I went to Saudi to make things right | Tuko TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 122

  • @Tuko
    @Tuko  ปีที่แล้ว +13

    What message do you have for Maurine Wairimu? You can reach her through her number: +254 114392088.
    To share your story with us, send an email to yvonne.kawira@tuko.co.ke or eucabeth.mukami@tuko.co.ke.

  • @victoriaadhiambo1021
    @victoriaadhiambo1021 ปีที่แล้ว +5

    mwenye alipoison mtoto wa huyu mama asiwahi jua kitu inaitwa amani maishani mwake.

  • @Shanizeshantel
    @Shanizeshantel ปีที่แล้ว +3

    Ooh 😢😢 I remember seeing her on tiktok asking for help because of what she was going through in Saudi Arabia 😢😢

  • @wanjirurosemarykomo2438
    @wanjirurosemarykomo2438 ปีที่แล้ว +5

    Na mjua wairimu akiwa msichana mdogo akiwa sultan....haki huyu mtoto amepitia mengi😭😭😭vita alikuwa anapewa na babake Kaa ya kifo ..Kuna time alichomwa na kijiko Kaa imewekwa Kwa makaa moto 🙊....haki wairimu Mungu yupo 🙏🙏🙏

    • @alyce9494
      @alyce9494 ปีที่แล้ว

      N the way she's beautiful aki😢

  • @keepitreal335
    @keepitreal335 ปีที่แล้ว +3

    Wee ungetoroka ukemboi utafute pesa uhome peacefully juu police wa Saudi hawasaidiangi😢

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru ปีที่แล้ว +2

    Waah yani hizo story zina nifanya kua strong❤siwezi enda saudi

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 ปีที่แล้ว +7

    It's like huyo mtoto alikua ameonyeshwa mwisho wako juu hizo chums zote may GOD give us spiritual eyes, spiritual feeling and spiritual understand soo we can detect things around us, before us

    • @fiddiggokirimi9630
      @fiddiggokirimi9630 ปีที่แล้ว +3

      Then the dad had rejected him even b4 he was born and wanted his mom to abort him. Life is spiritual for sure. So sad

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 ปีที่แล้ว +7

    GOD l don't take anything for granted lam thankful. And may remember my sisters and brothers who are going through pain AMEN AMEN

  • @WilsonOdongo-
    @WilsonOdongo- 7 หลายเดือนก่อน

    My sister take heart, My God of Job Joseph & David finds you, may his grace, favour & blessings reach you.

  • @NellyMwende8
    @NellyMwende8 ปีที่แล้ว +3

    i like saudia stories.... its like nimeenda saudia nikatembezwa na nikarudi..... hadi najua riyadh...... weh.

    • @annchege560
      @annchege560 ปีที่แล้ว

      Mimi pia aki😂😂

    • @HjfhfhDhhhd
      @HjfhfhDhhhd ปีที่แล้ว

      So funny 😂😂

  • @mariadaniels5653
    @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว +32

    The title is wrong, you said you found your cousin with your counsin, mbona hatujasikia

  • @MuminMoha-zn4ml
    @MuminMoha-zn4ml 10 หลายเดือนก่อน

    It's not easy thank you God 🙏 am back home safe

  • @elizabethiradukunda1950
    @elizabethiradukunda1950 ปีที่แล้ว +8

    some of these stories look so absurd they are hard to believe.. tuko.. do you ever try to look for the other part of the story

  • @maureenmiriti3199
    @maureenmiriti3199 ปีที่แล้ว +1

    Ety akaitishwa Mpesa pin kwa office???😮

  • @SSs-fn4hs
    @SSs-fn4hs ปีที่แล้ว +2

    Hakuna siku mwarabu atakuambia kuhusu bwanake they love their husband

  • @patrickmugambi1176
    @patrickmugambi1176 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mume mute hapo Kwa Kenya agency???we want to the name of agency 🇰🇪⏰🚩🚩🚩

  • @HjfhfhDhhhd
    @HjfhfhDhhhd ปีที่แล้ว

    Before you came saudia ulizia wale wako huko kwa getuation kama hiyo unafanyaje.
    Mimi tulisumbuana n kifaranga ...lastly nilimpiga mbaya na kumwekea masaa kwa mikono nikatoroka kufika police nilijifanya mtt mtulivu kabisaa n nikasema sirundi hiyo nyumba...nikabadilishwa nikamalozia my contact ....lkn zile vituko nilifanya the first house cuz ya hyo kijana n mamake weee...

