Azam muwe wastarabu kama Yanga walivyokuwa wastarabu. Muacheni Feitoto arudi kule alikotoka. Au mnataka Mh. Rais aingilie kati? Kwani Fei alipokuwa anajiunga na Azam hakuwa na mkataba na Yanga? Sababu ni ileile iliyomtoa Yanga ndiyo itakayomtoa Azam kurudi Yanga
Azam muwe wastarabu kama Yanga walivyokuwa wastarabu. Muacheni Feitoto arudi kule alikotoka. Au mnataka Mh. Rais aingilie kati? Kwani Fei alipokuwa anajiunga na Azam hakuwa na mkataba na Yanga? Sababu ni ileile iliyomtoa Yanga ndiyo itakayomtoa Azam kurudi Yanga
Fey lud yang tunakukubali sana
Jamani feisali wa wanini aende Simba
Wote wabaki tunawapenda azizikii nae nimtu muhimu sana kwetu
Tusizid kumpa kichw atafuti atafut tm nyingin aendeleze maisha huku kwa wababe atachanganuy tu sis ni gusa achia twende golin
Feisal atavuruga umoja wa wachezaji hafai kwa sasa hata kama ni mchezaji maarufu
Huyo feisali mpira. umeisha jamani si aende Simba jamani wa. nini au akacheze kwao ale na irojo
Fei,habar❤❤❤❤❤❤❤tunakupenda,saaana,
Karibu
Kakaangu
❤❤❤
Mtangazaji huyo jamaa mtoe anatukera wananchi
We kijana Kama Simba waambie watu wakuelewe
Nabado hamjasema yeye ndo muamzi atuwe wap aludi yanga kwanza sis tunamkubali sana achane unafki wenu
Labda yanga ya Kongowe
Mashabiki wa Yanga hatumutaki Muheshiwa Engen ukamurudisha fei utakuwa umezarawisha cewo cako nacetu kwahiyo usidukate ngufu fei akurudi Yanga nikirio kwetu😭😭😭😭
Km humtaki niww sisi tunamtaka mana Fei nimzawa kwhy hutake usitake Fei atakuja
Sem humtaki sio hamtuki sis wengne tunamtak wee vp bnan
Ebanaaa musemeshekweri aremauno arimukatikiya nani hana nidhamutu mukamurudisha kama kuramatapishituuu hakuna wacezaji wengine Fei ameyishiwa si yende timu zingine anakuja kuwanga mukamurudisha Yanga mujipange kufeliiii uuuuiiiii abaki uko turiisha musameeeee kamahacezi Yanga Yanga inahomba nini mumukaribishe mijipange kufeli😂😂😂😂
Azizi Ki aondoke ndipo Fei arudi Yanga!
Tuta-mfollow Feisal
Movies
Mchezaji anacheza kokote nyie mashabiki acheni kutia mchanga vitumbua vya watu.
Mwacheni mdogoetu aludi nyumbani kumenoga wewe uogopi sio 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Feisal alilishwa maneno na jemedari said kwa ulafi wa hela ya azam
Wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu bac hata cku moja na heading yenu mbovu kabisa. Not good usajili nani alokudanganya hayo
Amemiss ugalisukari