongoze ukhty na atuongoze sote mana hio unayofanya na hao waliovaa kanzu na vilemba ni hamu tena kubwa inalillahi waina ilayhi rajiuun
Yani kama mtu unayo imani hata kidogo huezi kuitazama hii nyimbo
Ujumbe umefika ila wewe umeisikiaje kama haujasikiluza?
Subuhannallah.. hakuna tofaut na mziki kama mizik mengine... hii labda hiii tunaweza kuiita tarab... ushaur mm nahis tuachane kumuimbia SHEITWAN... mwanamke kavaa nguo zaid ya kumi ila bado yupo uchi..💥💥💥
hakika kuacha nibora
Huo ni wivu wa maendeleo imba kasida zako tuziskie
Uchi kivipi
Wivu tu
Subhanaalllah hakikaa tuko kwenye upotevuu wa wazi innallillah wainna illahi rajjiuni hakika inasikitisha snaa
Khassayub Salim kweli no msiba
Masenge
Good ujumbe....mungu akubariki,hakuna binadamu anayeweza kumuhukumu binadamu mwiziwe....mungu pekee
Mwanaadam hahukum anakumbusha. Sisi ni waisilam ni haki ya kila muisilam kumkumbusha mwenziwe na ndio uoendo wa dhati, mana tunapokwenda ni kugum tusije tukawa waliokhasirika. Hukumu kila mmoja atahukumiwa na Allah yy pekee ndie mwenye pepo na moto. Ila sisi tunakumbushana km alivyotuusia Allah na Mtume wetu.
@@alhamdulillah5796 je umeangalia kaswida za Indonesia? Mbona zina ngoma na midundo mbona watu wahacoment vibaya?
@@mgogomgogo7266, mm sijapata hata kuangalia hio ya Indonesia. Lkn ninavyofaham mm haq haiwi chini ya batwil. Naaamin na huko watakuepo wanaocommet kwa kukataza. Ila hicho sio kigezo ktk uisilam kua wakati sehem fulani watu hawakatazi ndio tuone jambo linafaa au tuwazuie wale wanaokataza.
@@mgogomgogo7266, watu wanacommet kwenye Qur-an wanaposoma wanawake kwa sauti za kunyorora itakua nyimbo za Indonesia?
@@alhamdulillah5796 100% nakubaliana na wew
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiun!! Wallahy huu sio uislamu aliotufunza mtume Muhammad
Allah atustiri mtihani kwa kweli
Ni kweli Kaka hiii ni ni nyimbo
Nikweli
Tunafuata kidogo kidog
hata Brother nasir naye aimba sasa mtafute kwenye chanel yake kwa jina hilo hilo na wengi wazurika maher zain
Allah atunusuru Rijali kama mimi nione sura nzur kama hiyo na saut murua ivi ataipandisha imani au kushusha?
Saeed ibn Aamer Al-Amry mtihan wallah
Haya yote yanaletwa kwa kutoisoma ilm na kuifahamu dini kisawasawa na ndio maana tunabaki kuwa waislamu jina.Inaskitisha wallahy
Maa shaa Allah wa Allahi Bareeq so touching and strong words Alhamdhulilah
Yaaah allah tusamehee waja wko sas i ni nn yan mwanamkee kuimba mbele ya wanaum kujilemba allah ndoalivyoamlish ivy kweli yn akuna amnachokifny mbele ya allah kwakwel wislam aupo ivyo ndug zngu
Me nimeshangaa sana alafu anajiita ukhti ni km taarabu tu pale ngome kongwe
Ahsnte Dada yang.M.mungu akuzidshie ..don't give up
Hee hii qasida au taatabu mtihani sasa
Allah atuongoze
Ameen YAA RABBY
Mkaweka na jina la Mzee Yusuph ktk upotofu huu na M/mungu kashamtoa huko .....anyway mwenyezi mungu atusamehe sote na kutuongoza ktk Njia iliyonyooka .....