  • @MuminMoha-zn4ml
    @MuminMoha-zn4ml 10 หลายเดือนก่อน

    Big up kwa kutoroka mama those people are evil am ex Saud it's not a joke😢

  • @janetkanini2233
    @janetkanini2233 ปีที่แล้ว +2

    Case ilikuwa ya mtoi wako kumzaa so tell us how comes case iishe na ukose kujua imeishaje unless wewe ni don't care na you never attended court sessions case ikiendelea but uliwachia bwana ashughulike.Your presence n follow up ilikuwa ya muhimu

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 ปีที่แล้ว +1

    hivi ndivyo hua wanaclean kwani weeeeee hii ni ngumu kweli how much does they get paid.

  • @meg-iv1sw
    @meg-iv1sw ปีที่แล้ว +4

    Really sad .its a lesson to other mothers you don't leave a toddler unattended. their safety is number one kazi ya nyumba inawexa kungonja.Pole mum may your angel rest in peace
    Poor baby 😢

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 ปีที่แล้ว +2

    Pain after pain hii life aki 😢😢😢

  • @hadassahmaina4486
    @hadassahmaina4486 ปีที่แล้ว

    All the way from ticktok

  • @everlynekayesi5510
    @everlynekayesi5510 ปีที่แล้ว +8

    Your headline and title of the story are 2 different things, i caught my husband and my cousin in the act story imeisha bila kuskia iyo part, tena i escaped saudi to find hell in kenya where is the hell

    • @Maximilian_5TV
      @Maximilian_5TV ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂utatuma niwache kuwatch na ndo nimeanza

    • @everlynekayesi5510
      @everlynekayesi5510 ปีที่แล้ว +1

      @@Maximilian_5TV ok it's a nice story bt ni vile wameipea wrong title.mimi nimengoja part ya cousin nianze ku_sympathise na situation wapi, akuna 😅

  • @teresiateresia6464
    @teresiateresia6464 ปีที่แล้ว +5

    Aki she has passed through alot may God remember her

  • @awaithera
    @awaithera ปีที่แล้ว

    Si mwandike headlines zinaambatana na story

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 ปีที่แล้ว +1

    ulaya ungeekwa ndani hiyo is being responsible yaani hujui mtoto ako wapi ati anacheza na nani wala ako wapi.

  • @magdalenetiffah2001
    @magdalenetiffah2001 ปีที่แล้ว +5

    Tuko mnaover do na hizi ads zenu yaan mpka mtu adownload azime WiFi ndio awatch in peace

  • @AgnesNdara
    @AgnesNdara ปีที่แล้ว

    Am sorry for what u have gone through after Avery short time in marriage, but if it were me now that u ave gone through doctors to the end, look for prayers there r annointed pastor s, that can be used for his healing,

  • @salomeonyoni998
    @salomeonyoni998 ปีที่แล้ว

    Naona alikuwa Khamis mushait Abha village ndaani

  • @sjyfett7878
    @sjyfett7878 ปีที่แล้ว +1

    Nowadays tunaogopa kkenya adi kuliko saudi

  • @sylvialexy896
    @sylvialexy896 ปีที่แล้ว +3

    WRONG TITLE

  • @esyy_kariuki
    @esyy_kariuki ปีที่แล้ว

    This girl alikuwa TikTok juzi ama sio yeye

  • @catherinembithi6198
    @catherinembithi6198 ปีที่แล้ว +1

    The headlines though

  • @mariadaniels5653
    @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kazi mingi sana, mbona munashinda mukienda saudi, ama ni kupanda ndege tu

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 ปีที่แล้ว +2

    Good story but the titles are different and confusing. It should be ESCAPED IN KENYA AND FOUND HELL IN SAUDI ARABIA. Any the alter suffering and marital problems was speaking against you. You were beaten like your mum, suffered like your mum.

