Hivi sisi waislamu, nchi za kiislamu, nchi za kiarabu ni nani aliyeturoga? Maana akili tunazo, muongozo tunao,imaan ya dini tunayo ingawa sijui kwa kiwango gani, Mikutano maazimio yote yanayofanyika sioni natija yake ila maandishi kubaki kwenye makaratasi, kompyuta na mitandaoni. Allah atunusuru. Israel inatangaza watu waondoke eneo fulani la Ghaza waelekee sehemu fulani ambayo itakuwa salama kwao, na wakishahamia huko basi mauwaji yanawafuta hukohuko, mazayuni wanatekeleza unyama huo kwa ahadi zao za uongo kwa nini sisi tusitekeleze ahadi zetu tunazoweka hasa viongozi wetu?
Bhana, shida ni tuliishagawanywa na haohao makafiri na tukakubali kugawanyika.Nchi nyingi za kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Ulaya.Hata sisi huku utaona masheikh wetu wengi na viongozi wetu wengi hawajielewi.Sasa nikuulize:"Ni Misikiti mingapi umeona unafanya angalau Dua/mijadala kuhusu PALESTINA?" Waislam ni kama tumevurugikiwa vile.Sisi,huzungumza zaidi kuhusu kugawanyika kuliko kushikamana.
Asante sheikh wetu kwa kutujuza.Mwenyezi Mungu akuhifadhi.
Salaam.
Kazi iendelee.
Inna rabbaka labil mirswaad.
Insha Allah
Allah akupe umri mrefu shekh ila hiyo dhikri inanikosha sana
Mataifa ya kiislamu yakisimama na wapalastine vita itaisha
Dalili yanyuklia ipo tena naomba ipigwe marekan magaid wakubwa
America naipigwe imevuruga amani ulimwengu mzima
Hivi sisi waislamu, nchi za kiislamu, nchi za kiarabu ni nani aliyeturoga? Maana akili tunazo, muongozo tunao,imaan ya dini tunayo ingawa sijui kwa kiwango gani, Mikutano maazimio yote yanayofanyika sioni natija yake ila maandishi kubaki kwenye makaratasi, kompyuta na mitandaoni. Allah atunusuru. Israel inatangaza watu waondoke eneo fulani la Ghaza waelekee sehemu fulani ambayo itakuwa salama kwao, na wakishahamia huko basi mauwaji yanawafuta hukohuko, mazayuni wanatekeleza unyama huo kwa ahadi zao za uongo kwa nini sisi tusitekeleze ahadi zetu tunazoweka hasa viongozi wetu?
Bhana, shida ni tuliishagawanywa na haohao makafiri na tukakubali kugawanyika.Nchi nyingi za kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Ulaya.Hata sisi huku utaona masheikh wetu wengi na viongozi wetu wengi hawajielewi.Sasa nikuulize:"Ni Misikiti mingapi umeona unafanya angalau Dua/mijadala kuhusu PALESTINA?" Waislam ni kama tumevurugikiwa vile.Sisi,huzungumza zaidi kuhusu kugawanyika kuliko kushikamana.
Hizi ndio nyakati zakujua waumini na waislamu wanafiki inasikitisha sana Dubai imetulia hata haisemi lolote kama ambae masjid aqsa hawaujui...💔😭
@hanifahassan-sf1gg Hiyo nchi wamejaa mazayuni na uhabithi wa kila aina upo hapo
lkn mbona kila siku ni wakubwa tu uko kwa waislam vp hao wengine kina netanyahu mbona ni kukoswa tu
Allaah atulinde awapenujasiri Hezbollah 🇰🇪🇱🇧 zetu ni dua tu