Ameen YAA RABBY
Sasa wamesema mzee Yusuf kaswida yamliza mbona mie sijamuona akilia apo kama kweli ndipo tusubiri2 Nusra za Allah mana dunia khalas
Huko ndio kukomaa kwa BIDAA na bado tutaona mengi.mtume S A W.anasema atakaeishi muda mrefu ataona mengi yamezuliwa ktk dini.usalama wake au kusalimika kwake ni KUZIKAMATA SUNA ZAKE KAMA TUNAVYOUMIA MENO YA MAGEGO. ALLAH ATUONGOZE NJIA SAHIHI INSHAALLAH
MUOGOPENI ALLAH ENYI WAJA NA MUTANBUWE KIJA JAMBO LITALETWA MBELE YA ALLAH NA KULIPWA.
VINANDA NA ZUMARI VIMEKATAZWA KATIKA UISLAM KWA MUJIBU WA KUR-AN NA SUNNA.
Dada uloimba kesho una moto
Licha ya vinanda hao wanawake wapo uchi japo wamevaa. Saut ya mwanamke pia ni uchi yaarab tujaalie toiba ya kweli
Subuhanallah sina usemi wallahi. Allah tustiri ss na vizazi vyetu ya rabbi
Hongera ujumbe mzuri ila muige mfano kwa dida kasida hajirembi kupitiliza 👏👏👏👏
INNALILLAH WAINNA ILAYH RAAJIUN ALLAH atuongoze kuacha huu uhuni
Harram mwanamke kuonesha viongo mapambo kwa mwanamme asie kua mumewe, tumekatazwa waja.
Allah atusitiri amiin
Bora hivi kuliko kupublish marumbano ya masheikh
@@jumaashabani9484 kaka hakuna dhambi yenye ubora, tujitahidi sana sisi sote wapungufu ila tumepewa akili za kupambanua.
@@jumaashabani9484 jee uko tayari kusimama shuhuda mbele ya ALLAH kwa hayo mazungumzo yako kuwa afadhali hivi
Kweli haifai anaebisha aje tukae tufundishane
jumaa shabani bora hivi kweli wakati aya imekataza kwa mkazo mkali .unasema tu we vipi
SUBHANALLAH. ALLAH atusamehe soteni maana hakuna aliye kamili na Atuongozeni kwa kheri Amin. Ni haram dada yetu ALLAH atuhifadhini soteni Amin
Ameen YAA RABBY
Allah atusamehe makosa yetu na atustiri na aibu zetu atuonyeshe halali na haramu .... hakuna aliekamilika chini ya jua sote twaomba maghfira kwa Allah
kheri unyamaze kuliko kusema uovu wa mwenzio,hakuna alie kamili...QIYYAMA HAQQU,NAAR HAQQU,tutubu kwa Allah atusamehe....jazakallah kher
Watu wanachanganya dini na bidaa halafu ati watu wanyamaze kwa kua tu tumeumbwa hatujakamilika, Hv unadhani mwisho watu watajua lp halali na lp haram? Mtume (S.A.W) ameusifu huu ni umma bora kwa sabb unaamrishana mema na kukatazana maovu
Kabisaaaa waache kumchezea shere mungu ni dicko kweli
Amna jipya
Subhanallah hiyo ndivyo mtume saw katufunza bint kajikoroga ako uchi subhanallah subhanallah
Mashallah angalau nyie mmejaribu. Kama mnamakosa ajuaye nimola. Na awasamehe, maana sio nia yenu. Asanten kwa ujumbe mzuri
Mwenyezimung akupe maisha marefu ruhahya🌹🇧🇸❤️
Kwa kupata video nyingine za mawaidha bonyeza maadishi ya bluu hapo chini. 👇👇👇
m.th-cam.com/channels/TOqt91SRB0NyOw6rMo5zTw.html
Usisahau Ku SUBSCRIBE, SHARE, NA COMMENT
Hakika haya ni miongoni mwa ibadah...kizazi hiki chetu sisi wanawake tumekosa haya ambapo inatupelekea kusimama mbele za waume zetu na kutoa sauti... tukumbukeni sisi wanawake ni fitna kubwa kwenye jamii na zinaa si kile kitendo tu cha kujamiiana....Mwanamke sauti yko uso wako unywele wako ni sababu kubwa kuipata dhambi ya zinaa..Allah atustiri atujaalie wenye kuvata mienendo ya mama zetu wake wa mtume wetu kipenzi
We mwanamke mshenzi kama hijatubia na nyimbo zako izo jahannam inakuhusu
Yaani watu hutafuta njia za kuhalalisha haramu
Iko siku kila mtu atajuta
Inaumaa saanaa Hilal haji
wallah in mtihani sana Allah atuongoze
Subhan Allah wanawake cc Allah atuongoze Allahumma amin
8
Yasikitisha sana... Hii si dini.. Haraam.. Shame on u all n makanzu yenu.
