@@kiningashukran5177 vita ni mbinu ukiona urusi awaonge sana au uchaona video ya Ukraine watu wana lala chini ulichifanya maiti kumbe uongo kwa hiyo urusi wako vizuri nikama Vietnam marekani kila siku majeshi ya marekani yalipeleka wanajeshi lkn ukienda marekani utaona ni wanajeshi wangapi walikufa lkn wavyetinam walishinda lkn hadi leo marekani hawashau hadi leo so story short niko na putin
@@hassanisufiani8599 bro vita kwangu nikilio😭😭😭. . Nilizaliwa maisha ya kishua ila nikakomalia katika maisha yatabu sana kwa jili yavita😭😭😭. Nimekua ya tima kwa sababu ya vita. Kwaio ya lio Nikuta siwezo kuamtakia MTU mwingine. Iwe vita ya congo sudani libia ao popote pale iwe inchi ya kislam ao zisizo kua inchi zakiislam siwezi kuunga mkono wavita hata hi siku moja.
@@bennyasseralfred7139 ayo maswala ya faida atajua mwenyewe sie tunachotaka awanyooshe tu! Mana walizoea kupiganisha Africa then wanaiba mali Sasa leo wacha kiumane na washke adabu
@@owenmutale6691 mi sijafunzwa kutukanana kwa sababu skukulia kwenye manzingira ya hovyohovyo ao sikuzaliwa na wazazi wahovyo hovyo awakunifunza hivo. Mi nadhani wa Tanzânia ndio mko kimbelembele sana kwa sababu amjui madhara ya vita nini. Ila mi na amini iwe mucongo ao murundi ao munyarwanda awezi kukubaliana na hayo mambo kwa sababu wanajua vizuri sana madhara ya vita. Mi vita yoyote ilê iwe ya inchi ilê yoyote nilazima nilalamike nakuipinga. Si kosa lako aujui maana ya vita
@@bennyasseralfred7139 kwan we unaumia nin. Acha ujinga. Kama unaumia sana anza kuwalilia wakongo wanaokufa kila kukicha kwa ajir ya vita au Lilia waafrika wenzio waliobaguliwa na wa Ukraine mipakan
Putin hivi una dada yako ambaye hajaposwa??? Nipe kwangu ndugu yangu yaani mimi niko na ww kila leo. Fyeka huyu mwizi!!! Tupilia mbali kabisa!!! Mmalize tu!!! Nakuja na coca mkononi. Putin, Russia, pamoja sana.
Putin sababisha mbaba ao paka kila siku wanachonganisha inchi za Africa na Arabu Leo zamu Yao Putin ukitaka msaada wa vijana ukinilipa fresh nikabizi mjegejo nisipo shika milio mia mbili nasema nao ma mbwa Ukraine 🤣🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🔥💪👇👇 th-cam.com/video/nN5nO8QElXI/w-d-xo.html
Naona comment za watanzania wanafurahia kweli matatzo ya wenzao kumbuka dunia inazunguuka leo kwa mwenzio kesho kwako usipende kufurahi mattzo ya mwenza hii dunia tunapita kumbuka
I'm happy to see how many African people love Russia &Putin
🤣🇷🇺❤💃🥂
Acha tushuhudie baba anavyo mchapa mwanawe
Safi sanaaaaaa😀😀😀😀
Putin kazi kazi iendelee 💪💯% mimi laha tu kusikia ivo
Uyu President wa Ukraine anaona kama President wa Russia anacheza comedy wakati mwenzake yupo Sirius
Ni kweli kabisa lnabidi ajiuzuru 2 maji yamezidi unga
😂😂😂😂😂😂😂Agiza upendacho nitumie namba yako nilipe
God bless Russia God bless Africa
Nkubal brooo
Aki nikisikia hivii nasikia lahaa
Yani hadi raha maana nchi za kiislam zaidi ya miaka 80 hakuna kinacho indelea lkn hii vita niko na putin 100 kwa 100
hhhhhhh misafara ya mwanzo imeishiya wapi?
@@kiningashukran5177 vita ni mbinu ukiona urusi awaonge sana au uchaona video ya Ukraine watu wana lala chini ulichifanya maiti kumbe uongo kwa hiyo urusi wako vizuri nikama Vietnam marekani kila siku majeshi ya marekani yalipeleka wanajeshi lkn ukienda marekani utaona ni wanajeshi wangapi walikufa lkn wavyetinam walishinda lkn hadi leo marekani hawashau hadi leo so story short niko na putin
@@hassanisufiani8599 Putin ni babako ? Ao akishinda utafaidi nini?
