Alex na Jalas, sijui kwanini mnashangaa wanawake waluya wako wabaya. Issue si ati ni waluya,issue ni kuwa huyo ni mwanamke kama wanawake wengine ambao ni waongo na wabaya wenye hawawezi aminika haswaa kwa kenya hii
In 2012 i employed 2 girls, a kamba and a luhya by name Alice, i stayed wth both until 2016 Oct, winnie ( kamba) had 2 kids , i also hav my 2kids but Alice denied ever having a kid, early 2016 her immediate neighbour visited our place of work but nilikuwa nimetuma Alice kidogo so story zikaanza,we were shocked beyond words to learn she had 2kids, na kila holiday alikuwa anabuy nguo na viatu zao but anatundanganya ni za watoto wa siz yake, ogopa luhya
Wasichana waluhya ni wabaya especially maragoli, wako na mariko mengi mwingine alikutana na my brother Kapenguria town wakaoana baada ya one muda alibeba vitu za my brother zote wakati my brother alikuwa amekuja home, since that depression ugonjwa tofauti my brother ako on sick bed.
As a woman,the first commitment I want from a man is to introduce me to his people,coz kikiumana these are the first people I will involve is sorting out our issue,so ukiona Dame Hana shughuli na kujua kwenu na watu wenu,huyu yu Ni mpitaji, no commitment at all!
ni wabaya sana kuna mmoja alisema hana mtoi kumbe ako mtoi wa form 1 walioana 2014 amejua bwana amejua juzi 2016 mwanamke ameanza madharau baadaa ya kuzaa nae mtoi mmoja anamshow mwanaume atafute mke mwingine aoe
Yahhhhhh.....I celebrate you Sana! I have shared with all my friends....500,000 subs here they come!. Support each other, don't let pride come in between you guys and sky is the limit! Way to go A&J! ❤️👌🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 watching from mid America!!!
Haha alee na mwakii hao ni waluiya wa town,.wamejifunza ujanja wa mjini how to survive,wanyumbni hawako ivo,infact am a luhya lives in Croatia,wife material kapsaa.
@@musageoffrey6433 nope bro it's we have been in a relationship for almost 6 years we plan to stay 2gether 2 years back but she denied alisema nijipange mwanzo, I Introduced her to my pple as my partner but she never did that to me though her pple know about us, recently I travelled out of the country 1 and half yr ago, some weeks ago she told me she wanna vacate to the capital city when I ask why, she told me she has got personal issues, i asked her, what about me, she replied you the one to decide and that's why nimekwambia mapema, I asked her while very angry am I not concerned to your issues coz we ain't just friends but couples to be, she answered am not in the mood of arguing with you
Some days ago she called telling me she's in the capital city already but sick but immediately I had that I felt like am done and dumped and the conversation did end well, but since I know whom I am I took it lightly and believe it's over no time to waste
Siezi kana watoto wangu hata siku moja wala sekunde moja,, Nina watoto wawili.mwanaume akinichumbie kitu cha kwanza lazima ni mwambie Nina watoto, ikitaka anipende ama akanyage kubwa kubwa
Lakini kwani waluyah wife huenda na watoi???.?.? ????????????si nathani watoi hubaki kwakina mzee??????...umeoa mtu hujui watu wao wala kwao🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙈🙊
Wewe nekesa ametesa ndugu yangu hesbon ametanganya esbon akauza shambo yote akanunua shamba kwengine na akafukuza esbon siku hizi anakunywa pombe hana mbele na nyuma hata watoto hesbon hana amekua chozi kwa stage kipsaina.
Waluhya wangana hata ninao rafiki jameni. Huyo alidanganya kuwa mluhya labda ni mkaazi wa kakamega. Acah wasulihishe hayo mambo kifamilia. Na huyu janadume anayo makosa kweli hakuwahi Juana na familia kwanza. No problem with the girl. And I know though this guy alimuoa najua hamna mapenzi hapo.
