Nafikiri Baraka Shamte ana haki kisheria kusema na yote alioyasema ni sawa. Isipokuwa pale alipotoa mfano wa Al maruhum Idrisa Abulwakil Nombe. Kwamba Idrisa Wakil alikaa muhula 1 tu na walipoona hawafai waka mstopisha asiendelee na miaka 5. Sasa hapa tujiulize msamiati kwanini Raisi Wakyil alikaa miaka 5 tu..🤔. Sasa nawadokolea.. Marehemu Idrisa Wakyil alipokuwa raisi alifuatwa na wahafidhuna kama aina ya Baraka kumtaka awafukuze wapemba wote na asiwashirikishe kwenye utawala. Pia wakataka awe na zile chuki za wabague wazanzibari. Lkn mzee Idrissa hakutaka Siasa za Unafik na aliwaambia hivi hivi read handed.. Sasa huyo Baraka hana lolote huyo kwasababu anachokitaka Mwinyi andoke ili akina Baraka (Kibaraka wa Ali Karume na kundi lao) waipate Nchi waifunde funde na wauwe watu wasiokua hatia na kudhulumu wazanzibari haki zao. Mwinyi ni mbaya lkn kuna mema ambayo anayafanya. Mitu haki yake hupewa. Na hivi sasa Baraka ameomba radhi chama chake.
Watu wasiojuilikana daaa wanaadamu,yani hawana sura,basi pengine hushuka kutoka mbinguni wakishafanya yao hupaa mbinguni....kwa Mungu tutaona mengi na hata wasiojuilikana watajuilikana nakila suala utakaloulizwa litakuwa na majibu na tujiandae kuyajibu masuala kiusahihi maana anae kuuliza masuali hupaswi kumdanganya anakujuwa nje ndani kwa iyo kila kitu kitakuwa wazi kabisa
Kwasababu ya jina na umaarufu wake wakianza kuhoji wanapata credibility siasa unaangalia anapo anguka m2 sio alipo teguka fimbo inatumiwa pale panapostahiki
Huyu ni mchunga ng'ombe kapigwa na ng'ombe wake haya ni mambo ya ngoswe waachie ngoswe yenyewe sisi wapemba kila uchaguzi tunauliwa tunapigwa mbona hamusemi lolote au ndio ni Wapemba hawana thamani.
Kwa hiyo Jussa alivyopigwa wakati wa uchaguzi naye alipata kinachomstahili kwa sisi wapenzi wa Mwl Nyerere kwani Jussa husema maneno mabaya sana dhidi ya Nyerere
Mafuzo ya kipigo cha shamte Zanzibar bado Uhuru wa kuongea haupo kaongea ci mwanachama ila yeye ni raiya mwema 2 kwa nchi yake mawazo ciku yote hayafanani
Uyo shamte ameishiwa na pumzi yy si alimsifia Hussein mwinyi kama kijana mzur na msomi leo hii anaongea km hafai uyo mzee ni mnafiki anataka kumchafua Raisi
Mtu kama Shamte alitakiwa kama mwanachama dukuduku la kupaaza sauti alisemee ndani ya vikao vya Chama uhuru huo anaujua. Angalia sasa kutozingatia hilo jambo hili linaleta Songombingo. Wewe Shamte MZUSHI
@@rupiangwigulila2987 Mzushi wewe toka lini Abdullah na wanja na vidalia vya kwapa hata angesema huko huko ndani wangemsokota huko huko CCM hawana nia ya lolote jema kwani msumari umewaganganda
Nafikiri Baraka Shamte ana haki kisheria kusema na yote alioyasema ni sawa. Isipokuwa pale alipotoa mfano wa Al maruhum Idrisa Abulwakil Nombe. Kwamba Idrisa Wakil alikaa muhula 1 tu na walipoona hawafai waka mstopisha asiendelee na miaka 5. Sasa hapa tujiulize msamiati kwanini Raisi Wakyil alikaa miaka 5 tu..🤔. Sasa nawadokolea.. Marehemu Idrisa Wakyil alipokuwa raisi alifuatwa na wahafidhuna kama aina ya Baraka kumtaka awafukuze wapemba wote na asiwashirikishe kwenye utawala. Pia wakataka awe na zile chuki za wabague wazanzibari. Lkn mzee Idrissa hakutaka Siasa za Unafik na aliwaambia hivi hivi read handed.. Sasa huyo Baraka hana lolote huyo kwasababu anachokitaka Mwinyi andoke ili akina Baraka (Kibaraka wa Ali Karume na kundi lao) waipate Nchi waifunde funde na wauwe watu wasiokua hatia na kudhulumu wazanzibari haki zao. Mwinyi ni mbaya lkn kuna mema ambayo anayafanya. Mitu haki yake hupewa. Na hivi sasa Baraka ameomba radhi chama chake.
wote munazunguka bure, hapo inaonesha kuna kundi ambalo limekatiwa ulaji ndio figisu yote kwa mwinyi
Umemaliza kazi. Tonge, tumbo na njaa
Watu wasiojuilikana daaa wanaadamu,yani hawana sura,basi pengine hushuka kutoka mbinguni wakishafanya yao hupaa mbinguni....kwa Mungu tutaona mengi na hata wasiojuilikana watajuilikana nakila suala utakaloulizwa litakuwa na majibu na tujiandae kuyajibu masuala kiusahihi maana anae kuuliza masuali hupaswi kumdanganya anakujuwa nje ndani kwa iyo kila kitu kitakuwa wazi kabisa
Baraka hakupigwa bhana
Shamte kapapaswa tu
Maneno yako kweli waliopigwa kina Jusa, Mazurui, Ali Juma , Marehemu Mzee Amir na Wengine. Yeye alikuwa sio mpinzani ndoo maana kapapaswa
💯
@@moa4122 Huyo kateleza kwenye ngazi
Alopigwa Babu wa paje maskini alofika kushahadia nyie CCM mna ubaya kuliko mijibwa yoyote ili umbile tu la Binadam
hakupigwa nilitaka wamuue hasa km kasema wapemba kuzama ni bora
Mbona watu wanapigwa nakutekwa nakuuliwa lkn
hakuna mahojiano yoyote. Leo iweje baraka munakuja na mahojiano.