ni sawa na tarab tu mungu atuongoze in shaa allah
Ajabu nyie waislamu mnatupiana maneno kama haya hamna ushirikiano mimi mkiristo ila hii nyimbo nzuri sana na inafundisha hayo yanayoongelewa humo mm yamenitokea Kee up my csta
Waisilam wana maneno mazuri ya kutosha kwenye Qur-an kwa anayetaka kuisoma na sio mpaka mwanamke adhalilike mbele ya wanaume kwa kuwaregezea sauti, kuwapambia n.k.
@@alhamdulillah5796 so dini yako ndio inafundisha mtu akikosea unamhukumu kwa maneno makali?
@@alexjr3528, hayo ni maneno makali, mnafik tu!
@@alexjr3528, Kwanza ww si muisilam hupendi waisilam kuongozana na ndio mana hata maneno mazuri kwako unaona kinyume.
@@alexjr3528, na huyo alohukumiwa ni nan? Tuondoleeni mila zenu za kikafiri. Tuacheni tuongozane, tukatazane na tunasihiane. Nyinyi mnadini yenu na mafundisho yenu na sisi tunadini yetu na mafundisho yetu.
Kwahiyo mzee yusufu katoka kwenye mziki kaingia kwenye mziki alafu asema kastaafu mziki, uislamu wa bongo bwana mashaka au ni izo njaa"
Mashaalah ukhty rauhiya mungu awe nawe daima
Hiyo Mashallah kwa kipi hasa cha maana mwanamke kupayuka sauti hivyo mbele ya wanaume, hiyo si ni taarabu na muziki ni haram, inna lillahi wainna ilyh raajiun
Hahaeee nimecheka zote koment zenu itabidi nicheke to sasa so anaimba qasida jaman
Hata kama ni kasida basi aka muimbie mume wake chumbani sio hapo,
Huu sio uislaam jamani haram wala sio qaswida tufatilie history qaiswida hazijakatazwa ila sio hii hakuna tofauti na taraab tena umejipamba kama uko kwa mumeo
ally rashid
Tena wamejipamba wote wanakujua mbele hapa hapana uislam muwe na majibu kesho kwa Allah
Sijaona kubadilika hapo ni uleule mziki NA niharam tupu imetawala hapo mambo ya shubuhat ,,,,,tumcheni Allah jamani huo ni mziki tena bila chenga kbs
Kasida mbaya sana miziki mingi na mashairi ya kawaida tu ya taarab mziki mwingiiii
Allah is ALWAYS great.......
Two months old in Islam community......kindly i need guidance sheikh
Amiin
Jamani tumcheni Allah. Mmepituka mipaka uislamu uko mbali na hilo. M/mke aimba na kujiringisha mbele ya wanaume huku wanaume hao wakienda kumtunza si sahihi kabisaaa zindukeni
huu ujinga mtupu dini wanaifnyia biashara mambo wenyew haramu duh mtihani huu Allah tusamhe waja wako
Almasy musa kweli uyasemayo
Subhanallah wanawake aimba wanaume wahapo Kisha wasema ni qaswida, bado muko kwenye tarabu
We dada mashallah una saut nzuri mpaka nakuonea wivu
Sijaon tafauti na taarab tu hpo subhanaallah Allah atufahamish sote inshaallah
Innalillahi wainnailayihi raajiuun
huu ni msiba tena mkubwa mno wapi tuaelekea waislam
Mnaitaji kufurahisha nyoyo za watu ilihali tunamuudhi hadha wajalah
Kwa hili hapana
May Allah guide you and protect you always Aamiin
Allah akbar mungu mutamjibu nini siku ya mwisho hayo muyafanyayo
Nyani na tumbili ni wale wale..wamebadilisha misitu na vichaka tuu..😁😁
Huyu Dada kiufupi kaenda kufanya fashion show.... Kisha inasikitisha sana wanaume wote hawa mwanamke anaenda kuimba kajipamba... Mwanamke hakuruhusiwa kuadhini kwa ajili sauti yake isidhihirike.. Alafu unaenda kuimba na mike. Subhanallah. Hii ni fitna kubwa kwenye dini.
