MWANAMKE ALIYETOBOLEWA MACHO NA MUME WAKE AFUNGUKA "NA YEYE WAMTOE MACHO YAKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @LaurenciaKitauli-or8rr
    @LaurenciaKitauli-or8rr 2 วันที่ผ่านมา +10

    Pole sana binti . Huyo macho yake yatatobolewa na muumba mbingu na nchi

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 2 วันที่ผ่านมา +11

    Kwanini umtoboe mwenzako kama umemchoka si nibora tuu muachane ili kila mtu akaanzishe maisha mapya kwani kuna dini inayokataza kuachana kama mmefikia hatua mbaya?

  • @NtezimanaLubhingagiza-us2iz
    @NtezimanaLubhingagiza-us2iz 2 วันที่ผ่านมา +4

    Pole dada Mungu atusaidie

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 2 วันที่ผ่านมา +2

    Uyo alijuwa kauw ndo mana alimtobowa machoo MUNGU akupe maishaa marefu

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 2 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana Kwa janga kubwa.
    Fanyeni haraka mgojwa afikishwe haraka sana CCBRT Dar es salaam.hilo jicho jicho litasalimika HAKIKA.

  • @hashilalkharusi4680
    @hashilalkharusi4680 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole mwanagu kwa mtihani uliokukuta mtegemee Mungu

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada hali yasasa adui yako muogope sana usijiaminie kihivyo hata mimi nilisamehe vyombo na maisha yanaendelea wakati tuliopo ni mbaya sana

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu wangu tuhurumie mini ichi

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akuponye kwa wepes

  • @EmmyFesto
    @EmmyFesto 2 วันที่ผ่านมา +1

    huyo baba wamtoe macho yake wamuwekee huyo dada maisha mengine yaendelee

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 วันที่ผ่านมา +4

    NayeyeyAtolewe macho yake hakunakumfungawalalanini

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana ndugu yangu

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 2 วันที่ผ่านมา +2

    Yani uyo kaka kiukweli ningekufa nae aki tena khaaaa!!!

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atakuponya

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 2 วันที่ผ่านมา +8

    Muheshimiwa raisi wetu mpendwa ingilia Kati hili jambo angalau huyu binti aweze kuona tafadhal muheshimiwa mana wewe ndio mamlaka na kila jema ulitendalo mung atakusaidia msaidie muheshimiwa mana inaumiza sana

    • @celinamosha9420
      @celinamosha9420 วันที่ผ่านมา

      SEMA wangu usitushirikishe wengine

    • @joycekitundu4749
      @joycekitundu4749 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@celinamosha9420😅😅😅😅

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole aanA

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ukatili wa hali ya juu sana huu serikali komesheni hiki kitu

  • @naomisamwel18
    @naomisamwel18 วันที่ผ่านมา +1

    Naomb kuuliza, inamaana huyu dda haon hata jcho moja?ssa itakuwaje

  • @HawaaMkubwa
    @HawaaMkubwa 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yani nakosa cha kusema Pole binti yangu 😢😢

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 2 วันที่ผ่านมา

    Mapenz cjui kwann mwishoe huwa uwadui labda mtu mngekuwa tu urafiki wa kawaida labda mtu mngekuwa marafiki wazur haki pole kipenz ❤❤❤

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 2 วันที่ผ่านมา +1

      hayo siyo mapenzi, ukimpenda mtu huwezi kuwa adui yake.

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 วันที่ผ่านมา +1

    Duhh mtihani Mkubwa Wallahi hadi huruma

  • @WilliamIbrahim-dt5nb
    @WilliamIbrahim-dt5nb 2 วันที่ผ่านมา +3

    Kama mhanga alivyosema afadhali na yeye atolewe macho tu wamwache

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa kweli jamani utamtoaje mwenzako macho jamani uchungu mkubwa

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 วันที่ผ่านมา +1

    KWANI wataalam hakuna uwezekano ya HAYO macho ya HUYO bwana akaeekewa HUYU dada kitaalam yaani yakapandikizwa na Haya aliyoyatoboa akapewa yeye ??

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 วันที่ผ่านมา +3

    SubhanaAllah

  • @popod177
    @popod177 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hata ije ifikie kutoboana macho..kuna mengi zaid huyu dada ameyavulilia,..

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 วันที่ผ่านมา

    Kuna yule aliyemkata mikono mwanamke kule Mtwara, kuna yule scorpion aliyemtoboa macho yule kijana pale Buguruni, na leo ndio huyu,,,,wote tumeona hukumu zao!! Imefika wakati sasa kuanza kutekeleza hukumu za kiislamu ndio zenye kutoa haki

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 2 วันที่ผ่านมา +2

    Alithani amekufa ndo maana kamtoboa macha

  • @nkengimasanja1899
    @nkengimasanja1899 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @popod177
    @popod177 2 วันที่ผ่านมา +1

    Utake wanawake wengi wengi na uwezo huna..humtaki na macho pia ukayachukua,si hasidi huyu...

