KIMENUKA; SHEHE SHAFII AMLIPUA DIAMONDI KWENDA NYUMBANI KWA P DIDDY,MACHAFU MENGI AMEFANYA HUYO? DID

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 5 วันที่ผ่านมา +2

    Shekhe Shafii ana maarifa hakika aliosema yote kweli kwa mtu mwenye akili timaru atajiuliza maswali kwa nini wamshtaki na wao wameruhusu ushetani huu ufanywe.Waharibifu wa kizazi na baadhi ya wasanii wanawasaidia kusambaza ushetani Aisha kwa nguo wanazovaa au vitendo vya kukosa maadili hadharani. Allah atulindie vizazi vyetu.Shukran Sheikh hukupindisha maneno

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa ndo naamini kwamba uislamu ndo dini ya kufuatwa maana hawawezi kuruhusu ujinga kama huu makanisa yanafunganisha ndoa za jinsia moja baadhi yao Duuuuuu mwenyezi mungu tunaomba utunusuru😭😭😭😭😭😭😭

  • @yusuphabdulazizkinega3039
    @yusuphabdulazizkinega3039 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mada hii ni sahihi sana.
    Ila serikali iko kimya , Basata pia iko kimyaaaa na wasanii wadogo wameanza kuigiza habari za P didy
    Hii inahalibu kizazi kijacho. Shida ni kizazi kijacho

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 3 วันที่ผ่านมา +1

    Na huu ndio ukweli wenyewe!!

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 2 วันที่ผ่านมา

    Shekh shafi kwa ukweli tu.nakupenda bureeeeee

  • @MerinaMihayo
    @MerinaMihayo 5 วันที่ผ่านมา

    Congration shehe

  • @AbdallaRashid-s2m
    @AbdallaRashid-s2m 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upo sahii shekhe shafii

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi nyinyi masheikh hamna mambo ya muhimu kutuambia sisi waislamu ila kurukia mambo ambayo hayana maana kwetu sisi

  • @HassinaAlharthi
    @HassinaAlharthi 5 วันที่ผ่านมา

    Naam hata mimi nimliwasikia wakisema tundu lisu na Fatma karume niliyasikia hayo yakisemwa. Allah arawashinda

  • @Ban-w1u
    @Ban-w1u 5 วันที่ผ่านมา

    Sheikh mambo haya ya nini, utajikuta unapromote vitu vya kidunia sheikh si sawa

  • @AbdalaMomba
    @AbdalaMomba 5 วันที่ผ่านมา

    Shekhe ndio shekhe ilo nitangazo kweli.

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 5 วันที่ผ่านมา

    Kweli shekh ni washenzi tu wasumbuwa dada zetu na ushoga uko free shenzi sanaa

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 5 วันที่ผ่านมา

    Shetani haoni hatari kuwazalilisha watu wake ili lengo lake la kusambaza ushoga lifanikiwe🎉

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 วันที่ผ่านมา

    Bora aulizwe mwenyewe

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 5 วันที่ผ่านมา

    Sheikh nilikuwa nakuheshimu sikuheshimu tena, nawe unasaidia kuupromot ushoga kwanini ukubali kuhojiwa na mambo ya kijinga kama haya af unaongea unarembua macho kabisa na unakicheko flani hivi cha kimahaba !mwanaume unapocheka kaza mdomo.