Hakika visasi sio vitu vyema ingwa huwa kuna mambo hubidi kuyafanya Ili kuiipa furaha mioyo yawale walio potezewa na furaha Yao na watu wasio penda kuona furaha yawengine iki tawala katika vipaji vyao
Aise uyo rose nimemchukia aise n'a uyo William ni mpumbavu sana tu huruma wa nini ww ankojay sijasikiliz ata saa sasa uyu atarudi lini aise duuuuuuuh warafiki wa siku izi ndo ivo tu wanafki
Anko jay mwenyewe IPO SIKU tunasikiliza halafu natakoment tena like zenu kwa simulizi mix🥰🥰🥰🥰
Nyie nyie kumbe Rose ni shetani tuh ulaaniwe Rose ulaaniwee.,🥰mbali na kusimulia kumbe ata mwandishi?hongera saba simulizi iko 👌👌👌👌
Wale wa kupitia comments kupata highlights ✋✋✋
Nipo ndani ya simulizi mix yaani ndaaaaniii kabisaa,,,,anko j..Baraka utunukiwe tunaposubiria kuingia mwaka mpya 2023
Sawa! I'm no.1 thanks Smix pamoja sana
BEST WAY TO CONCLUDE 2022.WONDERFUL STORY ANKO JAY 🔥🔥🔥
Yaan hii simlizi nzur sn mm nimeipenda sn Hongera sn Anko jey
nakupenda sana anko jay kwa simuliz zako nzur
Wow nzuri sana
Nzuri anko j
Hongera sana mtunzi na msimuliaje,,, simulizi nzuri sana yenye mafunzo haswa,,,bye
Rose n shetani
Rozi mungu anakuona ushirikina una mwisho
Mmhhhh simuliz mzue jamn ANKO JAY washa nisikilize simuliz hii mzur nitakurejea kwa comments baadae ila bila kuondoka like nimegonga tayr❤️❤️❤️❤️
Anko ww Safi sanaaaaa
Hongera sanaa
Simuliz
Nimeipenda Sana 🥰💝💖, Keep it up Simulizi Mix😍😘
Pamoja sanaa simulizi mix Asante kwakibao kipya na chenye kuburudisha na mafunzo chemchem
Waaaaaao!!!! anko j
Hellow
❤ nzur nimeipenda 💖
Simulizi nzur sana kweli malipo dunian
Hiii skuliz mzur mnoo ndokwanza naskiliza mwanzo lakin naon moto
Daah kama picha la kuhindi hivi yan kumbe ni bongo story nzuri sana hakika malipo hapahapa duniani.To God be the glory.
Ulinzi wa Shetani
Asante Anko J kwa simulizi nzuri
Anko j nimeiyelew hii🙏🙏
Duh 🤔nimechelewa leo ...ila wacha nisikilize kwanza alafu nitarudi tena kucomment😘😘😘😘
Asante kwa simuliz nzuri
Wewe anko jay rozi mimi jamani we mapenzi nyiee❤❤❤
Uwiii jamani mbona Rose tunaroho nzuri huyu siyo Rose
Simulizi nzuri sana na yenye mafunzo tele
Anko J mimi na penda sauti yako nzuri sana hasante kwa mafunzo ❤ ❤
Ahaaa!!...naskizahuyokatili🙄🙄🇰🇪
❤❤❤❤Mzur sana nimeipenda
Mim nikiweka simulizi nikianza kuskliza nikickia tu saut ya anko j natuliaga kuskiliza
Simulizi nzur mno mpka p1sana anko jay🔥🔥
Anko Jay
Asante anko j
Inauma sanaaaaa anko
Hatariiiiiii Anko J
Nzuri sana
J let's part2
Nakubaliana nawe anko Jay
Mafundisho mazuri kwa simulizi ya anko jay pole dada kwa yaliokukutaa mungu upo🙏🙏🙏🤔
🥰🥰🥰🥰🥰Aisei iko tam sna anko jei naipenda sna simuliz mix iko swa na unasimuliz za mafunzo anko jei
❤️❤️❤️
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
hongera sana anko jat
jay
❤❤❤❤❤ napenda simulizi zenu
Hatar sanaa
Hiii story 🔥🔥🔥
Nzr sana na Ina mafunzo
Nice story
Asate sana simlizi mix ako j
Mmm ANKO J we unaongea tu bd
Hujawahi kupenda lkn ukipenda lazima
Ujiuwe tu sio ombi ni lazima
Nzuri saana nani aliandika iyi story
𝚟𝚒𝚌𝚝𝚘𝚛𝚒𝚊 𝚋𝚞𝚌𝚑𝚞𝚖𝚊
Happy New year uncle J ❤️
Napenda kushikisha simulizi za anki j
Mbavu zangu jay😄😄😄😄🤔😭😭
Ninzuriiiiii sana jamaniiii
Mie nahisi atarudi kupitia vizazi vyao ila ni maoni naendelea kusikiliza yalio jili mie nahisi watoto wa cecy na rose duuuuuuuh
Nasikiliz kwanza then ntarudi tena kukoment😘❤️🔥🔥
Same here🥰
Ila anko j 😂
Mapenzi n kipofu walai
Hahahaha maisha na ugali vitam eti !!!
Hakika visasi sio vitu vyema ingwa huwa kuna mambo hubidi kuyafanya Ili kuiipa furaha mioyo yawale walio potezewa na furaha Yao na watu wasio penda kuona furaha yawengine iki tawala katika vipaji vyao
Yaah nivibayaa sana kwani kisasi huzaa kisasi
do wiliamu jamani amka unakwama wap wasiklizaji aisee inauma
Aise uyo rose nimemchukia aise n'a uyo William ni mpumbavu sana tu huruma wa nini ww ankojay sijasikiliz ata saa sasa uyu atarudi lini aise duuuuuuuh warafiki wa siku izi ndo ivo tu wanafki
Umeonaa eeh hajawahi ataa kuhangaikaa kumtafuta cjui yupoje
Ankooooo
Asante kwa mafundisho
Inafundisha santee
❤❤❤
Nice story
Nzuri sana
Anko j nakupaje kwenye channel yenu
Story tamu
Anko jay uko na simulizi za huruma Sanaa lakini ni za mafunzo❤❤❤❤🎉
❤️❤️❤️