hahahahaha....... nice one hun Ma Sha Allah, nasisi tulijua ni kubwa lakini bada yakuanza kulaa, it was so hard ku stop lol. Nimefurahi ume try it, thanks
Asante sana. Yes unaweza saba. Weka Viungo iweke kwenye fridge kama nasa 12, ichome kwa moto wa mkaa mdogo mdogo lakini make sure usichome mpaka iwe kavu au ngumu, choma kwa saizi nzuri
Vipimo vinapatikana hapa, bonyeza link hii ---- www.farhatyummy.com/african-dishes/roasted-goat-very-tender-and-delicious/
Mashallah
Asante
MashaAllah so so yummy 👌👌na ile sauce yake sasa 😋
😂😂😂 Thx so much sweetheart sauce imechapueha nyama 😉🤗🤗😘😘😘😘
Mash Allah Shukuran inshallah ntacopy hii kwenye eid😍😍
Feel free darling, Insha Allah, but did you cook it, how was it ?
Mashallah ilikuwa so yummy tulimla wote sikutegemea Kama tungemaliza😃😃
hahahahaha....... nice one hun Ma Sha Allah, nasisi tulijua ni kubwa lakini bada yakuanza kulaa, it was so hard ku stop lol. Nimefurahi ume try it, thanks
My love. Moto naweka ngapi kwa oven
Maa shaa Allah
Thx so much
Everyone's favourite Tkx for Eid recipes
You’re very welcome darling 🤗🤗🤗😘
Mashaa Allah farhat yummy yummy
Thx so much dear
Thanks gal.. I must try this
You should hun, it’s so yummy, I am sure you are going to love it😊
Sure weekend InshAllah.nitaipika
nice one
nipo dar nachoma nyama ila napokea lawama kila mara wateja wanadai nyama ngumu nifanyaje jamn dada?
Mshlh sis
Thx so much
Yummy
Asante sana
Karibu sana
Thx dear
You’re very welcome darling 😘😘😘
Nimeinda sana channel yako dadangu, hivi kuna uwezekano wakuchoma nya kwakutumia mkaa bila oven na nyama hiyo ikawa laini? if yes how?
Asante sana. Yes unaweza saba. Weka Viungo iweke kwenye fridge kama nasa 12, ichome kwa moto wa mkaa mdogo mdogo lakini make sure usichome mpaka iwe kavu au ngumu, choma kwa saizi nzuri
Ahsant San
You’re welcome