Kwa kweli mm siwezi kufanya hivyo, subhaana Allah
Mashallah Allah bariq sauti yake na mipngo timilifu ya qaswida yake
Jaman wazanzibar tumuogope Allah munatumia neno qaswida vibaya mwanamke kupaza sauti yake mbele ya wanaume daaaha
Mashallah maneno mazuri ila hapo kwa mapambo usifanye ni makosa be like dida very beautiful hajipambi akiimba kaswida you have to imitate from dida
inna llillah waina ilayhi rajion. Allah atupe ufahamu
mashaallah wee dada mrembo kwel umependa na una sauti poa... hao wenye kukuongelea vibaya ni wivu unawasumbua...... unayoyasema hapo ndugu yangu ni ushauri mzuri sana... nyie fuateni analolisema hamjaambia mfuate matendo yake... na nmeenda ata mkija mkicomment ujinga sisomi comments zenu😏😏
Hayo anayoyasema hapo yapi yalokua hayajawahi kusikilikanwa? Kuna mas-haf nzima hakuna kilichobakisha. Mnapenda kushangiria maovu. Halafu ati wivu, sisi tunaomuongoza kama tuna wivu ww unaetuzuia sisi kumuongoza basi ni hasid! Mana unamuona mwanamke mwenzio anadhalilika halafu unaona swa wakati ww umehifadhika hata picha ya sura yako hujaieka hapo watu wakakuona.
Allah barik ukhty
Mashallah mashallah very nice God bless you
hya alitabiri mtume alipo sema kuhusu dalili za kiyama ويظهر القينات na watadhiri waimbaji wakike mcheni allah nye wanaume mlohudhuria hapo
naam
Ma Shaa Allah kasida mzuri Sana kashfa
Kaa cha taarabu anaimba tens taraab anamhadaa Allah wajidanganya mzee yussufu
Acheni majungu nyimbo nzuri sana
kanzu ,vilemba na mabaibui ndio yanahalalisha nyimbo? waarabu wanavaa hizo kanzu mpaka bar
😀😀😀😀
Kabisa wanachezea sunsumia
Upo Sawa kbs yani waarabu ndio walianza kuharibu hili vazi inasikitisha sana
umeuwa kweli sio uongo😁😁
Kwelii sbb ilo nivazituu kwa waraabu
Nimeipenda nyimbo ni nzuri saana lakini sio qaswiida hiyo ni nyimbo hehehe inshaallaah kheri basi
Kwa siye tunao zifahamu kaswida tunakataa hi I sio kaswida bali ni taarabu tu
Hebu tufundishe kasida ni nn na ili iwe kasida inahitajika nn
Jaman wanadam msimuhuku mtu et dhambi dhambi nyinyi nyinyi hamjafanya dhambi hata hivy hujui mung kamuandikia nn na hata hivy ndio kuna baadhi ya vitu sio sahihi lkn sio kumkatish tamaa na kumwambia kuwa dhambi laana kwan nyie hamjafanya dhambi au zenu hamzion mashallah ma sis all the best but kuna vitu sio sahihi uliofanya
Mashallha mungu akujaze shufaa
Yaa Allah twakuomba utusamehe makosa yetu na utustiri na aibu zetu hapa dunian na kesho akhera
Subuhanallah. .din ipo hivi usijerembe mbele za watu zaid ya mumeo. .pili usionyeshe viungo vyako umeshika maick mkono yote nje ikiwa Pana wanaume kweli hiyo qaswida au
fitnah tupuu na Pia alaa zipo muogope Allah hiyo sauti ni Aurah tena mbele ya Wanaumme this is Harram ..Never say Ma Shaa Allah kwa hizi Dhambi na Harram
Swadaktaa
Hawa lul no body have ever said mashallah... wote waliokomment wamemlaaan adi mda huu... Mnyez Mungu amuongoze njia ilonyoka yy ss na vizaz vetu..👏🏾👏🏾
Hawa lul umeona eeeh
@@elbarrey3305 @i said Never ever usiwahi kusema Ma shaa Allah I didn't say someone said jaribu kuelwaa...Ama Nenda kwa Ras Simba ..😂😂😂