@@bennyasseralfred7139 ni mawazo yangu tuu wala si mjui 🤣🤣🤣
@@hassanisufiani8599 bro vita kwangu nikilio😭😭😭. . Nilizaliwa maisha ya kishua ila nikakomalia katika maisha yatabu sana kwa jili yavita😭😭😭. Nimekua ya tima kwa sababu ya vita. Kwaio ya lio Nikuta siwezo kuamtakia MTU mwingine. Iwe vita ya congo sudani libia ao popote pale iwe inchi ya kislam ao zisizo kua inchi zakiislam siwezi kuunga mkono wavita hata hi siku moja.
Aaah Anko kama Ankooolii putini huyoo kidume cha dunia 👏👏👏👏👏
Safi sana puttin fanya unyama kama tulvyokubaliana mpenz wangu nakupenda 💋💋💋💋💋
😆😆😆 daaaah
Unyama kwa faida yake na maslai Yake. Hakuna faida hata HII moja kwamuafrika
@@bennyasseralfred7139 ayo maswala ya faida atajua mwenyewe sie tunachotaka awanyooshe tu! Mana walizoea kupiganisha Africa then wanaiba mali Sasa leo wacha kiumane na washke adabu
alfred in unaumia km vile mtto wa kike mbona africa ulikaa kimya kenge wewe
@@owenmutale6691 mi sijafunzwa kutukanana kwa sababu skukulia kwenye manzingira ya hovyohovyo ao sikuzaliwa na wazazi wahovyo hovyo awakunifunza hivo. Mi nadhani wa Tanzânia ndio mko kimbelembele sana kwa sababu amjui madhara ya vita nini. Ila mi na amini iwe mucongo ao murundi ao munyarwanda awezi kukubaliana na hayo mambo kwa sababu wanajua vizuri sana madhara ya vita. Mi vita yoyote ilê iwe ya inchi ilê yoyote nilazima nilalamike nakuipinga. Si kosa lako aujui maana ya vita
Putin wachangamshe baba😍😍
Uraaaaaa Uraaaaaa 💪
Najikuta nafurahi tu. Kama vile ñmuona Putin anavyovuta kasi RAIA wapungue ili apige hao mbwa vizur kwa pigo moja
Una furaha watu wanakufa chanzo Cha ugpmvi unakijua Wana kosa ukrein
Akishashonda wewe utafaidi nini? Akili zapumba tu
@@bennyasseralfred7139 kwan we unaumia nin. Acha ujinga. Kama unaumia sana anza kuwalilia wakongo wanaokufa kila kukicha kwa ajir ya vita au Lilia waafrika wenzio waliobaguliwa na wa Ukraine mipakan
@@karimujuma6595 tuambie ww unaejua wewe si kwenu hebu tuambie kisa nn
@@victorvancharlz9125 kabisa uyo itakuwa mtu wa ngozi nyeupe
Yaani utesema movie inatengenezwa
Putin hivi una dada yako ambaye hajaposwa??? Nipe kwangu ndugu yangu yaani mimi niko na ww kila leo. Fyeka huyu mwizi!!! Tupilia mbali kabisa!!! Mmalize tu!!! Nakuja na coca mkononi. Putin, Russia, pamoja sana.
Kwa nn we unafurahia kuhusu hivi vita nifunze kitu
Putin sababisha mbaba ao paka kila siku wanachonganisha inchi za Africa na Arabu Leo zamu Yao Putin ukitaka msaada wa vijana ukinilipa fresh nikabizi mjegejo nisipo shika milio mia mbili nasema nao ma mbwa Ukraine 🤣🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🔥💪👇👇
th-cam.com/video/nN5nO8QElXI/w-d-xo.html
Safi sanaaaa
Kwani marayakwnza uyoputn wenukufanyaivyo uyoanajiangaishatu vtaasha shndwa hamwoni mwenzie Netanyahu anavyomaliza mchezo fasta gazayote imebaki makazi yammbwa koko
yaani huyu raisi wa ukraine comedy tupu si angemaliza mgogoro mapema tu dah watu wanazidi kufa
Watajuta kumchagua muigizaji
Cyo rahc kama unavyofikilia
@@denisimaliyaweni9183 basi waendelee kuuana na kuua watu wasio kuwa hatia
Kuna mataifa yalimuaminisha kua wako pa1 nae na hawez kufanywa Chchte
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Naona comment za watanzania wanafurahia kweli matatzo ya wenzao kumbuka dunia inazunguuka leo kwa mwenzio kesho kwako usipende kufurahi mattzo ya mwenza hii dunia tunapita kumbuka
marekani kapiga nchi ngapi?
Kama hujui nyamaza waachie wanaojua
@@eyeonnature4022 Ww toka uzaliwe hujawah shuhudia vita ila tunahadisiwa tu na wazee wetu kwaiyo omba sana mungu Tanzania yetu ibaki salama siku zote
konde boy jeshi ataki mchezo
Yupi
🤣🤣