😮 e e kimbiliyo ni Yesu tu😮Dunia ina mambo !..Davista una udjasiri sana ! Ushuuda iyi inatisha , ni kama ya zabroni😮 !Tunadjifunza kweli ! ❤ubarikiwe Davista na kizazi zako ! Stay blessed
Wamayo nashukuru sana kwa mafunzo na tahadhari. Shukrani na mungu akuonekanie mbona sote tu wenye dhambi chini ya jua. Nikutubu tu dhambi zetu kina dakika. Natoka kenya
Wamayo kweli swala la Magari ya alfajiri na yakupiga mkono bila kujua kwa kubahatisha ni kweli, Unaweza kupakia Majuni au kupakiwa na Majini mi nishayakuta kwenye AISI na kwenye gari yangu Binafsi kubeba nimekoma
Wa kwanza Leo nipeni like zenu😂😂😂😂😂
😮 e e kimbiliyo ni Yesu tu😮Dunia ina mambo !..Davista una udjasiri sana ! Ushuuda iyi inatisha , ni kama ya zabroni😮 !Tunadjifunza kweli ! ❤ubarikiwe Davista na kizazi zako ! Stay blessed
God bless everyone here ❤
Wamayo nashukuru sana kwa mafunzo na tahadhari. Shukrani na mungu akuonekanie mbona sote tu wenye dhambi chini ya jua. Nikutubu tu dhambi zetu kina dakika. Natoka kenya
Story nzuri sana nakufuatilia sana na story zako
Kazi kazi davista mata tupo pamoja kaka uku tukiwa na ndugu WAMAYO.
Maskini hiyo jamii watu kila mara tuombe,hiyo jamii wangekuwa waombezi wangemfungua wamayo,tuombee bila kukoma
Dunia inamaajabu 😢😢mngu atulinde maana bila yeye sisi hatuwez ivi vibweka 😢
Duniani humu kuna maajabu mengi mnooo tumtumainie MUNGU.
Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa..maana yeye ni Mtakatifu sana
Watu wanapitia magumu hongera sana devista mata
This story I was waiting for it..thank you David Mata .. (imfrom Kenya)
Wqmayooooo tuko na ww forever 😅😅
Hatari sana
Yan nilikua nimelala hapa kwa davista nikimsubili wamayo 😂😂😂
,😂umemchangia
Polepo
wakwanza 😋😋😋
kweli tunapaswa kuishi katika maombi hii dunia aiseee
Dunia ina mambo kwa kweli!
Dunia inamambo
Jamaa yangu saizi Naona umeng'aa
Jamaa yangu asante kwakutuelimisha
Stories ya wamayo imetisha sana
❤️❤️❤️
Allaah Akbar
😢yaani
Maneno ya nyota is this serious,wamayo umetuelimisha sana,leta 27 davistar
Mmmm! Dunia Ina mambo
Part 27 jamaniiiiiii
Hapa naamini Sasa kumbe ndio maama Nyumba nyingine hazina Ridhiki
Konki wa kuhadisia mpk inakuingia kwenye ubongo
Wamayo. 🔥 Umeona mengi
Munguwe
Ee mungu turehemu na haya majarbu ya ibirisi, tupe nguvu
Story za wamayo kali sana
Hii nayo ni fungua mwaka bonge la story mpaka inasisimua mwili makuu sana naelewa mbona Yesu alitufia msalabani
✌👊
Inafundisha sana hasa wanaopenda kwenda kwa waganga, maombi ni silaha
Wamayo kweli swala la Magari ya alfajiri na yakupiga mkono bila kujua kwa kubahatisha ni kweli, Unaweza kupakia Majuni au kupakiwa na Majini mi nishayakuta kwenye AISI na kwenye gari yangu Binafsi kubeba nimekoma
huyy jamaa ahatarishi maisha yake kweli
😂😂😂😂😂Watu jamani nikajuwa nimewaii
Dunia Inamambo
Episodes nzito
Huyu jamaa aki😂😂😂😂😂
Part 27 tafadhali tunafuatilia..
🙄🙄 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wamayo hahaaa
Tuwaishie
Mimi nionavyo kilikua ni kivuli chako ndio maana wewe mwenyewe ulikua huonekani
Jamani yule tu ugali tulale
Watu usema mmi nimeona mengi kumbe bado kabisa
Duniani Kuna mambo jamani
Yaan
Kwa kwel bado sana ata robo atujaona
@@lizzybeth6344 atari sana ila turizike na aya maisha yetu tu
@@ChristinaMaganga-do8ln wewe acha tu