Dunia imebadilika ujanja uko hata kwa vijana na ni kila mahali sio waluhya tu.Kila community ina mchawi wake.Otherwise Waluhya tuko wife materials kabisa
Nmefurahia hio sifa ya wasichana wa kiluyia nikiwa mmoja wao...
Thanks for supporting that. We are proud of our ladies
Siezi kana watoto wangu😭😭
Alex na Jalas, sijui kwanini mnashangaa wanawake waluya wako wabaya. Issue si ati ni waluya,issue ni kuwa huyo ni mwanamke kama wanawake wengine ambao ni waongo na wabaya wenye hawawezi aminika haswaa kwa kenya hii
yamenitendekea mimi
@@moreenmbatha1147 pole sana
wah clinic leo mambo kwa ground ni tofauti kabisa boy child fungua macho
Vitu ni different qw ground nzisa😂😁🤣
@@jameskimanzi2079 😅😅😅
Nzisa io nto matokeo y mapenzi y Nairobi😂🤣😁😀
@@jameskimanzi2079 wah but hatari sana
Mambo
I like Jalangos advice.Kudos! Inaitwa mapenzi ya Nairobi
Jalas vile unafanya mdomo yawaa jamani 😂😂😂😂😂😂😂
Wakunipenda anipende from fast time niko na watoto
Aleki na Mwakideu wako sawa!! 😂😂😂
In 2012 i employed 2 girls, a kamba and a luhya by name Alice, i stayed wth both until 2016 Oct, winnie ( kamba) had 2 kids , i also hav my 2kids but Alice denied ever having a kid, early 2016 her immediate neighbour visited our place of work but nilikuwa nimetuma Alice kidogo so story zikaanza,we were shocked beyond words to learn she had 2kids, na kila holiday alikuwa anabuy nguo na viatu zao but anatundanganya ni za watoto wa siz yake, ogopa luhya
Wasichana waluhya ni wabaya especially maragoli, wako na mariko mengi mwingine alikutana na my brother Kapenguria town wakaoana baada ya one muda alibeba vitu za my brother zote wakati my brother alikuwa amekuja home, since that depression ugonjwa tofauti my brother ako on sick bed.
Jesus ati ni wabaya siwezi kana mtoto nimezaa
nimekataaa hawa ni waluhya mwitu
Tuko juu
As a woman,the first commitment I want from a man is to introduce me to his people,coz kikiumana these are the first people I will involve is sorting out our issue,so ukiona Dame Hana shughuli na kujua kwenu na watu wenu,huyu yu Ni mpitaji, no commitment at all!
uyo ni fala..unaishi aje na mtu hujui kwao mwaka mzima
Siwezi na sitawai kana watoi wngu jameni,,,,
Haujatoa chochote kwao, kwa hio kubali matokeo
Yesu wangu 🙆♂️
ni wabaya sana kuna mmoja alisema hana mtoi kumbe ako mtoi wa form 1 walioana 2014 amejua bwana amejua juzi 2016 mwanamke ameanza madharau baadaa ya kuzaa nae mtoi mmoja anamshow mwanaume atafute mke mwingine aoe
Am a single mom with 2 pikin or kids, and kwasasa niko saudi arabia kuosha chooo ili wanangu wasome and etc so r qe tugezaaaaaaa
Yahhhhhh.....I celebrate you Sana! I have shared with all my friends....500,000 subs here they come!. Support each other, don't let pride come in between you guys and sky is the limit! Way to go A&J!
❤️👌🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 watching from mid America!!!
My dear friend run 🏃 away from that lady..later utalilia kwa choo
True 👍
Haha alee na mwakii hao ni waluiya wa town,.wamejifunza ujanja wa mjini how to survive,wanyumbni hawako ivo,infact am a luhya lives in Croatia,wife material kapsaa.
Hehee kwa ground vitu ni deferent 😂😂😂
Run for your life huyu dem atakufanyia vituko zaidi kuliko hayo kimbia sana
siwezi kukana watoto wangu
Waluya tunajihamini waache kutuaribia Jina. Niko na 3kids Na I die With ooooh...