Chuki na hasad zitakuangusha unaonekana una choyo sana endelea kumchafua mwenzio Facebook ila ujira wako wa kumchafua mwenzio utaukuta kwa Allah
Inna Lilahi Waina Ilayhi Rajioun kwanza mwanamke kivazi chako sicho hili nundu ndii katika isahara za akhir dunia Allah akuhudi atuhidi sote
Iyo ni taarabu sio qaswida na uso upo wazi na kujiremba kuchonga nyusi apo amna kitu ktk suna
Disco hili acha taarabu
Athumani Karoyo aaa watu tupo kwa ajili ya kufraisha nafsi tu
Allah Atunusuru 🤔🤔
Sema mengine lkn suala la USO kuwa wazi hilo huna elimu nalo nataka MTU anipatie ushahidi kwamba enzi za mtume wanawake wote walifunika USO msipende kugeuza ikhtilafu kua sheria,
@@ahmedhassan2619 ujui unacho ongea uwenda ikawa ndio wale wale watu wa bongo fleva kwaiyo iyo enzi ya mtume walikua ivyo na ndio uislam huo
Ukht rauhy mbona haya mahazi ya kasda ya ukht yusr umebuqi umeiqa kil kitu duu🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Mtihani Allah hatunusuru
Huu ni mziki km wanavoimba wanamuziki wengine...neno qaswida limetumika km hijab tu hapo.
Kabisaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
@@jumaomari6606 Acha kumfanyia ist hzai mwenzio.....huo ni upuuzi...Waweke watu katika manzila zao
Umeonaeeee Kaka Ahmed
Tofauti mavazi tu, lakini maneno kama ya akina nandy na dai Tu 🤣🤣🤣🤣
Ma"Sha"ALLAH Kweli kabisa maneno Yako Uhti
Mbn uyo Mzee yusuph cjamuona jaman!! Ila mmh c kw kujremba huko
Hii sio sawa. Sauti ya mwanamke aura.
For those are against this qaswida feel ashamed coz we need teachings not religion. Thumbs up for this song
mashaalah.swadkta hakuna mkamilifu ila Allah pekee.
killa mmoja ktk dunia ana ndoto hata Viongozi tofaut waliyapitia haya ,, kwa hiyo Cha msingi zaid kila mja aangalie yeye kafanya mangapi ya siri na dhahir ?? All the best kwako Rauhiya Inshallah utafika pale unapopataka 🙏🙏
Inamaana km kila mwanaadam hufanya maovu yasiri anayajua yy na Mungu wake lkn ya dhahiri km hatukatazani tukaongozana unadhani huu ulimwengu mwisho utakuaje? Si tutakua hatuna tofauti na manyani?
Mzee yuusuphu ungesilim bila madangazo na mm nlijuaty kua ilikua kiki tuu sasa hii tofauti gani na gharika ya moyo???? Shekh mche Allah..
Mi naona kama ni hukumu tuachie tu mungu,,huezi muhukumia mwenzio dhambi wakti we mwenyew kila kukicha wamkosea Allah..
Kwa iyo watu wasiamrishane mema na kukatazana mabaya ALLAH tayari ametusisitiza kwa vile Qur aan tunaona sio kitu haya ndio matokeo ukiamrisha hivi sivo tyr watoa hukumu hakuna mkamilifu lkn tukiamrishana nyoyo hupata khofu na kumcha ALLAH hakika ya ukumbusho utawafaa waumini
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautjali
Haya ni matokeo ya mambo makuu mawili 1.kukithiri kwa ujinga katika jamii ya uislam, ujinga katika dini hupelekea mtu kufanya jambo ovu akihisi kwamba ni jambo jema 2.kufata Matamanio ya nafsi, vilevile hili humpelekea mtu kufanya jambo ambalo analijua kwamba ni ovu lakini kwa sababu ya matamanio ya nafsi yake analifanya hivo hivo bila kujali, bila ya shaka uislam wetu uko wazi kwa maana ya halali na haramu imebainishwa wazi.... ١.فتنة الشبهات ٢.فتنة الشهوات، ALLAH awaongoze katika njia ya sawa!
