Hizi ndizo Kilomita 20 za Maangamizi kwa Ukraine kumfuata Mrusi - Dj Sma anafafanua (1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 211

  • @irovyairovya2333
    @irovyairovya2333 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna nchi duniani ambayo ni aggressive kwa vita kama urusi yaani ata iweje ukraine hawatoboi pia ukraine wakti ikiwa kwenye ubora wake kbla ya vita kuanza feb 24 ilokiwa ni nchi ambayo kijesh ipo vyema sana na hakuna nchi yoyote ulaya imgeweza kuipiga ukraine kwasababu nao ni warusi pia. Sasa ukiona nchi hiyo kwa urusi imekaa bas jiulize iyo urusi ni nchi aina gani kijeshi

  • @abdulally6410
    @abdulally6410 ปีที่แล้ว +8

    Unajiita dj smart lkn me nakuita master wa uchambuz

  • @justinsunzu1591
    @justinsunzu1591 ปีที่แล้ว +5

    600 miles = 965.606 kilometers

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 ปีที่แล้ว +8

    Nakupata nikiwa Sumbawanga, kazi nzuri sana DJ SMA.
    Kwa mtego huo kamwe Ukraine na NATO hawatatoboa kabisa katika ngome hiyo ya urusi.

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 ปีที่แล้ว +5

    Nakupata sana bro nikiwa South Korea 16:11

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 ปีที่แล้ว +4

    Tuko pamoja Dj Smaaaaa🔥🔥🔥Mungu amekubariki uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo au DJ Smaa na wewe ni wale akina Membe sikuelew unajua???uwezo wako mkubwa wa intel#much respect SnS❤

  • @omarybakary1234
    @omarybakary1234 ปีที่แล้ว +14

    Ukraine will never defeat Russia 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

      The United States should not shout about the war in Ukraine when the whole world knows that the United States is the one who is fighting Russia. The Americans are hiding behind the back of Ukraine. Ukraine alone was not able to fight Russia even for a week. Nato has been fighting Russia since the war began. but they are hiding in the shadow of Ukraine, Nato they are wearing the clothes of the Ukrainian army, America should not make all the people of this world stupid.

    • @josaphatjames1367
      @josaphatjames1367 ปีที่แล้ว

      That flag u put out there is that Russia flag?😂😂

  • @Omarinina28
    @Omarinina28 ปีที่แล้ว +8

    Well detailed analysis, facts and references na sio story za Kahawa. Big up sana DjSma. Listening from Johannesburg, SA. Get well soon brother

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

      The United States should not shout about the war in Ukraine when the whole world knows that the United States is the one who is fighting Russia. The Americans are hiding behind the back of Ukraine. Ukraine alone was not able to fight Russia even for a week. Nato has been fighting Russia since the war began. but they are hiding in the shadow of Ukraine, Nato they are wearing the clothes of the Ukrainian army, America should not make all the people of this world stupid.

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 ปีที่แล้ว +6

    Nakukubali Sana dj smaa mnastahili maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 ปีที่แล้ว +6

    Pamoja sana DJ Smaa, Much love 💌from Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮

  • @hajinachembe4310
    @hajinachembe4310 ปีที่แล้ว +3

    Asante kaka dj smaa, hajinachembe kutoka masasi, tungeomba utufanyie re vew ya mabom ya vishada crestar namna yanavyoweza kuleta changamoto kwenye uwanja wa mapambano

  • @resinspectioncompany5031
    @resinspectioncompany5031 ปีที่แล้ว +4

    From Mauritania 🇲🇷 big up brother 💪

  • @ernestkunja3472
    @ernestkunja3472 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sana nilikuwa nasubiri udrop taarifa zailizo sahihi.

  • @schram569
    @schram569 ปีที่แล้ว +3

    Uko sawa sana mze baba Dj sma from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 siku zote tuko pamoja

  • @enockzuber1860
    @enockzuber1860 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥Uko vizur sana smaa... Sio km wengine vichwa vya Habari vikubwa uchambuzi zero....