Kitanda usichokilalia hujui kunguni zake msikane
mwanamke ni mwanamke, dont associate a good woman with the tribe they come from, a good woman is just a good woman
Well said
Very very true
Jalas am in such a situation though mwenye Niko nae ni kwamba amenitoroka,.......🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Pole sana
@@musageoffrey6433 ni Uchungu bro imagine 6 yrs in a relationship.
Mlikuwa na mtoto naye, David?
@@musageoffrey6433 nope bro it's we have been in a relationship for almost 6 years we plan to stay 2gether 2 years back but she denied alisema nijipange mwanzo, I Introduced her to my pple as my partner but she never did that to me though her pple know about us, recently I travelled out of the country 1 and half yr ago, some weeks ago she told me she wanna vacate to the capital city when I ask why, she told me she has got personal issues, i asked her, what about me, she replied you the one to decide and that's why nimekwambia mapema, I asked her while very angry am I not concerned to your issues coz we ain't just friends but couples to be, she answered am not in the mood of arguing with you
Some days ago she called telling me she's in the capital city already but sick but immediately I had that I felt like am done and dumped and the conversation did end well, but since I know whom I am I took it lightly and believe it's over no time to waste
🤔🤔🤔🤔binadam ss.
Huyo sio mlunje wetu walai
Kabisa wasituwekelee waluhya hatukuangi hivo
Na hii clinic ni kama wanaume ndo wanangojeka saaana
Siezi kana watoto wangu hata siku moja wala sekunde moja,, Nina watoto wawili.mwanaume akinichumbie kitu cha kwanza lazima ni mwambie Nina watoto, ikitaka anipende ama akanyage kubwa kubwa
Wooi huyu jamaa ako na ujinga mwingi
Ati nichukulie simu mbili tatu ivi kutoka kwa waluya
And that is why I always say wata wa STOP hii mambo ya come-stay halafu mna zaa kama wanyama wa pori.
🤣 🤣 Ati kuzaa kama nini
Jalas ati mmepatana na wasichana waluhya si mfafanue tu kiac
nilijuwa tu huyo dame ni mluhya
I feel sorry for tht guy aki,kama ni wako ataishi na kama c wako wacha aende akiendaga usimbembeleze
Mama amechoma picha pwaaaaa
Lakini kwani waluyah wife huenda na watoi???.?.?
????????????si nathani watoi hubaki kwakina mzee??????...umeoa mtu hujui watu wao wala kwao🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙈🙊
Ata niwe na watoto kumi cwezi wakana mimi
Kwani this guy akuona machungwa imeflap
Wewe mwanamme ndio unashida itakuaje mko na mtoto na mtu na hujawahi hata enda kwa kina mschana ,,,mnapotezeana tu wakati
Mluhyia mwanamke hawezi kimbia na watoto
siwezi kataa mtoto wangu mimi. hiyo tabia yenye huyo mwanamke ako nayo sio ya kiluhya kabisa.
I have same problem, luhuya ladies wakora sana
😆😆ni silent killers😅
hatari sana
Ndo danger
Washa ww hao niwaqiuk
Hahaha. True but mdomo wanayo tamu inatoa nyoka pangoni.
Aleki na Mwakideu 🤣🤣🤣🤣hii nayo ndio gani..
Hapo kwa wasichana waluhya kuwa wasitaarabu ni kweli kabisa huyu wake a kwende kabisa.
Wasichana waluhya kutoka Lubao is a no go zone. Thank me later
Hehehehe Leo Boychild kwa Ground vitu ni different....Just forget about that Lady and move on with your life.
Waschana waluyia ni wajanjes
kitu nimeona kwa waluyha mimi sijawai ona ata kwa movie
How do u marry 🚺 without background check!
Martin ndio maana courtship before marriage ni maana. Mjuane kabisa na kwenda mashambani kwa wazazi.
Wewe nekesa ametesa ndugu yangu hesbon ametanganya esbon akauza shambo yote akanunua shamba kwengine na akafukuza esbon siku hizi anakunywa pombe hana mbele na nyuma hata watoto hesbon hana amekua chozi kwa stage kipsaina.