Kwasababu ya jina na umaarufu wake wakianza kuhoji wanapata credibility siasa unaangalia anapo anguka m2 sio alipo teguka fimbo inatumiwa pale panapostahiki
Mzee Baraka mnafiki
Tumejifunza tuwe na adabu
Imenifurahisha sana hiiii tuwe na adabu ni hoka nzito pia ni, mafunzo kiukweli
Huyu ni mchunga ng'ombe kapigwa na ng'ombe wake haya ni mambo ya ngoswe waachie ngoswe yenyewe sisi wapemba kila uchaguzi tunauliwa tunapigwa mbona hamusemi lolote au ndio ni Wapemba hawana thamani.
0a!!
😁👀😁
Ndugu hatuangali kuuliwa kwa wapemba huyu Shamte ni kadaa wa chama kupijwa kwake kunawapa nguvu wapizani kuongea
ndo nashangaa mbuzi hawa wa CCM
Zanzibari imeuzwa nzima NA tanganika sasa nynye mnaona sindano NA hamuoni ngamia nzima nchi imetekwa NA bara milele
Kiufupi asilimia ya wazanzibar wengi hawataki visiwa vikodishwe
Kweli hatulihitaji iloo illa ukisema ndo kinakukuta icho
Mbona zanzibari yote elisha nunuliwa nzima NA tanganika mbona mnaona sindano NA hamuoni ngamia nzima
BARAKA PUNDA WALA SI BARAKA SHAMTE...AFILIE MBALI HUKO....HONGERENI SERIKALI YA MZEE WA MABATI KWA KUMTIA ADABU HUYU MAANA HAWAPENDI WAPEMBA
th-cam.com/video/9IByjgqL0Vg/w-d-xo.html
Dkt mwinyi awaka zanzibar
Bora ulivyokuwa hujenda kwenye Chama cha mizimwi
Tena vimeuzwa wanachi hawajapata kitu na serikal hawajapata kituu, by the way acha tukuckikizen mjadala wenu..
Mamia ya wananchi wameshatekwa na kupigwa sana mbona hamjaweka mijadala msitupumbaze au wale wahanga wengine si watu?
Kaka si lazima usikilize. Kama mjadala unakukera basi pita tu kafanye mengine, kiroho safi tu🥴
Kwa hiyo Jussa alivyopigwa wakati wa uchaguzi naye alipata kinachomstahili kwa sisi wapenzi wa Mwl Nyerere kwani Jussa husema maneno mabaya sana dhidi ya Nyerere
@@salma0000 Jussa anasema Nyerere aliivamia Zanzibar na kuifanya koloni lake, hii inafanya Wazanzibari kumchukia baba yetu wa Taifa.
Mende kajitahidi but hatimae kalazwa miguu juu🙈
Basi hili jambo la kukodishwa visiwa liamliwe kwa kura za wananchi
Ali Sale GWIJI.
Ccm walishatoka katika kusimamia haki za wananchi wamebaki kulinďa makundi ya wanyonyaji wa lasilimali taifa.
Hata bado waache wapigane wenyewe kwa wenyewe. Laana hiyo.
Uliza kaingia ingiaje hapo
Baraka hakukosowa kakiuka maadili hivyo kajidhalilisha mwenyewe🤣
Baraka hajupigwa alinguka chooni bahati mbaya na hakutekwa alikua kwa hawara wake kule sehem fulani
Hahaha
Sasa wewe aly saleh msimamo wako upi mara baraka amefurahi kuzama meli mara baraka anaikosoa serekali hatujakufahamu wewe nini msimamo wako
Amesema baraka ni mropokaji
naona Ali abwabwaja2
Mafuzo ya kipigo cha shamte Zanzibar bado Uhuru wa kuongea haupo kaongea ci mwanachama ila yeye ni raiya mwema 2 kwa nchi yake mawazo ciku yote hayafanani
Uyo shamte ameishiwa na pumzi yy si alimsifia Hussein mwinyi kama kijana mzur na msomi leo hii anaongea km hafai uyo mzee ni mnafiki anataka kumchafua Raisi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Hio ardhi ya Zanzibar hununui anakodisha sawa?
Baraka Shamte kasema sawa sawa hakuficha lakini wahafidhina hawawezi kufurahi
Mmafunzo ni kuwa hawataki kukosolewa hapo wanaosema wako tayari kukosolewa
Mtu kama Shamte alitakiwa kama mwanachama dukuduku la kupaaza sauti alisemee ndani ya vikao vya Chama uhuru huo anaujua.
Angalia sasa kutozingatia hilo jambo hili linaleta Songombingo. Wewe Shamte MZUSHI
@@rupiangwigulila2987 Mzushi wewe toka lini Abdullah na wanja na vidalia vya kwapa hata angesema huko huko ndani wangemsokota huko huko CCM hawana nia ya lolote jema kwani msumari umewaganganda
Mm naona hamna kaz tu kapgwa watu wameulwa mm naona hakupgwa
Baraka Shamte “Kampigwa ng’ombewe”
Simsahau Mzee huyu alipokuwa akimkashifu marehemu mwalimu Seif
😂😂😂😂
Kocha wa netball hapo kuna masulaa yanataka kujibiwa kwa haraka asap
😀👀😁☝
Astahil kupigwa