Barikiwa Urithi wa Mungu! Kwakuendelea kutupa muendelezo wa maarifa sahihi ndani ya UFALME wa Mungu! Roho Mtakatifu ndani yangu hakikisho la asili yangu ya Uana ndani ya UFALME wa Mungu! Ninakupenda Roho Mtakatifu, mpenzi wa moyo wa wangu. Roho Mtakatifu mbaraka wa Baba ndani yangu. Roho Mtakatifu mwandani wangu. Roho Mtakatifu pumziko langu
Barikiwa Urithi wa Mungu! Kwakuendelea kutupa muendelezo wa maarifa sahihi ndani ya UFALME wa Mungu! Roho Mtakatifu ndani yangu hakikisho la asili yangu ya Uana ndani ya UFALME wa Mungu!
Ninakupenda Roho Mtakatifu, mpenzi wa moyo wa wangu.
Roho Mtakatifu mbaraka wa Baba ndani yangu.
Roho Mtakatifu mwandani wangu.
Roho Mtakatifu pumziko langu