  • @dianangethe7839
    @dianangethe7839 ปีที่แล้ว +1

    Alianguka aje ndani ya balcony ya tenant mwingine??? Hapo sijaelewa

    • @Sky-rancky..
      @Sky-rancky.. 10 หลายเดือนก่อน

      Ilikuwa posioning😢😢

    • @Sky-rancky..
      @Sky-rancky.. 10 หลายเดือนก่อน

      Poisoining

  • @mariadaniels5653
    @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว +4

    munaendanga ninu na huku kenya kuna kazi

    • @dorothyoyieko5597
      @dorothyoyieko5597 ปีที่แล้ว +2

      Tupatie hiyo kazi ama namba yake ndio hiyo hapo mupee kazi

    • @beckybeto271
      @beckybeto271 ปีที่แล้ว +1

      Ako kenya sai mpatie job basi

    • @mariadaniels5653
      @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว

      @@beckybeto271 muite kwako umtombe

    • @beckybeto271
      @beckybeto271 ปีที่แล้ว

      @@mariadaniels5653 unakaa tu mjinga kama wewe hutomba wanawake kama wewe ushidwe go to hell

    • @mariadaniels5653
      @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว

      @@beckybeto271 ningekua mjinga ningelikua mboch kama wewe, wewe ni umbwa kumbwa

  • @josephturuthi1183
    @josephturuthi1183 ปีที่แล้ว +2

    Poverty is not a good thing to celebrate, because it has forced majority of our young men and women to suffer outside there in the name of green pastures.

    • @keepitreal335
      @keepitreal335 ปีที่แล้ว +1

      Don't blame poverty blame yourselves

  • @wanguwangu3927
    @wanguwangu3927 ปีที่แล้ว +1

    Never never give up and the way your very much beautiful surely ningekua Sina bb nigekuoa surely you are more than beautiful

  • @angelsigonyela1770
    @angelsigonyela1770 ปีที่แล้ว +2

    FEAR MEN💀💀💀💀

  • @sheundaevelyn6056
    @sheundaevelyn6056 ปีที่แล้ว +6

    The best country to work as a house manager is suisse.they protect us full and the salary is good as well.

  • @margaretmueni254
    @margaretmueni254 ปีที่แล้ว

    Amepitia kweli nilimona kwa Jason TV 😢😢

  • @elizabeth-titish
    @elizabeth-titish ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio husikia mtu amekomboi haki.agent change your behaviours

  • @RSamsonKarimi
    @RSamsonKarimi ปีที่แล้ว +3

    No one is talking about her beuty

    • @YvonneKawiraTuko
      @YvonneKawiraTuko ปีที่แล้ว

      She's so beautiful and determined to push through life.

    • @KOMANDO254
      @KOMANDO254 ปีที่แล้ว

      Ngono

  • @levismumbo2465
    @levismumbo2465 ปีที่แล้ว +3

    Kenya ni hell 😢 tunachomeka tu polepole

  • @joycemetili3876
    @joycemetili3876 ปีที่แล้ว +2

    Sorry for what you went thru in Saudi but hiyo story ya mtoto kukutwa amekufa kwenye balcony ya neighbour mbona haikufuatiliwa? Huyo mtoto alifikaje hapo kwenye balcony??? Police should have investigate more!!

    • @Maximilian_5TV
      @Maximilian_5TV ปีที่แล้ว

      Remember Kenya bila pesa uwezi saidika... case ilitupiliwa mbali ndio maana alienda Saudi apate pesa ndo afile case again

    • @susansue9775
      @susansue9775 ปีที่แล้ว

      True

  • @sjyfett7878
    @sjyfett7878 ปีที่แล้ว

    Mambo imechemka ata mmi niko na story how i survived from shimo ya choo

    • @KOMANDO254
      @KOMANDO254 ปีที่แล้ว +2

      Yako ni Noma! Pea Andrew Kibe

    • @LennyKariuki-rw1ti
      @LennyKariuki-rw1ti ปีที่แล้ว

      @@KOMANDO254 😂😂😂😂😂

  • @lydiahkaimuri2729
    @lydiahkaimuri2729 ปีที่แล้ว

    You should have given their children that food

  • @wanyamaedinah4984
    @wanyamaedinah4984 ปีที่แล้ว

    Kitu huaribu wakenya ni Tiki tok mtu ni mgeni Gulf kazi media tuache sisi tule haya matunda Gulf c ya kila mtu kuna wangine ni matembezi tu

  • @rejoycemmbone5049
    @rejoycemmbone5049 ปีที่แล้ว +4

    😂😂saudi the kingdom of horror stories,,but nashanga wenye tu awajamaliza contract ndio uwa wanatoka uko na izi stories,,,lakini wenye wamemaliza contract sjawai skia ata.anyway sorry for what you went through ❤