Alhamdullillaah kwa hizi comments kumbe tunajielewa mana huu ni upuuzi mtupu na siyo hii hata akina Dida qadiria wrote in mashaka matupu.....
Yani khaaa binti wa kiislam kajipamba wanamsimamisha mbele ya wanaume na wanamtunza tukissma tunaambiwa masunni lkn hii sihaq lazma tuambiane
Wasabi mnatabu je mtume amekalia je msichana agenda bar kuuza au kuzaa mwili jinsi alivyojaliwa na uzuri mashalaah mungu amlinde
Haraaam Haraaam haifai sauti ya mwanamke isikike na wanaume wamekaa wanatazama kesho mutajibu nn Tena pia unatunzwa na mwanaume.
Hongera ukhty rau
Mh mtu anasoma kaswida katinda nyuc na bc mekap mbele ya wanaume so kaswida hiyo ni mziki kama kinadaimondi akaungane nao
Ulimtinda ww hzo nyusi au choyo ndio kinakukomoza
We soma din vzuli kutinda nyus ni haram au we ndo watu wenyewe
Nakuuliza hzo nyusi zimetindwa na ww au ndio ulivyotumwa ufojo account feki acheni roho mbaya ndjo maana hamuendelei znz huko w
Nimeangalia account yako umelike vdeo za kina mondi kisha huku unajikuta unapinga mpuuzi kweli ww halaf unajifanya unaijua dini Hebu tutokee huko tushawashtukia
Nahic we hujielew hakuna mwiiclam hata ck moja akatinda nyuc sasa unapinga nn au wake wa mtume walikuwa wanatinda nyuc mbona umelikalia hivyo hilo la kutinda nyic kama na we so firiaun
Kaa chin uisome din vizur ujue inatak nn Dada saw ee
kabisa mwambie
nkweeli ina bdi arud daranan ili ajue vzur dini
Umetamaniwa saaaana hapo...mungu anakuona
Subhanallah tumche Allah jaman so kwa kaswida za siku hiz
Mashallah kuliko kupublish marumbano ya masheikh Bora qaswida km hizi mashallah tabaraka llaah Allaah akulipe
aise akhy mungu akusamehe
HUU NI MUZIKI HAUNA TOFAUTI NA WA DIAMOND, RAY C, NK. HARAAAMUN
wewe ni muislam unaijua dini yako kweli?
Astaghfirullah sio mafundisho ya uislam hayo
Dini gani kulegeza sauti mbele ya wanaume wote hao wanawake mcheni mungu
Hapo wanaume wameshakuona pambo. Lako juu paka chini.. Sauti yako.. Piko.. This is adultery. Zinaaa ya macho hii. Dadangu rudi kwa Mungu uombe msamaha usijihadae
Dada umeimba vizur mwaya
Inna lilahi wainna ilayh RAAJIUN qiyyama kimefika jamani
Maneno kuntu kabisa wallah naipenda sana
INNA LILAH WAINA ILLAYHI RAJIUUUN ..hapo ni miuziki SUBHANA ALLAHU watu watamjibu nini Allah
huu ni muziki kabisaaa tumuogope Allah jamani
Alhamdulilahi sijaona mungu awa sameh
Pole yenu nyote wapiga vinanda na wewe muimba taarabu utajibu siku ya kiama.. dunia simama nishuke
Mashallah habty allah akufanikishe malengo yako
Jokha Abdallah subhana Allah muombe mungu amuondole mathambi haya
Ungevaa kimini ingependeza zaidi hio nyimbo.
Asalaam Alaimukum warahmatullah wabarakatu jamiiah muslimin?haya hata sio mashairy hizi ni nyimbo na nyimbo zote ni amali ya Sheitwan swaha jamiiiah muslimin?
Mmmh! Jaman twaelekea wp waislam.