RC MAKONDA AMBANANISHA AFISA ARDHI "WEWE NDIO UNAPANGA HUU MJI WA ARUSHA"...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @imanmwashitete5243
    @imanmwashitete5243 หลายเดือนก่อน +4

    Kumekucha baba yupo kazini Tunakupenda sana pol mako da piga kazi❤️❤️❤️

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi หลายเดือนก่อน +3

    Mheshimiwa makonda tulikumiss sanaa,kazi njema mkuu.

  • @RichardKunambi-e5v
    @RichardKunambi-e5v หลายเดือนก่อน +2

    Kaka uko vizur sana hongera umeonesha kuwa uko vizur

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 หลายเดือนก่อน +4

    Uko vzr makonda ,

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz หลายเดือนก่อน +2

    Kaka hongera hizo njia walizifunga wakati ilikuwa short cut yetu hiyo ya metro pole safi

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 หลายเดือนก่อน

      Kwahio hata kama si halali ni sawa tu!
      Acheni upuuzi kisa et kanisa kisa kanisa alafu waharabu taratibu za miji!
      Kibaya zaidi huyo jamaa hana uwezo wa kubadili hiyo ramani! Ukitaka kuona msimamo wa mipango miji nenda kawalete utajua hujui! Achana na neno kanisa we mwehu

  • @PeterMbelah
    @PeterMbelah 24 วันที่ผ่านมา

    Jamani Mungu azidi kukutunza makonda wetu

  • @EMANUELMUSHI-kk4df
    @EMANUELMUSHI-kk4df หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa huyo 😂😂😂 washikaji flani hivi😂😂😂

  • @EmmanuelSitayo
    @EmmanuelSitayo หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri kabisa. Ila watendaji ndio mzizi was shida.

  • @michaelsule5325
    @michaelsule5325 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri kaka Paul Paul ❤❤❤❤

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda acha uhuni! Hao jamaa walio tengeneza barabara ilitakiwa wafanye consultation ofisi ya ardhi kisha wawaoneshe barabara inapopita ndipo waweke barabara na maendelezo yao!
    Amini usiamini hiyo ramani hata uende na rungu haibadilishwi kirahisi sheria za mipango miji ngumu sana!
    Na issue za ujenzi wa hovyohovyo issue ni serikali na sio ardhi coz kuendeleza ama kupanga miji inahitaji fedha sasa watumishi watoe pesa zao wakapange miji?
    Hakuna taaluma ngumu na inayojua majukumu na taratibu zake kama ardhi, ukikuta hiyo nondo wamesogeza kama unavyotaka mtu yeyote anitafute nimpe zawadi😂😂

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es หลายเดือนก่อน +1

    Amen.Glory to God

  • @Muhammedually
    @Muhammedually หลายเดือนก่อน +1

    Good job Rc

  • @Josephmutua-sy7mm
    @Josephmutua-sy7mm หลายเดือนก่อน

    Mk. Njoo kenya utusaidie

  • @boychidu
    @boychidu หลายเดือนก่อน

    BG UP BROTHER 🎉

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda unaweza kuwa kiongozi mzuri lakini jitahidi usiwaonee watumishi wasio na mamlaka kama huyo kijana mpimaji yeye anaangizwa

  • @gudaguda2170
    @gudaguda2170 หลายเดือนก่อน

    7:50 kuna mother nimecheka baada ya kusikia "Asante Yesu" 😊

  • @rev.livingstoneelihuruma-fk7es
    @rev.livingstoneelihuruma-fk7es หลายเดือนก่อน

    Jamani

  • @RudolfNgalason-wz3zm
    @RudolfNgalason-wz3zm หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa yupo sawa Kwa mujibu wa ramani aliyonayo. Hana kosa

  • @EmmudyTV
    @EmmudyTV หลายเดือนก่อน

    Same boys

  • @Macamp312
    @Macamp312 8 วันที่ผ่านมา

    Bora uwe president tuu unakituu

  • @hakimameir1766
    @hakimameir1766 หลายเดือนก่อน +3

    Yawezekana Afisa akawa hayupo sawa lakin siamin kua kiongozi anaweza akawa ana utaalamu wa kila kitu maeneo mengine yawezekana ma afisa wakawa wapo sahihi na ndio maana wakati mwengine hata nyumba za watu zinavunjwa kwasb wamejenga tofauti na ramani pamoja na michoro ya mipango miji ! Wakati mwengine tuwawezeshe tusiwadharau na kuwafanyia kiburi

    • @mweyoms5548
      @mweyoms5548 หลายเดือนก่อน

      Sahihi kabisa

    • @selengu
      @selengu หลายเดือนก่อน

      Inawezekana upimaji ulifanyika kabla ya kujenga na kupitisha barabara hao wakanisa Ila WALIVYOAMUA KUENDELEZA HAWAKUFUATA UPIMAJI kwa kuona fikra zao ni bora Ila kila kosa amepewa mtalaam mtumishi kwa kugain populaty

    • @AGM19697
      @AGM19697 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana anauliza zaidi

    • @charlesjohnjohn7953
      @charlesjohnjohn7953 หลายเดือนก่อน

      Kwanini nyumba zinavunjwa ilihali wakati zinajengwa hao maafisa walikuwepo wanaangalia?

