Mzozo wa DRC Wakaribia Kuwa Vita vya Kikanda - Umoja wa Mataifa Waonya!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Rais wa Burundi Evarist Ndayishimiye ameonya kuwa mgogoro unaoendelea nchini Kongo (DRC) kati ya serikali na kundi la M-23 unaweza kusambaa zaidi na kusababisha vita ya kikanda kama ya miaka ya 1990.
    Wakati haya yakitokea, Rwanda imekanusha kuhusika kuwahifadhi wanamgambo wa M-23 huku vikao kadhaa vya kikanda vikikaliwa na Umoja wa mataifa kuonya.
    Tazama zaidi video hii
    #habari #tanzania #itvhabari #m23 #drc

ความคิดเห็น •