Yani kma vile imetolewa na beka na kibz jamani hii nyimbo mahasidi kma hamtakoma subirini jambo Zito liko njiani lanja 😂😂😂 jililie mama kibz nyimbo yako hio❤❤❤💃
After be back from Qatar inshaAllah nitakuita blaza jay rasta hpa ukunda a k.a Uk unipgie specialist (MAMA LA MAMA 😂😂😂😂)..I SAY ONE LOVE BRO BRAVO BRAVO❤❤
Wakisema wako na Bango yao na cc wana 002 tuko na Yamoto yetu kama ww ni mwana Kwale nipe likes
Tuko hapa mpenzi mambo ni🔥🔥🔥💃💃🥰🥰👌👌👌kwale hoyeeee💃❤👍
Umeona utamu kama wote❤🥰🥰
❤❤❤❤Tena moto wa kuotea mbali 👌
Kwale tamu bhanaaaaaa asikuambie mtu....
Wajuwa chilibasi sound wewe
wachana na wadingo wako juuu jey wetu mungu akuee mia mia moja
Niko hapa nimeletwa na BEKA RUGE😂😂❤❤
Baba hapa umewachamba maadui wa ndoa .... salute daddy
Very soon kwa wedding yngu inshaallah nikihome from Qatar day and night.
😂😂❤
Yani kma vile imetolewa na beka na kibz jamani hii nyimbo mahasidi kma hamtakoma subirini jambo Zito liko njiani lanja 😂😂😂 jililie mama kibz nyimbo yako hio❤❤❤💃
Kabsa😂😂😂
Nakuburidika nikiwa ndani y Qatar yamoto haipoi big up jey rasta
Timing umeifanya kweli❤❤❤1st tuna shughuliiiii this one will play on repeat 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
Hili goma kali sana
Naenjoy ndani ya saud walisema atufiki mbali na hapa ni wap jaman nyimbi ni km umenitungia mm na ndugu zangu 🌹🌹🌹🌹pamoja sana j rasta
Hatareeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ 0:34
Hapa Ni wapii jaman....mi Nae fi Duniya Wal akhiraa❤❤
Hapa ni wapi. Ndani ya Australia
Shabiki mgeni jimama la ritamu uko juu sikwamchezo nimependa sana ❤❤
Big up bro hapewe maua yake 👊🎉
Tuko juu ndani Saudia Arabia 😅😅😅
Kama jina mwariga da watoka muhaka
Twainjoi jey rasta
Mitendeni twafura vichwa na yamooootoooo🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Mbwa koko wakalale hongera bro❤
Kama na wewe umeletwa na BEKA ruge Acha like hapa🎉🎉🎉🎉
002 mpango mzima
Mama la mama weweee💪
Umesema Jay bana hapo sawa
nakubali jey kumtaja Gaza kutoka apo waa nisalimie sana
❤❤❤❤❤❤❤
Ijust cant wait for my weeding inshallah nikirud from oman hapo 2026aaaaah haka kawimbo nyie nikatam
After be back from Qatar inshaAllah nitakuita blaza jay rasta hpa ukunda a k.a Uk unipgie specialist (MAMA LA MAMA 😂😂😂😂)..I SAY ONE LOVE BRO BRAVO BRAVO❤❤
Tupambana ba hali zetu uku🎉😂
Noma sna
Mashaallah bro umenimaliza
Bado ssi twazidi kumbembea 😂😂😂😂 weeweee hapa ni wapi nakubli kaka jay nyimbo tamu jamaniii 🎉❤❤❤😂
Ngoma zote za Bustani topic ni Mapenzi, badilisheni ladha tupunguze usherati pia, Beats na sauti iko sawa....tatizo ni hapo kwa message.
❤🎉🔥🤗👌💃🏾 namumunya tu utamu wa Ngoma na strong msg yake.💖
NOMA SANA
Hongera san watu wa 002🎉🎉
Huwa anapiga na pesa ngapi uyu j rasta kama Kuna mtu anajua anijibu plz
Tsolatsola yenu iyo😂😂😂😂
Umegonga ndipo jey rasta
Hatariiii 💃💃💃no ku comment munifollow
Hii kali sana nakukubali upo juu 😂
💯👌Baba yao jay rasta ❤
Nakubali jay hakuna mwengine zaidi yako wanaiga😊😊😊😊
Fanya mambo ❤❤
Tuko juu sana watu wa 002
AM HERE COZ OF BEKA NA KIBZ
Hatari sana tell them
Woyooooh apoooh ❤❤❤❤❤❤❤❤
Umchetu waniiiii!!!😂😂😂
Hoyeeeeee🎉
Najaribu kuziangalia Kwa tubid haziji Bana
Moja safi bro
I🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Oyoooooo💃💃🥰
Mambo ya pwani
🎉🎉🎉❤❤
Hadi raha naburudika nikiwa dubai
❤❤❤❤❤
Anikatira Andasi shenzi sana anache a viphanga, wira ka niuno pho Magutu mara Dimuuuh! Viphanga Rikodi ichikatwa kanhi! kanhi! Haha 😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nikubaya
❤❤❤❤
Helllooo. ..!..hapa ni wapi? 🤸🤸🤸
Kona ya musa😂😂😂
Ndani ya majoreni😂😂
Asantenii..Asallam Alykum🤝🤣🤣🤣
Nimengoja hii miezi miwili😅😅😅😅
😂😂😂😂🤸♀️🤸♀️
🤣😂🤣
Mama la mama weweee💪