🤣🤣🤣🤣Hatari
Leave that relationship that is another man's wife ..
Waluhya Sisi hatuwezi wacha watoto wetu.Huyo si luhya lady anakuchocha.
Ukweli✌
Cku zote ogopa vtu 3 : Bibi ya MTU,Shamba na pesa ya mtu from jalas school of thoughts
My friend run 🏃🏃🏃🏃🏃🏃jiokoe
Anza Investigation ya DCI Kinoti 😂😂😂
😃😃😃
Jalas wacha kuchat, concentrate
Wanawake jamani ni tamaa ama ni nn,Sasa huu ni ufala sanaa,kwani angemwambia ukweli angefanya nn shit......UAE nakupa vizuri
Mmmmmh jamani
Daaaaah
In the first place Huyu dem alijua awezi ishi na Huyu jamaa that's why akumwambia ukweli
Luhyas ladies we're wife material 😍😂
Yes
mko na sifa za watoto sana
@@tatutatu3364 Afadhali ukuwe na sifa ya watoto kuliko kutupa kwa choo ama street
@@tinahnaitwa9845 true lakini kuchanganya watoto nayo
Not this days. Mdomo tamu mnayo kweli
Mwingine aliletewa watoto place ana fanya kazi ya nyumba ati ajaonekana kwao miaka mbili 😏sio poa
Eei ngumu kama mawe,wasee kabla kuoa au kuoleka ni muhimu kujipitisha kwa akina mpenzi wako😅
Bro run
Ajabu sana kukana watoi,hata wewe hamna upendo hapo,jipe shughuli Kaka
Wasichana yaluhya awana huyo tabia niko na watoto and single parent my daughter going in Form two
NEKESA😁😁😁😁
sikiza wanawake wenyewe
Mapenzi ya town uishia town
😂🤣😅 boychild bfore u marry her go to her home, otherwise zile masaibu utapata!!!!!
Ladies 😭😭😭😭😭😭
Wallai sisi waluhya wastarabu watoi hata wawe sita unasema tuu
Hehe wewe unawangapi
wuuui
Huyo amezoea kutorokatoroka wanaume so ukitorokwa kubali juu hata wewe alitorokea kwako
every Tripe they have bad and good people
Hii ni come we stay ,juu how come hajuhi kwa kina mwanamke na anasema ni bibi
Hhahhahahah fire
Yea, huyu mwanamume alikosea from the word go, ungekuwa umeenda kwao, mjulikane kwa wazazi before marriage
Hii mambo ya kuoania kwa barabara ni tricky coz ata boy hajui kwa kina dem .sijawai ona mtu mwenye anakana watoto wake
Kwani hakuna mwenye uwa aolewi na mtoto
Thankyou
Sasa wasichana wagani wazuri tuambieni plz
Hahaha kikuyu
Walunje mpo????
Wololo
i have a chronic condition ya kuleta kwa clinic, please how can i contact you ?
Kunao wabaya na wazuri,,,,,,,,,you guys are exagurating,,,,,,,,,nice show
Waluhya wangana hata ninao rafiki jameni. Huyo alidanganya kuwa mluhya labda ni mkaazi wa kakamega. Acah wasulihishe hayo mambo kifamilia. Na huyu janadume anayo makosa kweli hakuwahi Juana na familia kwanza. No problem with the girl. And I know though this guy alimuoa najua hamna mapenzi hapo.
Wangwana*
Sasa muliowana vp bila kujua kwakina bibi duuu sasa ilo ndio tatizo
Came we stay hapo hakuna kuoa
Aki huyu c mluyah aache kutuchomea
Waluhya 😂
Hio ni ujinga unaezaishii na bibi yako na ujui kwao huyo jama akwa serious
Hi dunia aky ya nani
Dunia imebadilika ujanja uko hata kwa vijana na ni kila mahali sio waluhya tu.Kila community ina mchawi wake.Otherwise Waluhya tuko wife materials kabisa
Kwendeni huko wacheni kuaribia wasichana waluhya pengine huyo damu take sio ya waluhya
Moja akiharibika sio wote wabaya tafadhali