  • @OmanOman-ry5gw
    @OmanOman-ry5gw ปีที่แล้ว +2

    Nakubal djsma255 oman hap nakutizama sem mda mwengin unatukimbiya mda mrefu mpaka tunaon usha hama❤

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 ปีที่แล้ว +1

    Toka moshi kilimanjaro tunakupata sana dj SMAA kwakutupa madini mengi sana mungu azidi kukupa uhai akupe baraka kwa kila jambo ulifanyalo likakupe mafanikioo god bless you

  • @hajimaruzuku6583
    @hajimaruzuku6583 ปีที่แล้ว +2

    Dj smaa uk vzr sana

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana ndugu yangu mimi napenda sana simulizi za ko 👍👍👍👍👍👍

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 ปีที่แล้ว +3

    Dj Sma nakukubali sana.kazi nzuri 🇷🇺

  • @hassankinamahassan6945
    @hassankinamahassan6945 ปีที่แล้ว +4

    Mimi natokea bujumbura Burundi 🇧🇮 tuko pamoja kwakila hatua UUUUraaaaaa

  • @Adrext
    @Adrext ปีที่แล้ว +3

    Mwanangu unajua sana 🎉

  • @benmcdream2268
    @benmcdream2268 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa habari 🔥🔥🔥

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +3

    Pamoja Professional Analyst#Dj SMA

  • @akhanntahena2544
    @akhanntahena2544 ปีที่แล้ว +3

    Kazi inayoeleweka big up!

  • @mnyamakambi8468
    @mnyamakambi8468 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali Dj smaa

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 ปีที่แล้ว +5

    Tisha sana Djsmaa

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 ปีที่แล้ว +3

    Yeah ukweli kabisa bro ❤❤
    🔥🔥🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪💪💪💯

  • @nsabimanamoussa3364
    @nsabimanamoussa3364 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Dj Sma.
    unafanya vizuri sana.
    sisi wa Pro Russia tuko nyuma yako.wale amabao wanakulaum kwamba uko upande wa Russia, wambie ndio Tena sana.una Kila sababu yakua upande wa Russia.
    Mimi jina langu ni Moussa Niko Kigali Rwanda.
    Asante sana.

  • @fallykhan2383
    @fallykhan2383 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana kazi zako pia naomba uJitahidi kwenye uchanganyaji picha

  • @salumadam2862
    @salumadam2862 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali San dj 🔥🔥🔥

  • @MohamedHasan-kt4lw
    @MohamedHasan-kt4lw ปีที่แล้ว +1

    DJ sma mi nakusikiza kw mankini toka Mombasa Kenya big up Sana kw kazi nzuri 💪

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 ปีที่แล้ว +1

    Thank you

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 ปีที่แล้ว +3

    Napenda kufatilia toka Oman

  • @user-qw1th7yp4t
    @user-qw1th7yp4t ปีที่แล้ว +3

    Asalam aleikum warakhmatullah wabarakatu ongera dj Sma weye enderea Kuapa vindonge

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 ปีที่แล้ว +2

    Upoo vizuri sana bro kwenye news

  • @Hija.F.A
    @Hija.F.A ปีที่แล้ว +2

    nice you mister

  • @antonydorian1402
    @antonydorian1402 ปีที่แล้ว +3

    Good news dj smaa pamoja

  • @Kefafundi5
    @Kefafundi5 ปีที่แล้ว +2

    Pwa sana mkali wa wakina Cha machambuzi

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 ปีที่แล้ว +3

    Pamoja sana DJ Sma

  • @niyonzimabakari
    @niyonzimabakari ปีที่แล้ว +2

    Big up so much 🇧🇮🇧🇮

  • @frocoissango8973
    @frocoissango8973 ปีที่แล้ว +4

    Nasikiliza kutoka marekani Kentucky Louisville

  • @kudrajuma7700
    @kudrajuma7700 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana kazi yako ya kutujulisha ukweli.ninaitwa kudra juma toka kigoma

  • @yasinikimangale1472
    @yasinikimangale1472 ปีที่แล้ว +1

    Fire

  • @josaphatjames1367
    @josaphatjames1367 ปีที่แล้ว +2

    From 🇸🇪

  • @user-pw2tv1qg8r
    @user-pw2tv1qg8r ปีที่แล้ว

    Daytona Ntwale hapa naisikiliza kutoka Lusaka Zambia BIG up bro nakupata sana

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 ปีที่แล้ว +1

    Huo ni uchambuzi usio hitaji uchambuzi mwingne kabisa,uko vixuri sana Sj sma

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td ปีที่แล้ว +7

    From 🇧🇮🇧🇮 nilikuanimekumissi DJSMA no1 tupedawayaubongo wajinga achananao 'gonga 👊👊👊tujuane tum rusia nawapendasan❤❤❤

