Rest in peace Fr Chris...I rem those days at Christ the King cathedral when this song could be sang ukiwa Parish priest... And the mass could be mwaaa...eternal rest grant unto Him oh Lord....
Vipaji tumepewa, mapato tumepata Lakini binadamu tunashindwa kushukuru Wakati tunaomba, tunajinyenyekesha Lakini tukipata mikono yetu birika Mpeni kaisari, yaliyo yake Mpeni Mungu (yale) yaliyo yake Mungu ×2 Mifugo tunafuga, nafaka tunavuna Lakini kila siku tunakula na kusaza Kumbuka kuna wale, wasio na chochote Hawawezi kupata, hata kikombe cha maji Tunapofanya kazi, twapata mishahara Shughuli zetu sisi kuingia kwenye bar Ikiwa zitabaki, twakuja kanisani Twamtolea Mungu, shilingi moja na tano Tukiwa na wagonjwa hatuwasaidii Wakati wamekufa tunachanga kwa huzuni Twachukua mikopo, kwa mambo ya anasa Ujenzi wa kanisa, twalazimishwa kutoa. Kumbuka Ibrahimu, alitoa mwanawe Kama sadaka kwake Mungu Baba wa mbinguni Na sisi kwa furaha, tupeleke zawadi Itakayopendeza, kama ile ya Abeli
#@Omwami Wemumbo,The song makes me feel like if am at home 🏘️ Kristu Mflalme Bungoma.RIP father Wanyonyi u made God,s fearer son enzi zile za 2004 tukisoma dini.We miss you.
Asante sana kwa mafunzo ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
MPENI KAISARI Vipaji tumepewa, mapato tumepata Lakini binadamu tunashindwa kushukuru Wakati tunaomba, tunajinyenyekesha Lakini tukipata mikono yetu birikaMpeni kaisari, yaliyo yake Mpeni Mungu (yale) yaliyo yake Mungu *2Mifugo tunafuga, nafaka tunavuna Lakini kila siku tunakula na kusaza Kumbuka kuna wale, wasio na chochote Hawawezi kupata, hata kikombe cha chaiTunapofanya kazi, twapata mishahara Shughuli zetu sisi kuingia kwenye baa Ikiwa zitabaki, twakuja kanisani Twamtolea Mungu, shilingi moja na tanoTukiwa na wagonjwa hatuwasaidii Wakati wamekufa tunachanga kwa huzuni Twachukua mikopo, kwa mambo ya anasa Ujenzi wa kanisa, twalazimishwa kutoa.Kumbuka Ibrahimu, alitoa mwanawe Kama sadaka kwake Mungu Baba wa mbinguni Na sisi kwa furaha, tupeleke zawadi Itakayopendeza, kama ile ya Abeli
Who's here listening to this song with me 2024❤
@@sharonkwamboka-ln6gk me here
This song is underrated. This is among the best Catholic songs ever composed in Kenya.
True 👍
True
Very true
Very biblical
Very true
❤❤mpeni kaisari yaliyo yake,na Mungu mpeni yake 🙏🙏
Rest in peace Fr Chris...I rem those days at Christ the King cathedral when this song could be sang ukiwa Parish priest... And the mass could be mwaaa...eternal rest grant unto Him oh Lord....
Check this one, we dedicated it to Fr. Wanyonyi. th-cam.com/video/BsQu9-hDwWY/w-d-xo.html
.....and let perpetual light shine upon him, May he rest in peace Amen
And let the perpetual light shine upon his soul, Amen.
Let the soul of fr wanyonyi R.I.P
Let the perpetual light shine upon him 🌷🌹💐
who agrees that Mr Ochieng Odongo is talented at composing of songs with high quality mixing?
I agree, Ochieng Odongo is great... I love his songs
You can never go wrong with Mr Ochieng Odongos' compositions!
I do agree,nice song
True
i concor mr Barnabas
I love the song, thank you Lord to let me know this real man of God, he's pressing me.
Vipaji tumepewa, mapato tumepata
Lakini binadamu tunashindwa kushukuru
Wakati tunaomba, tunajinyenyekesha
Lakini tukipata mikono yetu birika
Mpeni kaisari, yaliyo yake
Mpeni Mungu (yale) yaliyo yake Mungu ×2
Mifugo tunafuga, nafaka tunavuna
Lakini kila siku tunakula na kusaza
Kumbuka kuna wale, wasio na chochote
Hawawezi kupata, hata kikombe cha maji
Tunapofanya kazi, twapata mishahara
Shughuli zetu sisi kuingia kwenye bar
Ikiwa zitabaki, twakuja kanisani
Twamtolea Mungu, shilingi moja na tano
Tukiwa na wagonjwa hatuwasaidii
Wakati wamekufa tunachanga kwa huzuni
Twachukua mikopo, kwa mambo ya anasa
Ujenzi wa kanisa, twalazimishwa kutoa.
