Tuna watu wa ajabu na viongozi wengineo wa ajabu. Wako wanaosimama kutoa porojo bila kujali kuwa wananchi wanahitaji kujifunza hasa wale wasiokuwa na uelewa tosha wa elimu ya uraia, na haki zao. Wako wanaowapinga wale wanaosimamia haki.mnataka mpate wp elimu? Kuwa na elimu na maarifa ni zaidi ya fedha.Tumwombe Mungu sana
ASANTENI SANA BARAZA LA MAASKOFU KANISA KATOLIKI TANZANIA....MAMILIONI YA WATANZANIA WA DINI ZINGINE NCHINI TUKO NYUMA YENU....HAKI HULETA AMANI...MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI.
Mtu anaye muongelea magufuli kana kwamba ndiye aliyekuwa ni mzuri kwake,hakuwa mzuri pia kwa wengine,kwani hakufanya haki ndiyo maana nchi haina haki tena
USHAURI WABURE KWANZA WANASIHI VYAMA VYA UPINZANI VIWE NA MISINGI BORA NA DEMOKRASIA NDANI YA VYAMA VYETU VYA UPINZANI ILI VIIMALIKE VISIPOINARIKA JUHUDI YAMANENO YAKO MAZURI ITAKUA NIBURE NA KUPOTEZA MDA WAKO BURE ASANTE
Nyingi kenge wala rushwa uchanguzi huru utakua vipi bila daftari huru la wapiga kura maiti na watoto wadogo wameandikishwa huo uchanguzi huru utatokea wapi kama munataka uchanguzi huru lazima uandikishaji uwaze upya
@TygerPixels kanisa linahubiri dini sio uchaguzi serikali za mtaa ww funguka akili yako hao wanaleta chokochoko tu wala hawahusiki kabisa ! Wao wahubiri dini tu
SAMIA nchi ilisha mushinda anatuletea umasikini tuu kwenye taifa letu yeye kazi yake ni kuzunguka duniani kukopa pesa. Ili tuwe watumwa wa hayo mataifa!!
Makiristo mara nyingi wanajitoa ufahamu, yako Very sTupid. Yanayo lalamikiwa leo muasisi wake Magufuli uchaguzi uliopita na unajuwa. Sa hapa unalalamika kama wakati wa utawala ule hayakuwepo !!! Mjinga mkubwa we
WEWE MWENYEWE UNAUJUWA VYEMA MPUNBAVU AMKA USILETE MAMBO KIPUMBAVU KAMA USHETANI WAKIRITO NDIO ZAIDI MAANA MNATOA MATAMKO WEKATI WA MAGUFULI MLIKUA KIMYA NA KAFANYA MAOVU TELE CHUNGA BOMO LAKO WEWEEEEEE
We ni mbwa Kama mbwa zingine mnaua watu bila hatia halafu mnategemea kwenda mbingun. Kamwambie mama ako anae upiga mwingi akupeleke mbingun mwanakumanyoko ww
Asante baba mungu awabariki baraza la maskofu
Asante sana baba askofu Mungu akulinde na akupe maisha .marefu. wewe ni baba uliyejaa hekima
Hii ndiyo kazi ya kanisa mmetimiza wajibu wenu Mungu awabariki sana.
Asante baba MwenyeziMungu ukuweke
Mwenyezi Mungu akujaalie kwa utamu wa nasaha zako.
Samia na abdul na mkwewe hawawezi kusikia hata kidogo ipo siku kitaeleweka
Safi sana maaskofu wetu,
Ahsanteni kanisa katoliki!
Ni kweli kbs
Tunatofautiana itikadi ila kwa hili nakuunga mkono kwasababu ni ukweli ambao mungu anaupenda
Nyie munaompinga Askofu hamna akili acheni ujinga bila kanisa kusimama na bakwata kusimama nchi inaangamia
Tuna watu wa ajabu na viongozi wengineo wa ajabu.
Wako wanaosimama kutoa porojo bila kujali kuwa wananchi wanahitaji kujifunza hasa wale wasiokuwa na uelewa tosha wa elimu ya uraia, na haki zao.
Wako wanaowapinga wale wanaosimamia haki.mnataka mpate wp elimu? Kuwa na elimu na maarifa ni zaidi ya fedha.Tumwombe Mungu sana
Asante baba sisi tunaambiwa mwenyekiti sio mwanachama wachama cha chadema
Uvisisiyem hawataki kusikia hii..wala. ata@miradayo awezi kupost😅😅😅
Mbona amkukosoa kipindi Cha magufuli mixer kupigwa risasi muumini wenu tundu lisu mkaunyaza pelekeni temeke ushauri wenu
Mungu asimame na kanisa lake
Hiyo safi sana udhaalimu umefanyika kata ya yombo vituka viongozi wamecheza rafu
Si Yombo tu ni nchi nzima!!! Huu ni UJAMBAZI WA MCHANA BILA AIBU!!!
ASANTENI SANA BARAZA LA MAASKOFU KANISA KATOLIKI TANZANIA....MAMILIONI YA WATANZANIA WA DINI ZINGINE NCHINI TUKO NYUMA YENU....HAKI HULETA AMANI...MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI.
Bakwata semeni neno
Tulianza na Mungu pia tumalize Mungu bila hivyo kutakuwa na noma .
Nchi ina enda shimoni 😢
Mtu anaye muongelea magufuli kana kwamba ndiye aliyekuwa ni mzuri kwake,hakuwa mzuri pia kwa wengine,kwani hakufanya haki ndiyo maana nchi haina haki tena
Kwa kauli hii TEC mumetimiza wajibu wenu serikali ispotekeleza, Tutawakumbuka.