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

      The United States should not shout about the war in Ukraine when the whole world knows that the United States is the one who is fighting Russia. The Americans are hiding behind the back of Ukraine. Ukraine alone was not able to fight Russia even for a week. Nato has been fighting Russia since the war began. but they are hiding in the shadow of Ukraine, Nato they are wearing the clothes of the Ukrainian army, America should not make all the people of this world stupid.

  • @abuubuza6866
    @abuubuza6866 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @user-qt6jo5se4v
    @user-qt6jo5se4v ปีที่แล้ว +2

    From bagamoyo. Urus Yuko vzur ila putia apunguze huruma kumuhurumia adui yake inaweza kumkost

  • @saibuhassan2068
    @saibuhassan2068 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +1

    DJ Sma nakubali umechambua kwa umahili sana so kazi rahisi kumpiga mrusi kwasababu anapigana na majeshi ya NATO n.k lakini pia mara nyingi NATO anashambulia nchi zenye majeshi hafifu ila kwa Putin hapana atawatesa mbaka warudi mezani

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 ปีที่แล้ว +2

    canada 🇨🇦 🍁 tuko pamoja

  • @frocoissango8973
    @frocoissango8973 ปีที่แล้ว +4

    Makala ikiwa na semu tofahuti tofahuti kama semu ya kwaza na yapili uwe unaweka namba ili kuwa na urahisi wakuteganisha semu yakwaza na yapi ili iwe rahisi pia ata kutafuta kwamfano nataka nisikiye semu yakwaza au yapili…

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 ปีที่แล้ว +1

    Nakusikiliza vzr nikiwa mbeya border kasumulu, umetisha sana brza .tuko pamoja sana toka kitambo.

  • @digonzakeimbe8435
    @digonzakeimbe8435 ปีที่แล้ว +2

    Nimekubali Bro..

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 ปีที่แล้ว +2

    Safii

  • @godwinchristian5252
    @godwinchristian5252 ปีที่แล้ว +1

    Unatisha dj Sma ❤ big up Bro

  • @user-ep4cf8uj2r
    @user-ep4cf8uj2r ปีที่แล้ว +1

  • @saidymwajeka8612
    @saidymwajeka8612 ปีที่แล้ว +2

    Nice we get u from🇿🇦

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 ปีที่แล้ว +2

    Hatoboi hata nucta moja#

  • @stephanaugustine4655
    @stephanaugustine4655 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤

  • @RaymondPaul-bs7su
    @RaymondPaul-bs7su ปีที่แล้ว +4

    Maili 600 ni sawa na kilomita 960

  • @nsusabudda2951
    @nsusabudda2951 ปีที่แล้ว +1

    Absolutely

  • @PITCHENFOMA-wc3ds
    @PITCHENFOMA-wc3ds 10 หลายเดือนก่อน

    dj nakupata sanaa nakukumbali kazi zako nikiwa malawi camp mimi ni ni mzaire na apa mkongo

  • @fadhililogatus4422
    @fadhililogatus4422 ปีที่แล้ว +2

    960km

  • @albertmbwilinge5449
    @albertmbwilinge5449 ปีที่แล้ว +1

    📈🚀🚀🚀✈️

  • @sharifuhusseinally542
    @sharifuhusseinally542 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakuelewa vizuri Dj Sma tupe vituzi na wana fyuzi utupe maji na vidonge tumezee lakini mimi ni nfua vyuma wa Urussi

  • @user-kn7fz5ed6z
    @user-kn7fz5ed6z ปีที่แล้ว +1

    Nipo msumbidji napeda Sana video zako DJ sma nazielewa vizury sana

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nafatilia kutoka South Africa

  • @sombochristian8373
    @sombochristian8373 ปีที่แล้ว +1

    Nakupata nikiwa Stockholm (Sweden 🇸🇪)

