- 98
- 5 979
Sonship Spirit Television
เข้าร่วมเมื่อ 13 ก.ย. 2021
Is the place of Sons, Heritage and Heirs of God, Priesthood Kings, who walk in the Spirit and Power and the Spirit of the Lord of Hosts and Peace.
2024 tulifahamu uwezo tulionao; 2025 Tunafanyia kazi tuliyoyajua.
2024 tulifahamu uwezo tulionao; 2025 Tunafanyia kazi tuliyoyajua.
มุมมอง: 11
วีดีโอ
Hapa ni mahali pa Kujengwa na kuimarishwa.
มุมมอง 164 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hapa ni mahali pa Kujengwa na kuimarishwa.
NILICHOJIFUNZA MAKALA YA HISTORIA YA KANISA
มุมมอง 217 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NILICHOJIFUNZA MAKALA YA HISTORIA YA KANISA
Singing In the Spirit tunashukuru kwa kuwa pamoja nasi mwaka huu 2024
มุมมอง 3314 วันที่ผ่านมา
Shukrani kwa watazamaji wetu
Mwaliko wa Usiku wa Uweponi na Roho Mtakatifu. 12 Disemba 2024
มุมมอง 2414 วันที่ผ่านมา
Mwaliko wa Usiku wa Uweponi na Roho Mtakatifu. 12 Disemba 2024
Asante sana kwa kuwa pamoja nasi mwaka huu wote 2024
มุมมอง 2214 วันที่ผ่านมา
Asante sana kwa kuwa pamoja nasi mwaka huu wote 2024
"Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Furaha."
มุมมอง 614 วันที่ผ่านมา
"Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Furaha."
"Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Furaha, ni Pumziko."
มุมมอง 3614 วันที่ผ่านมา
"Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Furaha, ni Pumziko."
UANA. UPENDO NA PUMZIKO NDANI YA UFALME WA MUNGU.
มุมมอง 5328 วันที่ผ่านมา
UANA. UPENDO NA PUMZIKO NDANI YA UFALME WA MUNGU.
"Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Shukrani!"
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
"Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Shukrani!"
Uana na Upendo Ndani Ya Ufalme wa Mungu
มุมมอง 73หลายเดือนก่อน
Uana na Upendo Ndani Ya Ufalme wa Mungu
Kwanini niendelee kunena kwa Lugha na kuimba katika Roho?
มุมมอง 82หลายเดือนก่อน
Kwanini niendelee kunena kwa Lugha na kuimba katika Roho?
“…Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu…” Zaburi 118:14
มุมมอง 1072 หลายเดือนก่อน
“…Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu…” Zaburi 118:14
Muendelezo Makala Ya Historia ya Kenneth Hagin
มุมมอง 802 หลายเดือนก่อน
Muendelezo Makala Ya Historia ya Kenneth Hagin
Umenona mtume wa Kristo Yesu
Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kujua ulichonacho na hatua ya pili ni kukifanyia kazi hicho ulichonacho
Hakika na kweli
Amen. BWANA Yesu Kristo nakushukuru kwa ajili ya chaguo sahihi la malisho.
❤️❤️
❤❤❤🎉
Hallelujah 🥳
Amen 🙏
❤❤
🎉❤
Your blessed and beautiful in the name of Jesus
🔥🔥🎉🎉🎉
🔥🔥
Ume Barikiwa ,mwana na mrithi katika KRISTO YESU.❤🎉
Aut Hoyce ❤❤❤❤
❤❤barikiwa mtumishi
Asante Mchungaji nitakuwepo🔥
🔥🎊
Amina❤
Halleluyaaa🥳 Mwaka 2025 pia, Roho Mtakatifu umefanya
Asante sana Mchungaji kwa mwaliko, Mimi Nitakuepo🥳
🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
🔥
Maono ni historia.
Maono hueleweka na wenye maono. Hongera sana mtume wa Kristo Yesu
Kijana wa Kristo Yesu. Hongera sana. Hakika, nimepokea zaidi
Amen Amen Roho mtakatifu asante kwa kuwa unafanya tena 2024-2025 Nitakuwepo 🔥❤
Tunashukuru kwa shuhuda hizi na kipindi hiki bora cha chumba namba 10. Kongole kwako Mtangazaji na waandaaji wa kipindi hiki. 🎉🎉 nimebarikiwa❤
Haleluya 🎉, Nimebarikiwa sana na Ushuhuda huu wa mwana wa Mungu Baba katika Kristo Yesu, Hakika chumba namba 10 ni Roho wa Neema na Nguvu.
Asante kwa kutushirikisha USHUHUDA na SHUHUDA za Bwana ambazo ni Urithi wetu wana ndani ya UFALME wa Mungu. Asante kwa Mualiko wa fungate na Roho Mtakatifu msimu wa 6 Hongera kwa Mwana wa Mungu(Baba) katika Kristo Yesu kwakuendelea kulitazama na kuliangalia Neno la Bwana ambalo ndio majibu yetu wana ndani ya UFALME wa Mungu. Hakika Eneo la Maombi ni eneo la kupokea na sio lakupoteza. Asanteni MNO
Thank you very much. How wonderful it is to meditate on the history of the church and the works of the Spirit of God in flesh via the body of CHRIST. You are blessed
Hallelujah!... Adui huja baada kulala. Ni muhimu kuomba siku zote. Luka 18:1-10
Barikiwa Urithi wa Mungu! Kwakuendelea kutupa muendelezo wa maarifa sahihi ndani ya UFALME wa Mungu! Roho Mtakatifu ndani yangu hakikisho la asili yangu ya Uana ndani ya UFALME wa Mungu! Ninakupenda Roho Mtakatifu, mpenzi wa moyo wa wangu. Roho Mtakatifu mbaraka wa Baba ndani yangu. Roho Mtakatifu mwandani wangu. Roho Mtakatifu pumziko langu
Wow🔥🔥🔥🔥hallelujah 🥂
Mwokozi ni BWANA❤
Baba wimbo wangu na shangwe ya moyo wangu🥳🥳
Asante Bwana na Mfalme wetu Kristu, umetupaka mafuta ili tukusifu na kukuabudu, umetujaza nyimbo na tenzi za sifa na shukrani kwako. Halleluya🥳🥳
Mambo ni 🔥. Mwandishi uchangamke sasa
Halleluyah Halleluyah🔥🔥
Mwokozi apewe Sifa mno! Hakika Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Urithi wetu na Kwa Vizazi vyetu! Ushuhuda na Shuhuda za Bwana ni Uhai wetu na vyote tulivyonavyo!
Halleluyah. Asante kwa habari hizi za uhakika ndani ya Ufalme wa Mungu 🥂🥂🥂🥂
Historia saifi makala safi 🔥
❤❤❤❤
amen amen
Shalom. Nimejifunza kwamba kila Karama niliyonayo ni ya Thamani na ni Utajiri wangu. Pili, Hakuna karama ndogo ndani ya Ufalme wa Mungu. Heko kwenu waandaaji wa Kipindi hiki, Bwana azidi kuwapa mafuta ya Simba Injili hii ifike duniani kote kwa iina la Yesu Kristo Bwana wetu. 🙏 🙏
Asante kwa neno🎉
Amina
Amina🎉
Hakika...kazi njema hii. Mfululizo huu nimeona namna ambavyo Mungu hatishiki na adui yake.