ALIKIBA Amchana DIAMOND/Anaropoka/Yeye ni Nani/ZUCHU /Namuheshimu sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • King wa Bongo Fleva Alikiba amepiga stori na Rick Media na kufunguka juu ya Kolabo kati ya Diamond na Abdu Kiba, Alichokisema Zuchu kuhusu Show yake ya Simba Day n.k
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Alikiba #Diamond #Zuchu

ความคิดเห็น • 50

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q ปีที่แล้ว +8

    Mfalme wa wafalme ali kiba forever sharati sana broo

  • @batteravazicollection
    @batteravazicollection ปีที่แล้ว +2

    MFALME KA MFALME NA HESHIMA ZAKE....RESPECT BRO 👌👌👌👌

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 ปีที่แล้ว +7

    Kiba ni Msanii mzuri sana, lkn linapokuja swala la kumzungumzia Mpinzani wake, hapo ndipo anakosa Usmart. Hajui namna ya kujibu ili asionekane yeye sio chanzo cha Uadui. Majibu yake yanaashiria kweli yeye ndio chanzo cha Uadui.

  • @veronique6028
    @veronique6028 ปีที่แล้ว +10

    Media za Tanzania ni wachoganishi sana awanaga maswali ya msigi.

    • @MenTPL
      @MenTPL ปีที่แล้ว +1

      Kabisa, nimeliona hilo, maswali ya uchochezi tu

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 ปีที่แล้ว +4

    Hiz media hovyo sanaa

  • @wcb4life875
    @wcb4life875 ปีที่แล้ว +4

    Alikiba Usijifanye mjina simba anajua kucheza siyasa ya mziki wa bongo fleva, alichokifanya mondi nikuweka tu mtego ili jamii ione hana shida na ww au Harmonize ila wooote mmeingia kwenye mtego 😂😂😂😂😂😂

    • @angelfalleh-wb9rg
      @angelfalleh-wb9rg ปีที่แล้ว

      Amejibu alichoulizwa Sasa hapo kaingiaje kwenye mtego hiv uunahic Ally hazijui figisu za kwevo??

  • @fatumamduli4501
    @fatumamduli4501 ปีที่แล้ว +7

    Domo MNAFIKI Sana manina zake

  • @MichaelStephen-q6k
    @MichaelStephen-q6k 8 หลายเดือนก่อน

    Rahisi wa bongo King kiba fleva

  • @seangraceswt8037
    @seangraceswt8037 ปีที่แล้ว +5

    Waandishi wahabari jitaidini kuana maswali ya muimu nasio kuwachonganisha

  • @esperencenamagajo7166
    @esperencenamagajo7166 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa wewe ni kigi unajibu kiume pia kibinadamu kweli Mungu azindi kukulinda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂 wasi kusumbuwe kigi wetu wale wtu waupande wapili

    • @favoredl6353
      @favoredl6353 ปีที่แล้ว

      sio kigi na ww ni king😒

  • @abdimakame7929
    @abdimakame7929 ปีที่แล้ว +5

    Ali kiba wewe una Mdomo Mdomo Sana ndiomana unafeli kwanza umesha zeeka ila auna Hekima Bora urudi Kijijini.

    • @alithoya
      @alithoya ปีที่แล้ว +3

      Bro nakuhurumia

    • @abdimakame7929
      @abdimakame7929 ปีที่แล้ว +2

      Kikubwa anatakiwa ajiongeze aache kubishana na watoto wenye vipaji%

    • @alithoya
      @alithoya ปีที่แล้ว +3

      Nadhani hata wewe ukiona Ana ropokwa utaona umevunjiwa heshma....bro that guy is King na jina hakujiita watz ndio tulimwita so respect kidogo kabla hujaongea mengine

    • @abdimakame7929
      @abdimakame7929 ปีที่แล้ว +1

      Labda ni King kwako wewe ila sisi atumtambuh !!!!
      Uliona wapi King akaongea ongea ovyo?
      Yes, Mwanzo nilimkubali Sana ila kwasasa anavurunda mdomo mdomo kwake umekua Too much%

    • @subranadja4052
      @subranadja4052 ปีที่แล้ว +1

      Anafeli wapi ? While his life is going well utajuri anao. Nyie wa Tanzania hamjui the meaning of fail

