Sio poa kukutanisha mwanaume na mwanamke ndani ya fighting Ring inatakiwa iwe jinsia moja ira huo mlembo nime mkubari sana she's very cool but you all good congratulations 😍👊
Mmeiachia Kienyeji. Mgefata Utaratibu Kama Jamaa Wa Nyara Ikaonyeshwa Officially Kwenye Majumba Ya Sinema Mkaingiza Hela Ndefu. Sababu Nikicheki Movie Yenu Na Nyara Hakuna Tofauti Kubwa, Zote Zamoto. Next Movie Jaribuni Kuiachia Kwa Utaratibu Watu Waingie CINEMAX Kwa Kiingilio Kabisa. Ni Wazo Tu!
Hongera sana kaka. Mungu awasimamie katika kazi na harakati zenu Huwa siangalii sana bongo movie ila tika nimeanza kuangalia movie zako nimekua shabiki wako mkubwa tu. Go go boy
Movie iko powa ila Tatizo ni camera ina shake shake haituliii mkirekebisha hilo mtakuwa fiti sana ila mtqngazaji wauongo hapo mwanzoni mbaka anakera mwambie ajirekebishe anatangaza sura anamtishia Nani
KING OF CAPE TOWN FULL MOVIE; th-cam.com/video/dd6iNGgMgWo/w-d-xo.html
🎉
Wale wazee wa action movie like zenu plz.kaz kaz
Mbn haiplay
Babaaaa tokeaaaa uje
Me madude Kaa hayaaa cjawaig kuwa mbal
Brother Tony napenda Sana Huu mchezo .....wa Ngumi next dey tuletee bavo
Mov Kali Sana kazi njema kwakuijenga inchi yetu Tanzania l love you Tanzania imala zaidi
🙏
Pamoja
Tony Mungu akujalie uzidi kuitangaza vyema hii tasnia,unaweza zidisha juhudi Sasa tunaanza kujivunia filamu zetu za 🇹🇿.
Bongo action kam vile mbeleee big uuup san tony jah mmetisha cruel yenu nzima . Fantastic
🙏🙏🙏🙏
Kama umeilewa gonga like
movie ni qali lakn producer na director wangeweka blur af beat walotumia kwene upigaj sio af actors waongeze usilious movie ni qaleeeeee nimeipenda😘😘😘
Napenda mambo ya ngumi nataman nijifunze na mm Ila kiukweli kazi nzuri bro
Safi sana kazi nzuri sana mkongo
Kazi nzuri sana level za kibabe na kimataifa
nimependa sana yule mlevi ametumia uhusika wake vzr sana hongereni san vijan wangu
🔥🔥👇🏻💓💓👇🏻🔥🔥
th-cam.com/video/gxrR9VuSjgM/w-d-xo.html
Lisso Chacha,
Sisi walevi ndo tuko hvyo mzee🤣,, kazi nzuriii
Shukran san
😂😂😂😂
Sio poa kukutanisha mwanaume na mwanamke ndani ya fighting Ring inatakiwa iwe jinsia moja ira huo mlembo nime mkubari sana she's very cool but you all good congratulations 😍👊
Duh nimempenda uyoo mdada jinsi alivyo ekti anaonekana na sura nzur but Kaz yake so ya kitoto congratulation kwake
Hongereni sana kwa washirika wote Ila bro tony hukutenda haki kumuua huyo manzi
Congratulations guys so much love from kenya
Story haijamilika ndugu.... Muwe mnanitafuta mm niwe naongezea udambu udambu....
Tony Mcongo Je suis un haïtien j'aime beaucoup ton episode bon travail je suis fier de toi
Kama umesoma comments kwanza Kama Mimi tujuane
🔥🔥👇🏻💓💓👇🏻🔥🔥
th-cam.com/video/gxrR9VuSjgM/w-d-xo.html
Stivin
👍👍👍👍👏👏👏💪🤜
@@DonMooSTUDIO_Express zzzzzz
Mm
Ubunifu uongezeke kidogo
Story nzuri
Safi sana bonge LA movie
.
