ASFC | Hizi hapa mbwembwe na madaha ya wanawake wa Tanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Tazama Mzee wa #SokaKijiweni Jamal Abbas ‘alivyokwama’ na mbwembwe na vionjo vya wanawake wa Tanga ambao ni mashabiki wa Coastal Union. Ni kuelekea fainali ya Azam Sports Federation Cup ambayo itapigwa Julai 2, 2022 dimbani Sheikh Amri Abeid Arusha.
    Wenyewe wamemtaja Fiston Mayele

ความคิดเห็น • 8

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 11 หลายเดือนก่อน

    Tanzania Tanga mzuri Sana kweli nakupenda sana kweli 💖💕💖💕💖

  • @pendaelpeter8691
    @pendaelpeter8691 2 ปีที่แล้ว +2

    🙌 uzalendo nawaachia act coastal mnisamehe haijalishi nimezaliwa makinyumbi korogwe (v) tanga mimi ni mwananchi halisi

  • @official_thedon7
    @official_thedon7 2 ปีที่แล้ว

    Tanga raha

  • @admakoga1871
    @admakoga1871 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake wa Tanga mbarikiwe, angekuwa mdada wa chuga apo

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 2 ปีที่แล้ว +1

    Maneno ya Kanga hayo wekeni akiba ya maneno.

  • @raymaakijangwa3347
    @raymaakijangwa3347 2 ปีที่แล้ว

    Tanga waziri waliopo kwenye list Ni wasambaa peke yao hao wengine uvivu tu.

  • @mwanakijana31
    @mwanakijana31 2 ปีที่แล้ว

    Yani tutapiga hawa mbwa mwitu mpaka hawatoamini hivyo vipini vyao watavivalia kwenye naniliii..........