Kumbuka Ibrahimu, alitoa mwanawe
Kama sadaka kwake Mungu Baba wa mbinguni
Na sisi kwa furaha, tupeleke zawadi
Itakayopendeza, kama ile ya Abeli
Stanza 3 shughuli yetu kwanza kuingia kwenye bar
Last stanza kama sadaka tosha kwake Mungu wa mbinguni
Waibanji tusichoke kumwimbia Mungu kwani kuna uhai na malipo
Give caesar what belongs to caesor,and give God what belongs to God🙏Bungoma Cathedral we move,thank you Jesus🙏🙏🙏
kaisari apewe yake na mungu apewa yalio yake👌👌👌.
#@Omwami Wemumbo,The song makes me feel like if am at home 🏘️ Kristu Mflalme Bungoma.RIP father Wanyonyi u made God,s fearer son enzi zile za 2004 tukisoma dini.We miss you.
Am not a Catholic...but love this song. I feel guilty listening to the message.
My grandpa loved this song...may he keep resting In peace...
It is well Emidia. May he rest in eternal glory.
Proud of my cathedral choir..baraka tele..
Look at our lovely kids under PMC umbrella...Dancing sooo gracefully.Simply an addictive song here!
Kazi nzuri 🎉Kuna siku uli nunua bible hapa odion cinema
Asante sana kwa mafunzo ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
One of the best., memories that can't fade, so amazing my people. 👌🙏.
I like the song very nice and I am proud being born from bungoma diocese
Bungoma diocese together we move
2022 Edition sikomi na sikomi kuwawatchgreat content Teacher Odongo 💞💞💞💞💞💞
Wow... our own ❤❤
This one will never get old in my play list, The tenor and Bass crew are on the top of the hill 👏👏👏👍👌
Thank you for the support, Joseph.
Wonderful 🎉🎉
A great offering song from Yesu ni mfalme kathedrali kuu Bungoma
Watching from Uganda and is very good song thanks to malindi choir
This one belongs to Christ the King Cathedral Choir, Bungoma.
It never gets old..Heko Christ the king Cathedral Bungoma.. nice song
This is one of my best songs I always find myself listening to it over and over again..keep up with the spirit of spreading God's good will.
Today's preaching was this,came back to listen to the song🎉❤,never gets old
Harusi yangu tyme ya kukula watu watajiburudisha na nyimbo hizi composed by ochieng
All through sikomi kuwasikiliza kwanza the base team and sapranos ooh my God u just great 2021 edition ever green yaani. Vocals mko juu sana
God bless you so much Grace for the kind words.
Mpeni kaisariyalioyake namungu yalioyake mungu ongereni kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Bishop king'oo wambua . My spiritual Dad.
Am too proud to be a catholic, how we do sing like Angels in heaven😍
Very good in singing but stop praying to Maria
@@patrciaagesa8643 we do not pray to Maria we pray WITH Maria 😚
@@mariaadhiambo4738 Ooooh you pray with Maria in the church or
@@patrciaagesa8643 She's the mother of Jesus, not your local mama mboga. Show some respect.
Wow ,,I really love this song 💝💝💝💃💃who is here this 2020
Surely it's so wonderful, Christ the king maintain the spirit, bishop king'oo my spiritual bishop. Hongera
Love the song God continue blessing with many of the sort
Atleast nimepata hii wimbo.. Hiyo part ya kupata mishahara na kuingia bar is it always preach to me
Hogera wana bungoma
Great Song! Great Choir❤
Mala balebe bano baluunga lulwimbo luno tu!
I like this song and proud to b a Catholic
Huyu mwalimu wa choir na wanachoir wote mbarikiwe kwa kazi nzuri mmo
Ubarikiwe sana, Ogero.
Proud of my choir from Bungoma
Good performance
Nimekuja hapa after kuona churchill amepost instagram...nice song..hèavy message
Susan ke ata mimi😂😢
Hata mimi
Alipost nini?
Pia
congratulations,,,proud to be a Catholic
Always giving the best big up Christ the king parish
I have learned to help people the time they need me most
Ochieng odongo yawa
This is what I was looking for
Karibu sana.
The composer is on another level.. Congrats 👏.. N may God bless the choir freternity 🙏🙏🙏🙏🙏.