🙏🙏🙏🙏
Napenda Sana vitu kama hizi 👊OSS!
Movie hili tamu mwenzangu nimeipenda yani kwa sana
Shukran
From kenya 🇰🇪🇰🇪 movie nzuri sanah
Mmeiachia Kienyeji. Mgefata Utaratibu Kama Jamaa Wa Nyara Ikaonyeshwa Officially Kwenye Majumba Ya Sinema Mkaingiza Hela Ndefu. Sababu Nikicheki Movie Yenu Na Nyara Hakuna Tofauti Kubwa, Zote Zamoto. Next Movie Jaribuni Kuiachia Kwa Utaratibu Watu Waingie CINEMAX Kwa Kiingilio Kabisa. Ni Wazo Tu!
Shukran sana mkuu 🙏🙏🙏
@@TonyMkongo Pamoja kaka!
Wow kitu 🔥🔥 mpk nimetamani kuact jaman 🏃🏃
Shukran
Movie nzuri tamu mmetisha Ila mmeniboa kwenye sauti makelele kibao
Ni mashine tony mkongo big up bro
Nzuri sana na me naomba niji unge na nyinyi
Unakarbishw
We tony 🔥💪notification imenifkia mzee baba mapema tu ,nakubal💪
Pamojaaa
🔥🔥👇🏻💓💓👇🏻🔥🔥
th-cam.com/video/gxrR9VuSjgM/w-d-xo.html
maskin wa mungu huyu dada ....... jaman kumbe wamama mnajitoaga kwa ajili ya watoto wenu❤❤❤❤❤❤❤❤🧡💓❣💞💛💟💝R I P DA ROZi😭😭😭😭😭😭
Mh iy km nishawah kuiona ila ya kichna iv iv yn🤤😲👀
Nlipita bahati mbaya kwenye link hii lakini nmejikuta naangalia movie mpaka mwisho kwa mapenzi yote..kazi nzuri wadau..mungu awabariki
Hii movie uongo umekua mwingi sana
Dah movie hii nimeikubali ukweli
Mumetisha wazee
vitu safi bwana Tony unatutolea asanti sana bro
Ewaaaah good San bonge movie
Asnte san
Tonny mcongo nakubar sana marume skupingi marume
Weeeee saaawa,, what is these people pasi ni moto lakini acha tueke pasi kando,cz mneza choma pasi enyewe waaah🔥🔥🔥🔥🔥big up wadau
Thanksssss
Daah mpo vzur sana bigup saana
Mambo
Vp
My congratulation to Ghana i'm from Cameroon french speaking Your pictures are likes pictures action asian
Naipenda sana hii movies
Nizaidi ya kung fu ya China
@@abdulemba1176 💥💥
Hongera sana kaka. Mungu awasimamie katika kazi na harakati zenu
Huwa siangalii sana bongo movie ila tika nimeanza kuangalia movie zako nimekua shabiki wako mkubwa tu.