  • @SharifuMusa
    @SharifuMusa ปีที่แล้ว

    Kiba ana jua

  • @marymolel800
    @marymolel800 ปีที่แล้ว

    Mine🔥👑❤️

  • @AbibaAlly-e8y
    @AbibaAlly-e8y ปีที่แล้ว +2

    Unaroho mbaya sana ww kaka mwezio kajubu maswali yake vizuri ila ww nimshenge tu pumbavu ww ndomana ufiki mbali kwaroho yako mbaya

  • @ibralino
    @ibralino ปีที่แล้ว +2

    He prooves the grudge comes from him

  • @immaculatealoyce-ij3ng
    @immaculatealoyce-ij3ng ปีที่แล้ว

    Hahaaa eti Simba wa picha huyo

  • @aruna-bmwanamboka5482
    @aruna-bmwanamboka5482 11 หลายเดือนก่อน

    Alikiba mnafski 😊

  • @yasintachale3534
    @yasintachale3534 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @tunutunu7736
    @tunutunu7736 ปีที่แล้ว

    Hahahaha ayaya bhana

  • @kuamino
    @kuamino ปีที่แล้ว +1

    Alikiba imeshakuwa kwanini musiache mziki

  • @mwinyiabdallah4383
    @mwinyiabdallah4383 ปีที่แล้ว +1

    Ali kiba nakukubali lakini una dharau punguza dharau

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy ปีที่แล้ว +2

    ana roho mbaya sana huyu jamaa na mbinafsi sana, ana wivu na mond kwa kuwa kamzidi maisha , kamtungia mond majina kibao ya kejeli ila hawajahi jibiwa, kajibiwa juzi safi mond, mond nae binadamu kukaa kimya kila siku haiwezekani

    • @annajohn2488
      @annajohn2488 ปีที่แล้ว +4

      Utakuwa na ulemavu WA Akili wewe

    • @ibuzacharia1308
      @ibuzacharia1308 ปีที่แล้ว +2

      hajawahi jibiwa? hivi unafatilia mziki? hujaona juzi kamuita malkia? 😂

  • @Xavierdecristo
    @Xavierdecristo ปีที่แล้ว +2

    Jibu unavyo jisikia

  • @abednego3876
    @abednego3876 ปีที่แล้ว

    Kiba anaringaa sanaaaaa 😂 alaf ni 0 tu. Mario mwenyew kakukata parefu.

  • @edmundrutahiwa
    @edmundrutahiwa ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaaa hajakaa kisanii kabsaaa

  • @lacheekah1849
    @lacheekah1849 ปีที่แล้ว

    Apo kwa zuchu patamu sana 🙏 humble reply

  • @asl6295
    @asl6295 ปีที่แล้ว +2

    K2ga anajua sana kuimba lakini sasa nyimbo zinaishia mbezi kibanda cha mkaa

    • @AngelPhillemon
      @AngelPhillemon ปีที่แล้ว +1

      Toa Yako ifikike marekan

    • @asl6295
      @asl6295 ปีที่แล้ว

      Kiba angetumia mitandao kufanya Promotion kwa ajili ya wasanii wake na sio kutukanana na Diamond platinum A Boy From Tandale Tanesco Samalend.

  • @stellachalamila7455
    @stellachalamila7455 ปีที่แล้ว +1

    Ali musenge kama wasenge wengine linaongea kama limekabwa

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 ปีที่แล้ว

      Chuki ukijumlisha na umaskini ni ugonjwa mbaya Sana..

    • @stellachalamila7455
      @stellachalamila7455 ปีที่แล้ว

      Nilizami mondi. Anashida kumbe wewndiounashida utazeeka narohombaya hiyohiyo mavi mukubwa ww unajiona Nani labda

  • @WayMartLimited-mh2et
    @WayMartLimited-mh2et ปีที่แล้ว

    Kiba we uko xwa

  • @lucmpangaje8727
    @lucmpangaje8727 ปีที่แล้ว +3

    Kiba mutu roho mbaya 😡

  • @aminaawadhi1537
    @aminaawadhi1537 ปีที่แล้ว

    Ali kiba wacha zako, kila mtu aende kivyake bwana!

  • @shabanJuma-fe6wf
    @shabanJuma-fe6wf ปีที่แล้ว +1

    Ali Kiba ukimuangalia to ,ni mtu roho chafu , mazungumzo yake ata jinsi alivyo.

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh kumbe ckuizi Kuna Watu wazijua roho za watu

  • @aruna-bmwanamboka5482
    @aruna-bmwanamboka5482 11 หลายเดือนก่อน

    Mnafki