  • @abrahamhabarugira2483
    @abrahamhabarugira2483 ปีที่แล้ว +3

    DJ sma nakubali sana ama kweli uko na akili sana 🇨🇭🇨🇭🇨🇭🇨🇭

  • @mugambarazidjuma846
    @mugambarazidjuma846 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali ssna DJ smat

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 ปีที่แล้ว +2

    SA🇿🇦

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa ปีที่แล้ว +1

    Dj Ama!
    Uko vizuri kwenye uchambuzi wako.
    Nakufuatilia sana toka "PADOVA"near Venice Italy

  • @hakikamrope7797
    @hakikamrope7797 ปีที่แล้ว +1

    Toka Mwalim Nyerere hydropower project rufiji (Stigo)pamoja kaka

  • @blackkfeezy916
    @blackkfeezy916 ปีที่แล้ว +2

    Mbona atuoni izo picha

  • @dissymoussa7973
    @dissymoussa7973 ปีที่แล้ว +1

    DJ. Smile, thanks, ukweli mokwamba nato tayari wamefeli tupo Burundi

  • @mocomoja4229
    @mocomoja4229 ปีที่แล้ว +2

    We Ni zaiid ya BBC

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw ปีที่แล้ว +1

    Vita ya 3 tarime Mira Sali sana

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 ปีที่แล้ว +2

    Namkubali putin

  • @filbertshoo8304
    @filbertshoo8304 ปีที่แล้ว +1

    Much respect DJ sma

  • @KaetoShehk-mz3vw
    @KaetoShehk-mz3vw ปีที่แล้ว +2

    Tukupata sana dj sm tuko burundi tunakubali ukweliwako

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    👊✌👍.

  • @user-eo5vo3if9c
    @user-eo5vo3if9c ปีที่แล้ว +3

    Lengo la putting nikwamba wamagaribi wafilisikiye Ukraine

  • @Mutubure
    @Mutubure ปีที่แล้ว +1

    🇺🇸

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 ปีที่แล้ว +3

    Kanyaga twenda DJ sma. Ss tunakutegemea achana na mashoga

  • @boniphace1
    @boniphace1 ปีที่แล้ว +2

    Huwezi shinda vita kwa kutegemea msaada zaidi

  • @allymohamed2630
    @allymohamed2630 10 หลายเดือนก่อน

    Nipo mwanza nakukubali sana

  • @mohamedabdallah5300
    @mohamedabdallah5300 ปีที่แล้ว +2

    Tupo pamoja

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ ปีที่แล้ว +1

    Nakupata kutoka songea

  • @karimurashidi3095
    @karimurashidi3095 ปีที่แล้ว +1

    Mwanao wa faida kutoka mtwara

  • @LushidulaDula-np5md
    @LushidulaDula-np5md ปีที่แล้ว +1

    Urusi Yuko sawa

  • @abuubakarhaji2078
    @abuubakarhaji2078 ปีที่แล้ว

    Ni kweli sj smaa vyombo vya Habari vya magharibi havisemi ukweli

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 ปีที่แล้ว +1

    Frm south pacific Beach we heard u guys🇫🇯🇫🇯

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 ปีที่แล้ว +6

    Umesema ukweli dj sma, kuna watu humu ndani akili zao zimeegemea ukoloni mambo leo yani wapo humu ila akili zao zina sikiliza vyombo vya habari vya magharibi ya ulaya lazima tu watakuona unawadanganya. We achana nao ukiwaongelea utawapa kichwa, we tugee nondo tupate raha sie 😊, afu ujue nini we malizia tu na #djsmaputin wa #Bongo ili tuwakreee😜

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 ปีที่แล้ว +2

    Natoka dar DJ sma WAP unaishi nimekuwa nikirudia sana kauli hii tunakutegemea kunapande 2 zakuchagua mashsriki linakotoka jua au magharibi unakotoka ushoga ss nembo yetu Russia najua kanyaga twende DJ sma

  • @zulekhasaeed6046
    @zulekhasaeed6046 4 หลายเดือนก่อน

    Niko munchen mimi ni mtanzania Dj uko zahihi sana

  • @musashaban4309
    @musashaban4309 ปีที่แล้ว +1

    Musa niko Burundi nakukubali

  • @RaymondPaul-bs7su
    @RaymondPaul-bs7su ปีที่แล้ว +2

    Dj sma mbona video unazofundishia hatuzioniii