  • @mwanas2
    @mwanas2 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yani kama mbwai mbwai nae atobolewe shuwain kabisa.Maskini dada wa watu bora ingekua jicho ata moja yote mawilo huo ni unyama kabisa yani kusudi kubwa mno shenzi kbsa.Familia nao hana mimi ningelipa kisasi cha hatari ingekua fundisho kwa wote

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kakumiza yeye. Kwakuongeza mke wapili umekubaliana nayo kisa kuachavitu anakumizaa 😢😢🥲

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 2 วันที่ผ่านมา +1

    Like namimi leo wa kwanza

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl วันที่ผ่านมา +1

    Yote xikizake zimemfanya atake kukuuwa kukutaka hakutaki ila vituvyako anavitaka kitabda na godolo ndilo lilikualinamuuma nakajua nayule.dem pia atamkimbia. ,,polesana Munguatakulipa .ilanae akaejela asitoke.umbwa huyo

  • @ActiveMedia-j9y
    @ActiveMedia-j9y 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watoe macho ya jamaa wamuwekee uyo sista

  • @paschalmartin9598
    @paschalmartin9598 2 วันที่ผ่านมา +2

    Unamfanyia yote hayo mwenzako ya nini? Kama hamuelewani si muache tu aishi na fata mambo yako

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 วันที่ผ่านมา

    Kumbe dada yako alikupo kabisa,kwanin haukwenda kulala kwa dada yako,ukaenda kulala nae gest jmn

  • @JuniorLema-vk8me
    @JuniorLema-vk8me วันที่ผ่านมา

    Wanaume mmezidi ukatili cmtafute vya kwenu? Yaani uroe mwanamke halafu mkeo mkubwa ndo ampe vyombi c ujinga huo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 วันที่ผ่านมา

    Jaman hap mmejifunza nin nyie mnao pensa kurudian na watuy ambao waliwaacha siyo macho tuy mtatolew miguu mtuy umeachan nae unamwamin kweli dunia yenyew hii wabadam wamekosa utuy wamekuw hata wanyam hawako hiv

  • @AtuganileAsubisye
    @AtuganileAsubisye 2 วันที่ผ่านมา +1

    Duu

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 2 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia inamitiani

  • @Dik770
    @Dik770 2 วันที่ผ่านมา

    Pole dada ila aman ya moyo ni kusamehe wale waliokutendea mabay acha mamlaka imuhukumu, pole san

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hv waziri Wa jinsia kwanini asitumbuliwe. Hakuna anapojitokeza kwenye majanga km haya. ATUMBULIWE TUU

    • @JacquelineMacha-y3n
      @JacquelineMacha-y3n 2 วันที่ผ่านมา +1

      Mmh jamani huwa anajitahidi sana mama wa watu ila hawezi shiriki kwenye kila tatizo ndio maana yakuwa na vyombo vya sheria

    • @JacquelineMacha-y3n
      @JacquelineMacha-y3n 2 วันที่ผ่านมา

      Mmh jamani huwa anajitahidi sana mama wa watu ila hawezi shiriki kwenye kila tatizo ndio maana yakuwa na vyombo vya sheria

    • @IddiMkumba
      @IddiMkumba 2 วันที่ผ่านมา

      Lp😊lp
      L
      p​@@JacquelineMacha-y3n

    • @IddiMkumba
      @IddiMkumba 2 วันที่ผ่านมา

      😮😅😅
      Lll

    • @mwanas2
      @mwanas2 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂

  • @EmmanuelAssy
    @EmmanuelAssy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naww ukaamka

  • @WilliamIbrahim-dt5nb
    @WilliamIbrahim-dt5nb 2 วันที่ผ่านมา

    Kiukweli huyo kijana anaroho mbaya kweli kweli ukiangalia umri wake na kitendo chake alichokifanya kinaogopesha

  • @GodfreyHamadi
    @GodfreyHamadi 2 วันที่ผ่านมา

    minajuwa kwakuwa mtumiwa ayupo kunajambo ambalo iko nyuma yapazia hao watu walizozana usiku mzima nachanzo chakuzozana nimke mwenza yawezekana naunyumba alinyimwa

  • @prisilachuwa3850
    @prisilachuwa3850 2 วันที่ผ่านมา

    Ivi kwanini eti?

  • @SoboHamisi
    @SoboHamisi 2 วันที่ผ่านมา

    Ambaye hajawajua Waha viumbe anaweza kumuona jamaa ni katili ,lakini hao viumbe ni hatari hata Mimi naweza hawafai Hawa mbwa ilitakiwa auwawe

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 2 วันที่ผ่านมา

      Kenge wewe😊, ndo maana mama yako pia n mbwa coz na yeye ana k***

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 วันที่ผ่านมา

      Wewe Fala sana, unatafutwa kwenda kufirwa jela

    • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
      @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We kumbe musji sio? Au ndo nyie watu munaitwa wasio julikana? Mpaka ss una idade ya watu wangapi ulie wauwa marundo yako ya pumzi ambayo utakuja kukatwa bila matarajio paka shume ww

  • @WinnieSanga-r6y
    @WinnieSanga-r6y 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani hawawez kubadilisha macho nimeogopa sana