- 18
- 1 922
Habari na Uchambuzi
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 2 ก.พ. 2024
HABARI NA UCHAMBUZI ni runinga ya mtandaoni ambayo imejikita katika kutoa taarifa za kweli kuhusu michezo, burudani, siasa, elimu, sayansi na teknolojia na matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayojiri sehemu tofauti tofauti.
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor.
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor.
Katibu wa CCM Auawa Kikatili kwa Kukatwa Kichwa Rukwa
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linawashikilia watu wanne wanaotuhumiwa kumuua kwa kumkata kwa panga ndugu yao, Mashaka Sichone, mkazi wa kijiji cha Kalepula, wilaya ya Kalambo. Marehemu alikuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika tawi la Kalepula. Baada ya mauaji hayo ya kikatili, washukiwa walitenganisha kichwa cha marehemu na kiwiliwili kisha kuondoka na kichwa hicho.
Tazama video hii kujua taarifa hii kwa undani
#habari #tanzania #itvhabari #utv #azamtv #ccm #chamachamapinduzi
Tazama video hii kujua taarifa hii kwa undani
#habari #tanzania #itvhabari #utv #azamtv #ccm #chamachamapinduzi
มุมมอง: 6
วีดีโอ
Waasi wa M-23 Wasitisha Mapigano na Serikali ya Congo | Kagame Atajwa Tena | Kunani?
มุมมอง 3410 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kundi la waasi wa M23 limetangaza kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa sababu za kibinadamu kuanzia Jumanne. BBC imeripoti kuwa kundi hilo limesema linasimamisha mapigano kwa "sababu za kibinadamu" kuanzia leo Februari 04, 2025. #habari #tanzania #itvhabari #africa #congo #m23 #bbcswahili
Trump Azuia MISAADA Tanzania, Je TUTAKUFA Lini? Tazama Video Hii
มุมมอง 1.2K13 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais Donald Trump wa Marekani ameondoa misaada yote ya Marekani nchini Tanzania. Hii ni kuanzia USAID Tanzania na pia Marekani wamejitoa kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO). Je, Tanzania itakosa chanjo na dawa za wagonjwa wa UKIMWI (ARV)? Tazama video hii kujua yote hayo. #habari #tanzania #itvhabari #usaid #usaidtanzania #who #millardayo #news #marekani
Wanajeshi 2 wa Tanzania Wauawa huku Wengine Wakijeruhiwa. Tazama hapa
มุมมอง 3624 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Askari wawili wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), wamepoteza maisha na wanne kujeruhiwa kwenye mapigano yanayoendelea Mashariki ya nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia na Congo dhidi ya M-23.
Rais Museveni Aonya kwa Yanayoendelea DR Congo: Amtaka Tshisekedi Achukue Hatua Haraka
มุมมอง 384 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna umuhimu wa DRC Congo kufanya mazungumzo ya amani ya moja kwa moja na kikundi cha Waasi wa M23 ili kukomesha vita vinavyoendelea mashariki kwa DRC. #habari #tanzania #itvhabari #vitayakongo #drc Copyright Disclaimer: This video may contain copyrighted material used under the doctrine of "Fair Use" (17 U.S.C. § 107) for purposes such as criticism, comme...
Mzozo wa DRC Wakaribia Kuwa Vita vya Kikanda - Umoja wa Mataifa Waonya!
มุมมอง 904 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais wa Burundi Evarist Ndayishimiye ameonya kuwa mgogoro unaoendelea nchini Kongo (DRC) kati ya serikali na kundi la M-23 unaweza kusambaa zaidi na kusababisha vita ya kikanda kama ya miaka ya 1990. Wakati haya yakitokea, Rwanda imekanusha kuhusika kuwahifadhi wanamgambo wa M-23 huku vikao kadhaa vya kikanda vikikaliwa na Umoja wa mataifa kuonya. Tazama zaidi video hii #habari #tanzania #itvha...
Waliofariki Ajali ya Basi la Esther huko Moshi Watajwa Majina
มุมมอง 1827 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro ametaja idadi na majina ya watu waliokufa katika ajali ya Moshi iliyohusisha basi la kampuni ya Esther na gari ndogo. Tazama video hii na usisahau ku subscribe
Jeshi la Tanzania (JWTZ) Dhidi ya Rais Kagame, Kunani?
