MAMBO MUHIMU MAMATU YA KUFANYA ILI MTU WA NDANI APATE NA NGUVU (04)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • MAVAZI yanaweza kumfanya mtu wa ndani awe na nguvu au kuwa dhaifu. Mavazi ni muhimu sana katika masuala ya kiroho. Kama ulikuwa hujajua hilo nakujulisha leo kupitia somo hili ili uwe na makini sana, siyo kila vazi unaweza kuvaa tu, msikilize Roho mtakatifu ndani yako,
    Mavazi yanaweza kutumika kama mlango wa kuharibu au kudhoofisha nguvu za mtu wa ndani.
    Fuatilia somo hili kuna mambo mengi utajifunza kuhusu mavazi

ความคิดเห็น • 4