Uwe unashoot na video zenye quality na wale wazee wa kazi halafu unaupload utatengeneza zaidi ya viewers, Usiwaache wale jamaa ukishirikiana nao utakuwa DJ wa tofauti, Wana feat sana kwenye kazi zako, Ukienda mjini usiwaache, mialiko itakuwa ya kutosha kujiamini kutakuwa kwa kutosha ukiamini kuwa unalo jeshi, Kikubwa Dua na ushirikiano mzuri musije kuachana mukapoteana.
Yani unaweza ukajiona sio dj ukianza kusikia vitu vya misso
Iko waz😅😅
Huyo anaweza ni nomaa sana
Kabisa aiseee
Yule wa miruzi hafiki hata kidogo na kipala chake😂😂😂
😂😂
Mtu akiandaa event dar es salaam sa hivi halafu dj awe miso misondo atapiga hela sana 😂, sa hivi miso unatrend kila kona dar.
Oyaa tayari mjini anaingia trending worldwide saiv
We misomisondo umepigaje hapo🔥🔥😂😂🙌
Wee miso misondoooo weeee kamuaaaaaaaaaaa ❤️❤️❤️❤️❤️
We Misso umepigaje hapo!!!!
😂😂😂😂😂ukweli na u u DJ wangu simkamati huyu miso hata robo
Tisha sana 🔥🔥💪
We misso umepigaje hapo😂😂😂💥💥💥💥💥
Umejipata mdau😁jitaftie pisi yako moja utulie sasa
Miso🔥🔥🔥
Mtwara tuna vibaji mnoo!!
Chako kiko wapi
weeeeh misso misondo umepigajee hapooo 🎶
We missomisondo umepigaje hapo 😂😂
Mshizo bado numberi #1😢🔥🔥
Oyaaa wee miso misondoo waletee wale wanetu tim makotiii
Jama n mnyama❤ much love and leta mix kuubwaaa😮
Wewe ni fire 😂😂😂😂😂😂
Unanza kutupigimabititena hee
Nakubali👊👊👊👊👊👊
Umejipata mdau😁nitaftie pisi yako moja utulie sasa
Kweli wew miso misondo mkali wao
Mshizo league nyingene blaza😂
Asante mwana wa Ntwara miso misomdo usiwaache Wana wa makoti
Chunga wakati wako
Naombeni likes zangu tuliokuja youtube baada ya Miso kuwa star mkubwa Tanzania 😂
Bigest❤
Umepigaje apo
Aliowahi kuwatongozaga wakamkataa sijui wana hali gani huko Chimba unye🤣🤣🤣
Mamae💥💥💥
Wewe Misso mamae umepigaje apoo😂😂
😂😂😅 fala sana we 😅
Wee misoo bwana wewe unahatarii ww😅
Umepigaje hapo 🪗🪗🪗🪗🪗💃💃💃💃
🔝 Anauwa 🔝 mwanetu 🔝 chigugu 🔝 to 🔝 the 🔝 top 🔝
Nakupata nikiwa njombe, ila mwena ndo him na chikundi ndo kwa mamaangu
Oyaaaa hiyo sio mikono ya kawaidaa
hahahahahaha
Nimechek kwa saut
Ha😂😂
Tume Burudika. Na. Gigi. Sasa. Tuna furahishwa. Na. DJ. Misondo TZ. Raha. Sana
Uyu ndo ilibidi asajiliwe wasafi yule wa kule tumepigwa
Kwann kile kipande cha mwanzo umekikata mapema oya
Wewe tumekutuma uikalishe amapiano tena unaisapoti hujui jukumu lako
Kusini akunogi
misooo mixondo hatar
Mixoo mixondoo on 🔥🔥
we jamaa unajua nipo bukoba
weweeeee😂😂
We misso misondo umepigaje apo
🔥🔥
Umepigaje apo misso
We miso msondo
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Ww jiniiaziii
🔥🔥🔥🔥
singeli dj wako high speed
Ndugu yangu dua kwako Allah akuongoze njia sahihi. Mwambe tz
We kudadadeki umepigaje apo aah😅
😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿😆🙌🙌
👍💥
Uwe unashoot na video zenye quality na wale wazee wa kazi halafu unaupload utatengeneza zaidi ya viewers, Usiwaache wale jamaa ukishirikiana nao utakuwa DJ wa tofauti,
Wana feat sana kwenye kazi zako,
Ukienda mjini usiwaache, mialiko itakuwa ya kutosha kujiamini kutakuwa kwa kutosha ukiamini kuwa unalo jeshi, Kikubwa Dua na ushirikiano mzuri musije kuachana mukapoteana.
Yan umempa ushauli wa maana sana wale jamaa nawakubali sana
Umesema kweli kaka maana wale ndio kama trademark yake
Kweli man unyama💯💯
Made in TANZÂNIA
Mamae
😂🙌🏾
Wee miso ume shinduaje apo😅
fundi
Miso upo Lindi au mtwara
Miso mtwara madancer lindi
🎉nakubal🎉🎉
HATARI MISSO
TETE MELODY SACHE YOU TUBE TETE MELODY NAJIVUAWA GAMBA NINYIMBO YAKUFUNDI SIKILIZA KWAUMAKI NI Naitaji sapoti zenu wadauwangu. Kusini 1 🙏🇹🇿🔊
umetisha
❤❤❤❤❤❤
umeuwa Jesh
🔥🔥
Umepigaje apo