    • @EdinahNdemo
      @EdinahNdemo ปีที่แล้ว +2

      4 years whith full gunia ya story but sina time 😅😅

    • @anngatwiri3895
      @anngatwiri3895 ปีที่แล้ว

      ​@@EdinahNdemome to 💪

    • @rejoycemmbone5049
      @rejoycemmbone5049 ปีที่แล้ว

      @@EdinahNdemo ucjali mambo ni mengi masaa ndio machache

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho ปีที่แล้ว

      ​@@EdinahNdemo4years?? Na bado upo tuu?? Kama story yako sad kwanini usirudi Kenya akamalizika kabisa😅😅

    • @EdinahNdemo
      @EdinahNdemo ปีที่แล้ว

      @@Rose-ue2ho nikiangaria kenya yenye niriaja na ya sahii najipa nguvu aja nioshe choo ya mwarambu

  • @beckybeto271
    @beckybeto271 ปีที่แล้ว +1

    Hizo chum mob zilikuwa za mwili l wish ungekuwa deep kwa maombi

  • @nellynateri2389
    @nellynateri2389 ปีที่แล้ว

    Please change the title

  • @bikoflavious2903
    @bikoflavious2903 ปีที่แล้ว +2

    May God be merciful for her

  • @josephturuthi1183
    @josephturuthi1183 ปีที่แล้ว

    To God 🙏 be the groly.

  • @claireopolot5676
    @claireopolot5676 ปีที่แล้ว +2

    Why is there no noise on how these ladies are being sexualy abused by Arab men... why why why?

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho ปีที่แล้ว +1

      Wanataka wenyewe. Sisi wa kenya tunafanya mambo mob Saudia and tunauwana sisi kwa sisi

  • @magarematara8919
    @magarematara8919 ปีที่แล้ว

    However killed the innocent soul,God must punish the killer

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 ปีที่แล้ว

    naona mabibi hua wanafanya maksudi wanajua mabwana ni malaya alafu wanatoa watoto nayeye wanakuacha na simba

  • @puritywakanyi379
    @puritywakanyi379 ปีที่แล้ว +1

    The story doesn't have a flow, these lady is not straight forward

  • @officialconnie0039
    @officialconnie0039 ปีที่แล้ว +2

    This story is boring so many parts missing

  • @LilianOkoth-ou6ir
    @LilianOkoth-ou6ir ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama nimwongo ata macho inaenyesha tu anadanganya

    • @colletahauko665
      @colletahauko665 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @edwinamboyi9138
      @edwinamboyi9138 ปีที่แล้ว

      Sure too much lie and see seems kufanya tik tok kwa nyumba ya wenyewe na hiyo ndio mwarabu ataki

  • @shyletlupa5453
    @shyletlupa5453 ปีที่แล้ว

    Change your title

  • @mariadaniels5653
    @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว +7

    You ask the neighbor who opened the bulcon,how come the kid was found in her bulcon??

    • @YvonneKawiraTuko
      @YvonneKawiraTuko ปีที่แล้ว

      The neighbor didn't even know there was a baby there imagine

    • @mariadaniels5653
      @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว +2

      @@YvonneKawiraTuko kwani ulikua mukiwa wote, maybe it's you doggy

    • @YvonneKawiraTuko
      @YvonneKawiraTuko ปีที่แล้ว +2

      @@mariadaniels5653 oh no. Its just that when I interviewed her and she shared the story of how this happened.
      Have yourself a wonderful day and thank you so much for watching.
      We appreciate you.

    • @jasutrading8157
      @jasutrading8157 ปีที่แล้ว +1

      Story not adding up

    • @mariadaniels5653
      @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว

      @@jasutrading8157 dog

  • @ValaryKiptoo
    @ValaryKiptoo ปีที่แล้ว

    Ofisi aje n unaxema walikuruka😂😂

  • @mokz91
    @mokz91 ปีที่แล้ว

    I dont understand when i watched some stories of how some girls suffer in Saudi Arabia. And yet they still go and slave under such people. Why????. It means slavery still continues in your country. Why do something and stop this nonsense from re occurring again and again.

  • @bosiborimomanyi5592
    @bosiborimomanyi5592 ปีที่แล้ว

    Not true.,nkt

  • @floraigokiterah1642
    @floraigokiterah1642 ปีที่แล้ว

    Whoever kills by sword dies by sword