My favorite song ♥️♥️♥️
I love this song wainana keep it up nimeona kwenye ulitoka ndio ukajoin saint RITA KWETU
Well composed, balanced voices and the message is straight to the point.
Really Originally Pure Catholic lots of love, preaching and entertainment.
Yeah, be blessed, Catholic mbele! I only smile all the time when watching this choir, God remains to be God forever, thank you
I really like this song. . every message is well placed. The dancing very well done
Thank You very much for such an inspiring song... very vibrant and VERY NICE INSTRUMENTAL, God bless You and may you produce more
May 2022 watching this song. Haki I feel blessed.
One of the best, the message and the beats are on point
The instrumentalist ..
Hitting to my heart.
Congrats
Nawapenda wote may God bless u more and more
❤❤❤this song my best
Waooo i like the song keep it up
When they say use your talent to the best level...Ochieng umeweza kwa utunzi and music in general
Am greatiful and always touched by your songs
Will never stop loving this song
wangapi usema kenya akuna mziki basi hii katoka wapi ? ,, wimbo tamu sana
Miziki yetu mitamu sana bora tuipende na tuunge kwaya zetu mkono.
@@VeronyProductionsukweli mtupu ...barikiwa sana
Mpeni Kaizari yalio yake...Mpeni Mungu yaliyo yake Mungu....
Ochii odongo is a wow💥💥💥hear the flow,,,,,christ thy kingdom come 🙏
Nice song congratulations may God strengthen your faith to countiue priseing.
Am listening too
i love the song.congratulations bungoma people
I love this choir,I was once a liturgy dancer
Same here, with the likes of Eliza
Okay, pale Christ the king right?
You make us proud choirmaster, am proud to be Catholic
Mpenii kaisari *2 mpeni kaisari yaliyo yakeeee💖💖💖💖💖💖💖
After today's homily by Rv Fr Domnic Ouma at st Teresa cathedral kibuye parish ksm, i can't get enough of this song.
Have a blessed day ahead 🙏
My late shosh used to sing this song most of the time still rest in peace gogo😞
May she continue resting in eternal glory.
Wah!!...I used to think that this song belongs to Rapogi...Congratulations Christ the King Bungoma.
God bless you odongo, very talented indeed
Oooh my rip father Wanyonyi you made Bungoma the best, rest well papa
Being a Catholic is being a child of God
Exactly
True child of God
Askofu kingoa
MPENI KAISARI Vipaji tumepewa, mapato tumepata
Lakini binadamu tunashindwa kushukuru
Wakati tunaomba, tunajinyenyekesha
Lakini tukipata mikono yetu birikaMpeni kaisari, yaliyo yake
Mpeni Mungu (yale) yaliyo yake Mungu *2Mifugo tunafuga, nafaka tunavuna
Lakini kila siku tunakula na kusaza
Kumbuka kuna wale, wasio na chochote
Hawawezi kupata, hata kikombe cha chaiTunapofanya kazi, twapata mishahara
Shughuli zetu sisi kuingia kwenye baa
Ikiwa zitabaki, twakuja kanisani
Twamtolea Mungu, shilingi moja na tanoTukiwa na wagonjwa hatuwasaidii
Wakati wamekufa tunachanga kwa huzuni
Twachukua mikopo, kwa mambo ya anasa
Ujenzi wa kanisa, twalazimishwa kutoa.Kumbuka Ibrahimu, alitoa mwanawe
Kama sadaka kwake Mungu Baba wa mbinguni
Na sisi kwa furaha, tupeleke zawadi
Itakayopendeza, kama ile ya Abeli
I lyk pipo frm Bungoma vile huimba na syk natamani wapewe shrine waongoze mass one day
VERY VERY NICE CHOIR FROM MY OWN COUNTY. BUNGOMA
Hii beat walai❤❤❤❤❤❤❤❤
This song has a straight message, and I like it
kama kuna song ilitungwa ikatungika ni hii mmmh i love it soo much
Wow...i like it...mkatolika damu
Nice song. Love it Mwaaaaaa
Nice song,sweet voices,,i love my faith. Staunch catholic.
Izo bits✅Kuna shilili inatesa Apo tamu sana
Aisee!
Mpeni Mungu yale yaliyo yake Mungu
Give God the sacrifice He deserve to be love the song I can't stop watching it
A nice nice song.lets dedicate to God what He deserves..waooh.
nice song ever.....proud to be catholic
Proud Catholic ❤️❤️
Thank you for this song great people of God.
Kwakweri mnastaili kupongezwaa
I love the song,also am singer👍b blessed
Nice song love it👒❤
NYC song,,,proud to be a Catholic