Go go boy
Shukran
Hongereni watoto wakitanzania tupo nyuma yenu
Shukran
Ebwana daah binge la movie
Kazi nzuri ila producer kuwa makini isee makelele kabsa hayaendani na pambano kabsa acheni ujinga
Umetisha Tony mkongo
Pamojaaa
Habari wakubwa namimi minataka kucheza movie
Hongereni Sana
Jamaa amefundishwa kuchomoa mateke 2 alaf ameenda kumuangusha bingwa anae hofiwa sana nahata wadhamini
Jamaica 🇯🇲is watching nuff respect
Kwenye Action Mmejitahdi Sana 🙌🙌🙌🙌💪💪💪
Move ni nzuri sana lakn inakiza
Daah nimeipend
Bongo tunaendelea sana big up broo
🙏🙏🙏
Hongera i❤❤❤❤it
Nimekubali hiyo kazi mkuu uje na vitu adimu kama hvo tupo pamoja nawewe kaka tunahitaji mamb kama hyo mzee big up sana
❤️ from India+jamaica🇮🇳🇯🇲
Big up sana kazinzur sana
Shukran
Hakuna part 2 movie nzuri sana
DAAAAAH mkongo salut kwako Bloo Halafu chiba part 1 siioni
Mkongo utauwa mchumbaa uyo 👊
Movie nzur sana
Nakubali sana
Nilijua tu Dem atakufa🤣🤣🤣🤣🤣,,,, 😂 Ila kulalekiiiii uyo Mleviiiii ana Mawashiiiii mazito😆
😂😂😂😂🙌thanks bro
Aiseeee ✌️✌️💪
Good idea wakubwa
We n wetu nakunda avae
Vakongo juu
Thanks
Bongo movie kwa sasa action mnajtahd ongezen bidii
Thanks
Movie nzuri lakini tunamis bavo❤
Lakini tafuten matajili wengine wanaojua kaziyao but movie nikali🔥🔥🔥
Ne blague pas 😂🎉😅
Nimekujua kuangalia hii movie kwa sababu nimemuona Tony mkongo
Nashukuru Janeth 💖💖
wimbo uliotumika katika movie hii unaweza kuiangalia kupitia link hii
Waga waga : th-cam.com/video/Y2AZsE6DjLA/w-d-xo.html
Sanaa
ila nngepend au wazo lang mkuu ktk sehem au uhaisia ya ubosi mvae mithili ya boss kweli i mean suti thnkx nce movie DOPE.
@@mu-crzymahez9229 imepita mkuu 🙏
Pacha tumetisha sana aisee, tuendelee kushare aisee
Azma Mponda🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri kaka,
ongelen san wa bongo tupoo juuu kwa ss
🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri
Tonny niko fani yako depuis Congo kinshasa
Mnajua sana tupelekeni kimataifa
Dua🙏
Pacha let's keep it up mazee, boonge la kazi
Absolutely my brother 🔥🔥🔥 let's light it up
🔥🔥👇🏻💓💓👇🏻🔥🔥
th-cam.com/video/gxrR9VuSjgM/w-d-xo.html
Vandam vs boloyeng(blood sport 1❤❤❤
Sana wazee kazi nzuri
🙏🙏🙏
Bro you very king
Shukran
Movie nzr ila camera km kberit kadogo kanaonyesha km vile wametumia phone ,boresheni kitu ioneshe good
Maning Nice
Nimemuona shimbilili
Pow
Mawe kwer nice move
Thanks
Mtangazaji wa pambano mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hajaweza aisee
Follow my Instagram account 👇
instagram.com/tonymkongo?igshid=zqcc5q67vdpf
Tony mkongo ring fighting
@@wonpamzimik2207 ponu
@@wonpamzimik2207 ponu
Ponucarafigo
Ongera sana nakuamini mzebaba
We lover your make afracan world ward
Oyooooo mambo nimoto so movie kali 😁🇧🇮👍🏽
Shukran sana
Gud ila hukufaa kumuua hyo binti unge mwacha hai
Pambano la mwisho Ni 🔥 🔥 🔥 pongezi
Shukran sana mkuu
Mkongo weka subtitle ya kingereza ili
Wengi wajue kisa kaka
Unafanya vizuri sana ongeza bidii
Master mlevi nakukubali
Shukran bro
Good job I respect
Movie iko powa ila Tatizo ni camera ina shake shake haituliii mkirekebisha hilo mtakuwa fiti sana ila mtqngazaji wauongo hapo mwanzoni mbaka anakera mwambie ajirekebishe anatangaza sura anamtishia Nani
Move nzur ♥️
Thanks dada
Nyie nushudaa
Shukran
Hii stor mbn inafanan kiasi na ulingo wa moto
Mnajua sana kwa action nmefurah sana keep it up