  • @ElijahSaro
    @ElijahSaro หลายเดือนก่อน +1

    Mh,Mungu Akupe Uzima Na Ulinzi Ili Ubaki Kuwa Watetezi Wawanyonge Hakuna Atakae Kulipa Haya Zaidi Ya Mungu Pekee Anae Kupa Uhai,Pumzi Na Sauti wanaona Kusali Mungu Ana Jua Adhabu Yao

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani kuna mwaka utakuja kuwa rais

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 หลายเดือนก่อน +1

    Ardhi morogoro si diploma hiyo! Sasa mtu mwenye diploma ardhi sio rahisi kujibu hayo jamn hadi huruma

  • @Lenovothink-b2d
    @Lenovothink-b2d หลายเดือนก่อน +1

    Mbele kidogo niwapi pale haya twende😂😂😂

  • @mosesimsalaba
    @mosesimsalaba หลายเดือนก่อน

    Makonda unajielewa Sana kaka yani basi tu

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 หลายเดือนก่อน +1

    Kumekucha mchakamchaka!! Watendaji wezi,wavivu na wazembe kwao 'hamkani si shwari'. Mh. Makonda endelea kuwapelekea moto huo huo mpaka wanyooke.

  • @JustinaChaleka
    @JustinaChaleka หลายเดือนก่อน +1

    Live kaka nimekuota ni Rais wa Tanzania ajae haijalishi nilini nikuota nikiwa kwenye safali naelekea zambia piga kazi mkubwa

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni Kiongozi kaka

  • @fransiscajohn4373
    @fransiscajohn4373 หลายเดือนก่อน +1

    Mh : Hongera kiukweli wengi tunateseka kisa upimaji

    • @selengu
      @selengu หลายเดือนก่อน

      Hahahaha..
      Fuateni utaratibu wa kanuni na sheria za upimaji usizingatie ya kwenye Camera

  • @rev.livingstoneelihuruma-fk7es
    @rev.livingstoneelihuruma-fk7es หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hii ni Shida,ni kama hawajasoma

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 หลายเดือนก่อน

    Huku kwetu serikalini😢

  • @kilagane183
    @kilagane183 หลายเดือนก่อน +4

    Kilichomponza ni hyo Tshirts yake 😂😂

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW หลายเดือนก่อน

      😁

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy หลายเดือนก่อน

    Namuelewaga sana uyu jamaa.

  • @Mathiasvx
    @Mathiasvx หลายเดือนก่อน

    Jembe

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 หลายเดือนก่อน +1

    Mtaalamu lazima apewe nafasi

  • @YusufuJila
    @YusufuJila 27 วันที่ผ่านมา

    Kk makonda naamini kazi unaifanya chanzulu kulenilikuepo shule ulosomea sote tumetokea vijijini wakomeshe nenda nakondoa uonemadudu

  • @BartazarMbuya
    @BartazarMbuya หลายเดือนก่อน

    Makonda endelea ivyo wewe ni kiongozi ulioteuliwa na MUNGU tunakuombea maisha marefu

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda yuko sahihi , thumunini kuwe na aman

    • @selengu
      @selengu หลายเดือนก่อน

      Kwa kigezo gani??

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 10 วันที่ผ่านมา

    Makonda rais ajaye

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji viongozi kama Hawa waliotayari kuwasaidia Wananchi na Taifa lao

  • @stn4873
    @stn4873 หลายเดือนก่อน

    INGEKUA HIVYO UBUNGO TO KIMARA NJAINI MULE MAREHEMU MKUU WAKO NAE ANGE ADJUST ASINGE BOMOA NYUMBA ZA WATU MPAKA WENGINE WAKATANGULIA MBELE YA HAKI KWA PRESSURE

  • @Josephmutua-sy7mm
    @Josephmutua-sy7mm หลายเดือนก่อน

    Sauti ipo down

  • @MtessaAlly
    @MtessaAlly หลายเดือนก่อน

    Kamanda makonda

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 หลายเดือนก่อน

    Ni yeye uyo aliyeharibu mpango mji wa arusha

  • @AmimIigeni
    @AmimIigeni หลายเดือนก่อน

    tatzo iyo t-shirt ni jezi ya chama fulan ndo sababu hakuna kingine hapo

  • @vintz338
    @vintz338 หลายเดือนก่อน

    Sasa mtu anakomaa tu kufata ramani na watu washajenga ,ndo walikua kufanya hivo hat hapa home eneo ni la kwetu lote ila wanaligawa wanaweka nondo ndani ya sebule😂😂😂😂