มุมมอง 789 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Baada ya mgogoro kati ya Rwanda na RR Congo kwamba Rwanda wanawafadhili wanamgambo wa M23 kitu ambacho Rais Kagame amekanusha vikali na hata kiongozi mkubwa wa M23 amekataa hilo, watu wengi wameibua mjadala kuwa pengine Tanzania inaweza kupigana na Rwanda mara baada ya kile wanachodai kuwa kuna propaganda hatari dhidi yao. #kagame #rwanda #raiskagame #tanzania #jwtz #jeshi #drc #congo #m23
Watanzania Wafukuzwa Marekani na Trump | List hii Hapa Tazama
มุมมอง 8414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini ya kuwafukuza Watanzania wote wanaoishi Marekani kinyume na sheria. #habari #itvhabari #tanzania #thestorybook #harusi #ubakaji #ndoa #sherehe #uislamu #wasafifm #wasafi #siasa #marekani
Simba SC 6 vs Kilimanjaro Wonders 0 | Kombe la Shirikisho | Match Highlights
มุมมอง 1819 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tazama hapa magoli yote ya Simba wakiifnga Kilimanjaro Wonders kwenye kombe la shirikisho la Azam
Haya Hapa Matokeo ya Kidato cha Nne 2025. Tazama hapa
มุมมอง 149วันที่ผ่านมา
Wizara ya Elimu kupitia NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2024/2025 mapema hii leo. Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2025 #matokeoyakidatochanne #formfourresults #necta #wizarayaelimu
Fahamu Mapango ya HATARI Zaidi Duniani. Ukiingia Hutoki Salama
มุมมอง 5721 วันที่ผ่านมา
Tazama hapa maajabu ya asili na stori za kutisha za Utroba Cave nchini Bulgaria na Mulanje Cave nchini Malawi. Katika Kardzhali, Utroba Cave, linalojulikana kama "Pango la Tumbo la Mama," lina sura ya kipekee inayofanana na tumbo la uzazi na linaaminika kuwa lilitumika kwa ibada za kifalme za uzazi. Pango hili limekuwa kivutio kikubwa kwa watalii kutokana na historia yake ya kale na siri za kir...
Kisa HAMU: Rogers Ambaka Kuku wa Jirani
มุมมอง 1621 วันที่ผ่านมา
Siku ya tarehe 24 Aprili mwaka 2024, Tanzania nzima ilisimama kwa muda mara baada ya Rogers Sunday (miaka 41) kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka kuku wa jirani yake hadi kufa. Rogers alifanya kitendo hicho ili kujiridhisha kimwili mbele ya mtoto mdogo wa kike wa dada yake katika sebule kwenye kochi huko Misungwi Mwanza. #habari #itvhabari #mwanza #daressalaam #tanzania #ubakaji #biashara
Afariki Kwa Kupiga Punyeto Mara 62. Tazama Hapa
มุมมอง 5621 วันที่ผ่านมา
Afariki Kwa Kupiga Punyeto Mara 62. Tazama Hapa
Wanaume Wambaka Kenge Hadi Kufa. Tazama hapa
มุมมอง 12228 วันที่ผ่านมา
Wanaume Wambaka Kenge Hadi Kufa. Tazama hapa
Mtoto wa Miaka 8 Aliyeolewa Afariki Dunia Baada ya Harusi Yake
มุมมอง 10428 วันที่ผ่านมา
Mtoto wa Miaka 8 Aliyeolewa Afariki Dunia Baada ya Harusi Yake
Wacheni kupositi nchi yetu picha mbaya hio nikusalilisha nchi yetu Tanzania nitanjiri sana ila amujui nakumpuka mangufuli alisema ombaomba nimpaya san
Kwanza wasituite masikini ikiwa wanatuibia kila uchao hakuna msaada usiokuwa na ghalama kwa mwafrica waseme tu kwa sasa viongozi wa Africa sasaivi wanashirikiana na maadui zake ndicho kinachomuuma na kingine alietuumba sisi halali wala hasinzii na kama hajapanga sisi tufe hatufi na pia yeye atatuonyesha njia nyingine na sio mwengine ni mwenyezi Mungu pekee na asilete iyo inayoitwa misaada
Hujaacha kitu aloo 🙌
Tukiacha kuiba kodi, tukiacha matumizi mabaya ya kodi zetu na tukiacha kugawa rasilimali zetu kwa wageni, tunaweza kujitegemea na kuacha omba omba!! Na tutaepuka udhalilishaji wa watoa misaada!!
Umemaliza kila kitu 🙌
Poleni sana Tanzania
Kasimba secondary school
Nytuka
Butinzya