Nyie ni wapuuzi tu hamna jipya kaeni kanisani findisheni waumini acheni masuala ya siasa
Siasa haikwepepi ktk kabisa fatilieni vizuri mjifunze
Jamani msiwakashifu viongozi wa dino na dini zao sio wote wabaya jamani
Mimi ndio maana sija jiandikisha kupiga kura naona ni ushenzi mtupu yani mtu wanae mtaka ndo anapewa uongozi na siyo chaguo la watu hii nchi
Kotojiandikisha ni jambo la aibu, na bora usingesema! Wewe ni saw na haohao wanaotunyima haki.
@@josephatkajange-zx2tlkweli kabisa
Yaani waisilamu maovu yote na utekaji wa samia wanafurahia mno😢😢
Muogope Mungu, mzee Ali Kibao alitekwa akauawa ni muislam, wapo wengi walotekwa ni waislam sa unavyosema wanafurahia inakuaje yni au
@@fahadfaraj6474Viongozi wakuu wa kiislamu wako kimya.
Kina Ponda waliongea pia. Hakuna anayefurahia kwa kuwa wanaotekwa ni dini mbalimbali
Usipende udini hili ni kosa la mtu mumoja mumoja sio dini?
Sio kweli
Ccm ni waroho wa madaraka sijapata kuona
Nyinyi viongozi wadini mmetoa mapendekezo ya kuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.lakini mmepuuzwa
USHAURI WABURE KWANZA WANASIHI VYAMA VYA UPINZANI VIWE NA MISINGI BORA NA DEMOKRASIA NDANI YA VYAMA VYETU VYA UPINZANI ILI VIIMALIKE VISIPOINARIKA JUHUDI YAMANENO YAKO MAZURI ITAKUA NIBURE NA KUPOTEZA MDA WAKO BURE ASANTE
Katazaneni ushoga huko kanisani kwenu kwanza
Au we ndo shoga?
Hili tamko inabidi likasomwe kwenye kila kanisa,nchi nzima
Viongozi Wangu hamjasema kama wasiporekebisha itakuaje mtoe na mapendekezo mkisema tu haisaidii
Uchaguzi huu hatuwezi Kamwe MUNGU ANAJUA
Acha kutetea ouvu wewe mganga njaa, huoni watu wanaouawa kila siku na Samia?
Nyingi kenge wala rushwa uchanguzi huru utakua vipi bila daftari huru la wapiga kura maiti na watoto wadogo wameandikishwa huo uchanguzi huru utatokea wapi kama munataka uchanguzi huru lazima uandikishaji uwaze upya
MKO WAPI BAKWATA NA TAASISI ZINGINE ZA KIISLAMU? SHURA YA MAIMAM YA AKINA SHEIKH PONDA NDIO PEKEE INAYOSIMAMIA HAKI NA UKWELI.
Nyie wakatoliki hubirini dini sio kila siku mnahubiri serikali za mitaa tu hilo sio jukumu lenu serikali ipo
Acha ushamba au huna akili?
Seirkali ndo haitaki uchaguzi kuwa huru ndio mana maaskofu wanatoa matamko
@TygerPixels kanisa linahubiri dini sio uchaguzi serikali za mtaa ww funguka akili yako hao wanaleta chokochoko tu wala hawahusiki kabisa ! Wao wahubiri dini tu
Amen
SAMIA nchi ilisha mushinda anatuletea umasikini tuu kwenye taifa letu yeye kazi yake ni kuzunguka duniani kukopa pesa. Ili tuwe watumwa wa hayo mataifa!!
We unajina zuri ila nahisi hujaenda shule.Ni kwa jinsi gani akili zako zimekupeleka kuona askofu kajiingiza kwenye mambo ya siasa?
Kama jinsi NYIE maaskofu mlivyotia doa kubwa kisapoti ushoga
Hapa ni uchaguzi kaka
Abeid ni Ngruwe.
Ulivyoolewa n kanisa katoliki lilikufungisha ndoa kwa bwana wako anaekupiga miti ?
Utalaaniwa..
Lini maaskofu walibariki ushoga???
Waisilamu ni mashetani wanafurahia tunavyoteseka
Makiristo mara nyingi wanajitoa ufahamu, yako Very sTupid. Yanayo lalamikiwa leo muasisi wake Magufuli uchaguzi uliopita na unajuwa. Sa hapa unalalamika kama wakati wa utawala ule hayakuwepo !!! Mjinga mkubwa we
WEWE MWENYEWE UNAUJUWA VYEMA MPUNBAVU AMKA USILETE MAMBO KIPUMBAVU KAMA USHETANI WAKIRITO NDIO ZAIDI MAANA MNATOA MATAMKO WEKATI WA MAGUFULI MLIKUA KIMYA NA KAFANYA MAOVU TELE CHUNGA BOMO LAKO WEWEEEEEE
Mbona hamkukosoa wakati wa magufuli?
Kwa hiyo unataka waendelee kukaa kimya??
Himizeni WATU kwenda mbinguni haya mambo ya siasa mnayojiingiza Sasa mna nasaba nayo,
We ni mbwa Kama mbwa zingine mnaua watu bila hatia halafu mnategemea kwenda mbingun. Kamwambie mama ako anae upiga mwingi akupeleke mbingun mwanakumanyoko ww
Nguruwe wewe.
hujielewi wewe
Akili Kisoda
Wanafanya kazi yao ya kukemea maovu