    • @selengu
      @selengu หลายเดือนก่อน

      Kama upimaji ulifanyika kabla hajaweka sebule yenu??
      Fuateni utaratibu wa kanuni na sheria usizingatie story za Cam

    • @vintz338
      @vintz338 หลายเดือนก่อน

      @@selengu hujaelewa, sebule tayar ipo ,Yan wanaligawa eneo mara mbili na hawataki kubadilisha sas unawekaje nondo ndani na nyumba tayar ipo ,hapo unataka Sheria gan zaid ya mtu kuelewa tu kia hap saiwez kuweka ,au kweny survey hamsomi Jin's ya ku avoid obstacles

    • @selengu
      @selengu หลายเดือนก่อน

      @@vintz338 Kama ni hvyo naweza nisilisee moja kwa moja kwa kukosea au kwa usahihi coz sijafika uwandani na mazungumzo ya mteja na wataalaam yalikuwaje...
      Na sidhani kuwa hajabadilisha bila sababu yoyote
      Na michoro ya awali na kuiweka ardhi yalikuwaje..

  • @jamesjeremiah9416
    @jamesjeremiah9416 หลายเดือนก่อน +1

    Piga kazi Kiongozi Bora uliyebaki kufata nyayo za JPM
    ikiwezekana uwe Raisi wa Nchi ufanye utumbuaji na usiniahau Tuwanyooshe wala rushwa

  • @ndorobo205
    @ndorobo205 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwann wazungu awapendi kucheka cheka wakati wakiongea mambo ya sirias hata wachina nawaonaga

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq หลายเดือนก่อน +2

      Swali gani sasa hili? Kama unafanya mambo serious utachekacheka vipi? Kwani lazima ucomment humu? Eti hata wachina unawaonaga!!. Kwa maana nyingine unawaona weusi kama hawawezi kuwa serious. Je huyu Makonda anavyocheka hapa kipi kimeharibika?

    • @magrethmathayo2800
      @magrethmathayo2800 หลายเดือนก่อน

      wazungu hawana bandama 😅😅😅

  • @joelthomas-mx6gm
    @joelthomas-mx6gm หลายเดือนก่อน +3

    Kunamuda watu wanaonekana ni watu wa hovyo ila KAULI ZA KIUONGOZI NI HOVYO. haiwezekani ubadilishe mfumo wa hati mwisho wa cku uje kuonekana wa tofauti. NAUNGANA NA AFISA ARDHI. tuache siasa kwenye mambo ya kitaalam. TUACHE KUWAFANYA WATENDAJI NI WAPUUZI kwa misifa ya kiungozi. NONSENSE

    • @PakatJames
      @PakatJames หลายเดือนก่อน +2

      Mkuu wa mkoa ana taarifa za ndani zaidi ya Afisa ardhi. Wewe unaweza kuona makonda anaongea kama yeye ila tayari ana feed back ya kesi nzima. Sasa afsa Ardhi wa mkoa hajaenda Nairobi angalau kuona mandarin ya mji?

    • @Veryfunny81
      @Veryfunny81 หลายเดือนก่อน

      ​@@PakatJameshuyo jamaa haelewi anakurupuka tu hajujui chochote wala hajui mkuu wa mkoa ni nani ana comment tu ushuzi stupid 😢😢

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 หลายเดือนก่อน

      Haujui vizuri watu WA ardhi Wew,fanya unyamaze tu

    • @PakatJames
      @PakatJames หลายเดือนก่อน

      @@marcynhumbi3534 sasa siku zote hizo hawajaenda kueka alama mpaka kusikia mkuu wa mkoa ana kuja? Hiyo peke yake inaleta shida.

    • @joelthomas-mx6gm
      @joelthomas-mx6gm หลายเดือนก่อน

      @@marcynhumbi3534 kwaiy ulitaka apindishe uhalali wa mchoro ww ramani ya kiwanja.EBU TUACHE kuishi kwa mazoea

  • @AmriMzeru
    @AmriMzeru หลายเดือนก่อน +2

    Sijapenda komenti za mkuu wa mkoa,huyo Afisa ardhi amefanya kulingana na ramani ,hiyo ramani ipo kisheria sasa kwanini analazimisha ibadilishwe hiyo nayo ni RUSHWA pia

    • @albetomfuse444
      @albetomfuse444 หลายเดือนก่อน

      Huyu wa ardhi yuko sahihi kabisa

    • @kostajoseph5811
      @kostajoseph5811 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu acha kukariri

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Afisa ardhi ananiudhi na li nguo lake la chadema